viti maalumu

  1. Mjanja M1

    Mbunge wa Viti Maalumu aolewa na Maulid Kitenge

    Mtangazaji nguli wa Michezo Maulid Kitenge amefunga ndoa na mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje. Harusi hiyo iliyofanyika kwa usiri mkubwa katikati ya wiki iliyopita imeibua mjadala mkubwa kwa kile kinachodaiwa mtangazaji huyo mkongwe kutowaalika marafiki zake wa karibu ambapo watu saba tu ndio...
  2. BARD AI

    Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Kenya: Bunge lina Watu wengi mno, Viti Maalumu Vipunguzwe

    Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema hayo wakati akitoa maoni mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na kueleza kuwa baadhi ya nafasi za Ksiasa zinapaswa kupunguzwa ikiwemo idadi ya Kaunti ambazo zinaongeza mzigo wa gharama Serikalini. Muigai amesema Mapendekezo ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu

    MBUNGE SUBIRA MGALU AKIWA KATIKA ZIARA MBALIMBALI NDANI TANZANIA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ameendelea na ziara mbalimbali na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM katika mikoa mbalimbali nchini. Mhe. Subira Mgalu katika kilele cha Sikukuu ya NaneNane ametembelea...
  4. Stephano Mgendanyi

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT. WABUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi wametoa shilingi Milioni 6 Kwaajili ya kusaidia Maendeleo ya Chama na Jumuiya ya UWT ili kuhakikisha Chama na Jumuiya ya UWT zinaendelea kuimalika. Wabunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  5. William Mshumbusi

    Kuendelea kuimba na kusifu maridhiano wakati viti maalumu waliojiweka wakiendelea kuwa bungeni. Anayewaelewa CHADEMA aje apa afafanue.

    Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru na kuaminiana na CCM. Binafsi siiamini viongozi hawana uelewa Mpana. Kuna Jambo nyuma sisi...
  6. Mohammed wa 5

    Mbunge wa viti Maalumu ana msaada gani kwa wananchi?

    Salamu wana Jf Matumaini yangu mama atausoma huu Uzi Kuna mbunge wa viti Maalumu wa ccm jina kapuni,bungeni ajawahi kutoa hoja za kueleweka,tunaishi nae mtaa mmoja ni mama wa makamo hivi.baada ya kupata ubunge wa kusaidiwa ana dharau Sana hata salamu hatoi tutakutana 2025 Sehemu tulikuwa...
  7. Stephano Mgendanyi

    Iringa: Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve afanya ziara wilayani Mufindi

    MBUNGE WA IRINGA, MH. ROSE TWEVE AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI MKOANI IRINGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amefanya Ziara Kata ya Saohill, Upendo, Wambi, Changarawe, Kinyanambo na Kata ya Boma. WANAWAKE WA Wilaya ya Mufindi wanasema Mhe. Dkt. Samia Mitano tena mbele ya...
  8. Papaa Mobimba

    Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

    Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa. February 7, 2019 Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Ngonyani amemshauri Spika wa Bunge Job Ndugai kufunga mashine maalum Bungeni ambayo itakuwa na uwezo...
  9. Chachu Ombara

    Viti Maalumu vishindaniwe kwa wananchi ili kupunguza mianya ya upendeleo na rushwa

    Hivi karibuni ilichapwa makala ya kitaaluma na Dk Victoria Lihiru, mhadhiri katika Chuo Kikuu Huria cha Dar es Salaam iliyojaribu kuonesha udhaifu uliopo katika mfumo wa kuwapata wagombea wa viti maalumu vya wanawake ambao kwa kiasi fulani umechangia kuibuka kwa mgogoro unaoendelea juu ya...
  10. Akili Unazo!

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    MASWALI NA HOJA ZA WADAU KUHUSU SUALA LA VITI MAALUMU TANZANIA Wakuu leo katika kupitia maandishi ya gazeti la mwananchi nimekutana na kichwa cha habari kisemacho Wabunge wa viti maalum ni feki kikatiba hivyo waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu (sera utaratibu wa bunge) Philip Marmo alisema...
  11. Mzalendo Uchwara

    Chonde chonde CHADEMA, wasameheni wabunge wenu 19 wa viti maalumu kwa maslahi ya chama na taifa

    Wakati wa utawala wa dola ya Rumi, adhabu ya kusulubiwa msalabani ilikuwa ni adhabu kwa ajili ya wahalifu sugu, watu kama wauaji, majambazi na wahaini. Ilikuwa adhabu ya kudhalilisha, ya kikatili na iliyo hakikisha mateso makuu kabla ya kifo. Mtu aliye tundikwa msalabani alikuwa anaomba afe...
  12. N

    Ubunge wa Viti maalumu na wa kuteuliwa ufutwe hauna tija yoyote

    Inasikitisha sana kuona nchi masikini kama hii bado inafuja hela za umma kwa kasi ya ajabu, nchi fukara isiyojiweza Vyeo hewa vimejazana mfano hai ni wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa na Rais, hawa watu hawana tija yoyote kwa Taifa zaidi ya kupewa mishahara ya bure tu, Nchi...
  13. Elli

    Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM

    Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
  14. P

    Wabunge19 Viti Maalum wanaojitambulisha kwa jina la CHADEMA washitakiwe

    Uongozi wa CHADEMA. Ni miezi 8 sasa tangu Wabunge wa Viti Maalum 19 kuwa Wabunge kwa mwavuli wa CHADEMA. Lawama nyingi zimekuwa zikielekezwa CHADEMA. Naomba mtafute wanasheria wazuri wafungue mashitaka kwaniaba ya taasisi ya CHADEMA, sio tatizo wakishirikishwa Wananchi kuchangia kwa ajili ya...
  15. V

    Wabunge wa viti maalumu ni mzigo wa TAIFA

    Jamani niambieni ni nchi gani hapa duniani ina wabunge wa kuteuliwa na viti hapa duniani . Mimi nawaita mzigo wa walipa kodi tunataka katiba mpya ili tuwaengue kwenye nafasi zao
  16. J

    Kama CHADEMA wamekataa nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum na ruzuku basi watuombe radhi sisi Wapiga kura wao

    Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!! Haki gani wanayoidai hawa Chadema? Mbona...
  17. J

    John Mnyika: Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kupeleka wabunge wa viti maalumu bali kuchochea mageuzi ya Demokrasia

    Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amesema Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kuchagua wanawake wa kuwapeleka bungeni kwa viti maalumu bali ni kichocheo cha demokrasia nchini. Mnyika amesema wanawake ni jeshi kubwa hivyo wanao wajibu wa kupigania katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Pia...
  18. K

    Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  19. Nyankurungu2020

    Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

    Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
  20. P

    Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

    Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali. Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza...
Back
Top Bottom