uwakilishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Romania: Wabunge wataka marufuku ya TikTok kuzuia propaganda na jumbe za kihafidhina

    Wanasiasa kutoka muungano wa kisiasa wa vyama vyenye uwakilishi mkubwa katika bunge nchini Romania wanapendekeza marufuku au "udhibiti mkali" wa mtandao wa TikTok, kufuatia utafiti unaoonesha kukua kwa uungaji mkono wa siasa kali za mrengo wa kulia miongoni mwa vijana, ambao ni watumiaji wakubwa...
  2. L

    Mikutano miwili ya China yaendeleza desturi za uwakilishi na utulivu

    Kipindi cha mikutano miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China na mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China iliyomalizika hivi karibuni, ni kipindi muhimu zaidi kisiasa kwa China, kwani katika kipindi hili, kwanza demokrasia ya China huwa inapimwa na kukaguliwa, na pili...
  3. benzemah

    Tanzania yazindua Ubalozi na uwakilishi wa kudumu nchini Austria

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezindua rasmi Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini Vienna nchini Austria. Akizungumza katika uzinduzi huo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena...
  4. Yoda

    Uwakilishi mpana wa watoto wanaobeba maua kupokea wageni wa kitaifa uzingatiwe

    Katika mapokezi ya kumpokea makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris nimeona watoto wawili(2) wa kumpokea kwa maua uwanja wa ndege, lakini nasikitika kusema itifaki haikuzingatia uwakilisho mzuri na mpana wa taifa letu. La jana limepita ila kwa wageni wakubwa watakaofuata tena baadaye...
  5. BARD AI

    Miaka 15 ya Uspika na 35 ya Uwakilishi Bungeni, Spika Pelosi kujiuzulu rasmi

    Spika wa 52 wa Baraza la Wawakilishi na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo akiwa kiongozi wa chama cha Democratic kwa miaka 19, ametangaza hatua hiyo baada ya kuhudumu kama Spika mara 2 kwa miaka 15. Amekuwa Mwakilishi Bungeni kwa miaka 35 tangu mwaka 1987 na kisha kuwa Spika mwaka 2007...
  6. MIXOLOGIST

    Kwa wenye akili tu: Uwakilishi wa bunge uwe automated, wananchi washiriki ki-digitali, hatuhitaji wawakilishi

    Wasalaam, Kama una akili chakata hili. Hatuitaji wawakilishi, watu wanaokua fatly paid, wanaenda kulala bungeni. Mawazo ya wananchi yanaweza kupatikana online, kwenye platform official itakayo ruhusu michakato na deliberations ya issues za kitaifa na kimataifa. Gone are the days where...
  7. Suley2019

    Mataifa ya Afrika ambayo yatakuwa na uwakilishi wa vilabu vinne kwa msimu wa 2022/23 michuano ya CAF

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. • Algeria 🇩🇿 • Angola 🇦🇴 • Congo DR 🇨🇩 • Egypt 🇪🇬 • Guinea 🇬🇳 • Libya 🇱🇾 • Morocco 🇲🇦 • Nigeria 🇳🇬 • South Africa 🇿🇦 • Sudan 🇸🇩 • Tanzania 🇹🇿 • Tunisia 🇹🇳
  8. britanicca

    Kuna muda unaweza jisahau kumbe ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha Upinzani kwa mizania ya uwakilishi maeneo mbalimbali kiuongozi

    Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo. Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani. Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa. Britanicca
  9. jollyman91

    Shirika la ujasusi la Kizayuni lafungua ofisi yake ya uwakilishi Abu Dhabi, UAE

    Duru za habari zimeripoti kuwa, shirika moja la kizayuni linalotengeneza vifaa vya intaneti vya ujasusi limefungua ofisi yake mjini Abu Dhabi, katika Umoja wa Falme za Kiarabu. Kwa mujibu wa duru hizo za habari, shirika la kizayuni la AWZ Ventures linalojihusisha na teknolojia ya ujasusi...
  10. J

    Mwanaharakati Jane Magigita ajitosa kugombea Ujumbe Muwakilishi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuwakilisha Mashirika yasiyo ya Kiserikali

    Mfahamu mgombea nafasi ya mjumbe wa Baraza la Kitaifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACONGO) mkoa wa Dar ES SALAAM Bi. Jane Magigita, Mwaka 2014 alitunukiwa tuzo ya MARTIN LUTHER KING AWARD kwa kupigania haki za kisheria za Wanawake. Tuzo hiyo ya haki ya Dk. Martin luther king, Jr...
Back
Top Bottom