Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa.
Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu ataulizwa alichokichunga.
Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe.
Tanganyika ilikuwa...
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni...
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni...
Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini?
Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida
Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka moyo wa imani
Ni muda gani unauchukua kujibu baada ya kuusoma au kusubiri majibu kutoka kwa mtu ambaye umemtumia ujumbe mfupi wa maneno (message)? Kwa upande wa mwigizaji Nia Long wa Marekani yeye aliwahi kusema kuwa akimtumia mtu ujumbe alafu ukachukua siku zima kujibiwa hatazungumza na huyo mtu tena kwa...
Unaposema utakwenda kuzuia uchaguzi Mkuu wa kikatiba unaoipatia Jamhuri yetu viongozi wake wakuu kama Rais, Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, Makamu wa Rais, wabunge na madiwani usifanyike maana yake unadhamiria nchi ama iendelee kuongozwa na viongozi batili ambao muda wao kwa mujibu wa katiba...
Nina mengi ya kuandika kabla ya saa 3 asubuh ya Leo ili andiko langu liingie kwenye rekodi.
Mtoto wa raisi ana nguvu Gani kwa kesi ya Lissu? Je Lissu kuwa huru Kuna madhala Gani kwake?
Mbona ridhiwani kikwete hakuwai kuwa mwiba kwa Dr slaa alivyokuwa akimtaja majukwaani live dhidi UTAWALA wa...
JE WAJUA?
KAMA KESHO MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU?
Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza kuistajabisha Dunia kwenye uwanja wa mahakama akiwapitisha Vigogo kwenye flampeni ya Mafuta ya Sheria...
Baada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na ili isionekane kuwa serikali alimbambikia kesi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo DPP ataleta ile "taarifa". (Rejea kesi ya FEM) Hii itawapa faraja kubwa wahafidhina kuwa pamoja na serikali kutoendelea na kesi...
Baada ya upande wa Jamhuri kuishia njiani kwa kuleta mashahidi 17 tu kati ya 30 waliopaswa kutoa ushahidi wao dhidi ya kesi iliyopewa Jina la "kesi ya uhaini" dhidi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Tundu Lissu, hatimaye leo Tundu Lissu ameanza kujitetea. Kwa kifupi sana, utetezi wako umejikita...
baada
court
dsm
full
hana
high
high court
huru
imwachie huru
jamhuri
kesi
kesi ya kujibu
kufunga
kujibu
kutoka
lissu
mahakama
tundu
tundu lissu
ushahidi
wao
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.
Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha...
-Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu.
-Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu alipeleka wapi? Kimya....huu ni utapeli
- Tumeuliza mapato na matumizi ya join the chain kimya.... huu...
Unajua kwamba watu wengi wenye upeo wa chini wa ufahamu, husikiliza ili kujibu na hutazama ili kusimulia. Tofauti na watu wenye upeo wa juu ambao wao husikiliza ili kutafakari na hutazama ili kuona. Wapumbavu hudhani kutazama inawasaidia kufahamu kwa kuwa maisha yao yanaendeshwa na hisia za...
Nimeota namuuliza swali Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwamba Kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?
Nyerere akashindwa kujibu, akalia sana akaanza kusema yeye kama mjenga misingi alifanya makosa makubwa sana kuiacha CCM kwenye genge la wahuni, na kuwanyima wananchi katiba inayohost...
Naomba kujuzwa ,kwanini kesi ipelekwe kwenye mahakama ambayo haina uwezo wa kusikiliza kesi husika ?
Au utaratibu na protocol za kisheria ndio unataka hivyo. Naombeni wataalamu nisaidie majibu.
Kampuni ya airtel sio kampuni ya kisiasa tunajua kilichotokea ni shinikizo na hii haifanyi kampuni imuunge mkono bali amejiongezea kesi madaraka yanaisha haya mtaona airtel ikimfungulia kesi hii baadae.
Washauri wa samia ni akina kingwendu kila kitu ni sifuri wanachochea moto zaidi tunaongozwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.