kanga

  1. M

    Kweli usiwaamini wanasiasa. Kwenye kampeni wanagawa bure kofia, tisheti, kanga nchi nzima, lakini wameshindwa kugawa barakoa hata kwa Dar pekee.

    Wanasiasa mnatuangusha. Tulitegemea hata chama kimoja kijitokeze kugawa bure barakoa kwa nchi nzima Kama ambavyo mmekuwa mkifanya kipindi Cha uchaguzi, ambapo huwa man uwezo wa kugawa tisheti, kofia, kanga na vitu vingine vingi nchi nzima. Huu ndo wakati wenu tunawaomba mjitokeze.
  2. Mwamba1961

    Msaada jinsiya kufuga "kanga"

    Habari zenu, Naombeni msaada ,Ni njia gani za kufanya ili niweze kufuga KANGA kwenye banda la kuku ?? Na nitarajie changamoto gani na ninazikabili vipi ?? Wadau karibuni kwa majibu.....
Top Bottom