mkosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kipaji Chake Kilikuwa Laana na Mkosi Kwake, Usagaji, Maisha, Mafanikio na Kifo cha Brenda Fassie

    Brenda Nokuzola Fassie (anayejulikana kama MaBrrr) alikuwa nguli wa muziki kutoka Afrika Kusini, mtunzi, na mwanaharakati aliyetawala sanaa ya muziki kama "Malkia wa Pop wa Kiafrika". Maisha yake yalijaa mafanikio makubwa ya kimuziki lakini pia yalikumbwa na dhoruba kali za kashfa, matumizi ya...
  2. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Zijue aina za chale/mihuri ya kichawi jinsi zinavyotumaliza kiroho na kuchafua yota zetu huku tukipata mikosi.

    Chale za wanga ni aina ya mihuri ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi. ukishawekwa mihuri hiyo huwa ni ngumu kutibika na huishia kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo ambayo ni alama ndogo sana na hujulikana nakuonekana kwa wenye ujuzi. Mtu kwenda kwa mtaalam na kuchanjwa chale ni ishara ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Pale jijini Liverpool Kuna mkosi gani!? hasa team ya Liver!!? Je, ni hujuma!!?

    Miaka ya zamani kidogo hasa 1988/1989 kulitokea janga uwanjani na kuua mashabiki wengi sana Hillsborough disaster, Liverpool wakafungiwa kucheza michuano ya ulaya kwa miaka mingi sana!Hadi Leo Kuna kesi mahakamani ya kupinga mashabiki kuhusika kwenye fujo zilizozaa janga hilo,mwaka 2020 baada ya...
  4. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watanzania kutajwa kwenye jarida la Forbes huwa inakuaga kama mkosi?

    Jarida la Forbes ni jarida maarufu zaidi duniani kufuatilia watu mashuhuri hasa matajiri au vijana wanaotegemewa kuwa mashuhuri au wenye ushawashi mkubwa sana siku za mbeleni. Kwa nini Watanzania wengi vijana wanaotajwa katika hili jarida huwa wanapotea katika ramani au wanabaki wa kawaida tu...
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Rafiki maskini ni mikosi

    Yaani katika maisha yangu urafiki na masikini hapana aisee yaani Kwa pesa hizi nilizonazo halafu niwe na urafiki na masikini aniambukize njaa aisee hapana. Hivi nyie masikini kwanini msipambane na nyie muwe kama Mimi. Kila siku mnalialia njaa tu baada ya kupambana mnakaa kulialia Mimi sio...
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Naona kama mkosi Mkubwa kwangu kuzaliwa jamii ya watu weusi

    Binafsi kuzaliwa mtu wa jamii ya watu mweusi kumegeuka mkosi na sio tu kuzaliwa katika jamii ya mtu mweusi pia kuzaliwa Afrika& muafrika na pia sio tu kuzaliwa muafrika pia kuzaliwa Tanzania na Mtanzania. Ni mambo ambayo kabla ya kuzaliwa kwangu kama ningepewa machaguzi hakika nisinge fikiri...
  8. Fundi kipara

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani. Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male +...
  9. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana mkosi?

    Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10. Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda...
  10. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Raisi Biden apata mkosi wa kuchochea vita Ukraine

    Radi Yapiga Nje ya White House na Kuuwa Watu Wawili Hapo Hapo Siku ya jana Radi ilishuka Nje ya White House, Ikulu ya Marekani, na kuua Watu wawili ambao ni Wanandoa walijulikana kwa majina yao James Mueller, 76, na Donna Mueller, 75, Baada ya radi kupiga nje kidogo ya Ikulu ya White House...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Manchester United na mkosi wa vikombe 🤔

    After the Europa League final heartache💔 on the 26th May😁Wachezaji wao wote went to their respective national teams in search of TROPHY..... ▶Fred Brazil❌ ▶Cavani Uruguay❌ ▶Bruno Portugal❌ ▶McTominay Scotland❌ ▶D.James Wales❌...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Lavalava ana mkosi upi, Mbosso na Zuchu walimkuta ila wamemchapa gepu

    Lavalava anaimba vizuri sana sasa sielewi tatizo lipo wapi. Lava lava kaanza kuachia kazi zake 2017 may Hata baada ya kutafuta kiki katoa ngoma nzuri ila bado ina sua sua Mbosso - Agosti 2018 zuchu - april 2020, saizi ni moto mkali sana
  13. Wakuacha

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina mkosi wapenzi wangu wa zamani wote wameolewa

    Habari zenu wakuu, Kiukweli mi nakosa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa. Sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa na sherehe kubwa, nipo nawaza sijui na mkosi gani mimi. Huu ni mkosi gani au lifanyio langu huwa...
Back
Top Bottom