Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Kwa Hivi Sasa katika Jamii kumekua na maongezi au Maneno mengi kuhusu wanawake kuitaji Kuhudumiwa.
Kijamii za kiafrika, mwanaume napaswa kuihudumia Familia yako.
Na mwanaume unatakiwa kutoa mahari ya kuoa mke na kumtunza/ Kuhudumia.
Kwa sasa Hivi Vijana Wengi wanapitia katika hali mbaya ya...
Hii imenishangaza sana, wanawake ndiyo wamekuwa wanapambana na CCM hadharani kwa njia mbali mbali kuliko wanaume.
Wanaume kinyume chake ndiyo wanaoongoza kuwatisha watu kuwa wakiipinga CCM watatekwa, watalawitiwa au kuuawa.
Nini kinaendelea kwenye hizi harakati za kuipinga CCM hadi wanaume...
Ndugu zangu.
Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
Wanaumeee!
Kuweni waagalifu na mifuko yenu!
Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja!
Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa!
Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale!
-anataka simu ya tachi,
-vocha...
Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi.
Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato
Are you insane?
Hakuna hisia kali zinazoathili Hadi MOYO kama mwanaume unapotamani kuisimamia kiuchumi familia yako lakini mfukoni huna hata sumni.
Wakati ambapo Kila unachogusa kinakukataa na kukufanyia usaliti mkubwa wa kifedha.
Huu ndio wakati wamama wapumbavu wenye kiuchumi kiduchu huanza kutesa waume...
Nadhani hadithi za mitume na manabii zimeongezwa chumvi lengo kuvutia wasomaji tu lakini hakuna uhalisia.
Yani kwamba umuone mwanamke mzuri au mwanaume handsome mbaka ujikate vidole kwa mshangao hizo ni fix
Wakuuu habari za weekend.
Ndugu zangu kumekuwa na mawazo potofu wanawake wote WANAOENDA gym wanaliwa.
Wakuuu sikatai wanaoliwa wapo hapo ni asilimia 0.01 na wanaliwa na trainer kwa utafiti wangu .Mimi ni mtu wa mazoezi naelewa.
Wakuuu nitoe angalizo msicheze na Dem anaenda gym anaweza...
Msinigombanie kama Mpira wa Kona sijasema Mimi na ukitaka kujua waliosema nenda Mtandao wa Bongo Mjini usikie.
Hivi mnadhani akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tunachukia kutoka Vitambi kama vyenu hatujui kile tunachokiepuka?
Taasisi ya Pollicy Data Institute Agosti 15, 2025 imeendesha mafunzo kwa waandishi wa habari nchini Tanzania, yakilenga mbinu za kuandika habari zisizowabagua wanawake, hasa wale wanaojihusisha na siasa. Mafunzo haya ni sehemu ya mradi wa kimataifa unaoitwa Vote Women, unaolenga kuongeza...
Ila wanawake wakimasai kwenye mgegedo hawalii(kujibebisha) yaani kimya kimya daaah kheee apn asee izo sauti zinatoa hamasa sasa tu hata kufanya ashiiit hamna sio kwamba lbd kibamia ila nimashine ya kazi kbs dah
Wadau ushawai ona hii
Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa nae nilikuwaga namkubali sana nikijisemea hapa nimefika
katika kuishi nae sikuwa na mazoea ya kupekua wala kutumia simu yake ila niliwahi kuijua password yake, basi kuna siku alikuwa ameenda kuoga nikaifungua.
Aiseee !! Yule mwanamke ni kiungo mshambuliaji wa...
Kimazoe, mwanadamu wa jinsia ya kike, kwa kiasi kikubwa alionekana ni mtu mwema zaidi, mnyenyekevu zaidi, msikivu zaidi, asiye mdhulumaji. Ilikuwa siyo kawaida kumpata mwanamke akiwa jambazi.
Lakini siku zinavyoenda mambo yamebadilika sana. Wanawake wa sasa, wengi wao, hasa waliopata nafasi za...
Kaka ako akirogwa una mtukana wifi yako ila wewe uko una roga kaka wa mwenzako ivyo ivyo sasa hapo kelele za nini? Sijawai waelewa mnatoaga wapi hayo mawazo muoshwa uhoshwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.