wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Eliza; wanawake tukienda geto kwa mwanaume, asipoonyesha kukuhitaji kimwili huwa tunarudi na stress

    Mwanadada Eliza ametoa Siri ambayo inawezekana wanaume wengi hawajui. Eliza akiongea na mwandishi, ameulizwa swali ni kitu gani ambacho wanaume hawajui kuhusu wanawake? Eliza amejibu hivi. "Kitu Ambacho wanaume hawajui ni kuwa, tukienda magetoni kuwatembelea halafu wasionyeshe hata dalili ya...
  2. Chai na Uji

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Takwimu zinaonesha wanawake wanapindua meza kwenye Uchumi na wanatumia 90% ya kipato chao kwaajili ya familia wakati Wanaume ni 35%

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), David Kafulila, akizungumza na wasomi wa Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, alitoa maelezo ya kuvutia kuhusu nafasi ya wanawake katika uchumi na maendeleo ya Taifa. Kafulila alikuwa akijibu swali la Chiku mmoja...
  3. Right Flower

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wanawake tunaharibu muonekano na mvuto wetu kabisa ndio maana siku hizi hatuwavutii mabwana zetu.

    Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe. Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha lakini tujitafakari. https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo pamoja na uzazi kwa wanawake anitafute

    Sina mengi ya kuongea njoo inbox
  5. Mwakikusi

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri

    Kwa muda mrefu nimeshuhudia na kujionea (personally) wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri. Hawaandai chakula vizuri,wanapika kwa kujivuta mfano,chai saa 5,lunch saa 9,dinner saa 3 usiku.Na wengi wao wakija wageni wanawahudumia kuliko mume,na ndugu zake anawaheshimu mpaka kusahau...
  6. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania wanawake wamemshambulia jamaa kwa wingi lakini huu ndio ukweli mchungu

    kijana ametoa hoja kule kwenye mtandao pendwa hasa na watu mkoa wa kanda ya ziwa lakini ameshambuliwa sana hasa na wanawake nini shida wakuu..kwangu mimi naona sawa tu....
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni tamaa

    Kama kawaida kwenye jukwaa langu pendwa, habari na hoja mchanganyiko. Leo nimeshangaa sana, nipo kwenye sherehe hapa, ilipofika mda wa kutunza nilipanda pale jukwaani na elfu moja Moja nimechench zipo 100 jumla laki 1, nimepanda jukwaani pale wakat mziki unalia nikazimwaga kwa kuzisukuma Moja...
  8. min -me

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaostahili kuhudumiwa na kupewa pesa

    Sio kila mwanamke anastahili kupewa pesa . Ni muhimu sana kuwapa pesa wanawake ila sio kila mwanamke anastahili kupewa tena kwa kuidai. 🤔 Kuna wanawake wana sura personal kabisa , na maumbo kama majokeri eti nao badala wapambane kusaka pesa , nao wanakazana kusaka wanaume wenye pesa 🤣...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Shujaa wa Haki za Wanawake Marekani, Gloria Steinem, Aaga Dunia

    Gloria Steinem, mwanaharakati nguli wa haki za wanawake na mwandishi wa habari nchini Marekani, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92 nyumbani kwake jijini New York. Kifo chake kilitokea kwa amani Alhamisi asubuhi akiwa amezungukwa na watu wake wa karibu, baada ya kutumia takriban karne...
  10. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake wanapenda watu maarufu?

    Mfano mdogo kipindi kabla mondi hajatoka alipenda kuitwa domo Kaya.. Ila baada ya kutoboa tu akageuka kuwa mtu wa kupendwa na kutamaniwa na wanawake? Je mtu maarufu, hata kwa ujinga kwa nini hugeuka kuwa crush kwa mademu? Swali la kizushi tu. Wanawake wangekuja kusema ili tuone, je ni nini...
  11. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Uongozi wa Wanawake kwenye taasisi huleta faida zaidi | London Stock Exchange

    Kafulila: Taasisi Inayoongozwa na Mwanamke Huleta Mafanikio zaidi. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akihutubia katika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, amesema kuwa taasisi yoyote itakayoongozwa na mwanamke kwa...
  12. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Niffer Aibua Mjadala Mitandaoni: Asema Hawezi Kuwa na Urafiki wa Karibu na Wanawake Wenzake

    Mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu nchini, Jennifer Bilikwija ‘Niffer’, amewasha moto wa mjadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka wazi mtazamo wake kuhusu ushikaji na wanawake wenzake. Niffer amebainisha kuwa ingawa anawapenda na kuwaheshimu wanawake, hana mpango wala uwezo wa...
  13. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Nimeshtukaa! Kumbe wanawake wa Tarime wana Mikia namna hii!.

    Happy New Month, Guys, nilikua Tarime for few days, sasa siku ya jumapili tukasema tujipongeze before hatujaondoka, nikauliza kiwanja kinachobamba nikaambiwa CMG Hotel, wakapasifia weeh sijui Mondi ndio anapolala blah blah blah, nikasema poa, sikua peke yangu nilikua na jopo la wafanyakazi...
  14. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Nimejiunga Facebook, leo tu nimepata friendship request 2119, wanawake ni 99.9% na wanapiga mizinga kichizi

    Ni mtandao fulani wa watu wajinga wasiojielewa hata kidogo. Kila mtu anakufuata inbox anakutongoza, Yaani ni kero.
  15. Vien

    JamiiForums Tanzania Shilingi imegeuka: Siku hizi wanawake wanateseka mnoo kwenye mahusiano

    Zamani ilikua ni kawaida sana kukuta mwanaume anateseka na kuumia kwa wakati mmoja kisa mwanamke. Wengi walikua wanateswa na ule ulimbukeni na ushamba wa wanawake – mwanaume akipenda, anapenda mpaka anasahau kabisa yeye ni nani. Mtu alikuwa tayari kutoa kila kitu ili tu ampate mwanamke. Anaweza...
  16. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Tiwa Savage; Sijui kwanini, natongozwa zaidi na wanawake kuliko wanaume

    Mwanamuziki wa Nigeria Tiwa Savage amefichua kwamba anatongozwa na wanawake mara nyingi zaidi kuliko wanaume. Akizungumza wakati wa mahojiano na kituo cha Beat 99.9 FM jijini Lagos, Tiwa aliulizwa kuhusu ufuatiliaji anaopata kutoka kwa wanawake, Alijibu "Kwa kweli sijui kwa nini, lakini...
  17. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania LAMINE YAMAL, NAOMBA msikilize walau Ally Nipishe na Fraser, kuhusu wanawake utajifunza kitu, anachomaanisha baba yako

    Mawazo kina yametawala kichwa changu, ila uwezo Sina kulitawala jicho langu, Hii ni baadhi ya mistari kutoka Kwa ally nipishe kijana alie wika sana enzi hizo, huyu dogo alipata masala, Iko hivi, baada ya dogo kuwika sana, alipata limama inasemekana ni la kizanzibari, huyo mama akaingia kwenye...
  18. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Napambana na uraibu wa kutamani wanawake

    Moja ya kitu kinachonisumbua ni kuwa mimi ni mraibu wa wanawake. Ni kitu nilicho dhani nimesha kishinda, ila baada ya kupata vijisenti juzi kati nimejikuta automatically hii hali inanijia hasa kwa hatari mbaya sana... Napenda sana wanawake, nikiona mwanamke mrembo, mwenye uzuri wa umbo mpaka...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa mjini wanaotamka maneno kama wanameza ulimi ni vichekesho

    Hawa wanawake wa mjini wanaozungumza wakitamka maneno kwa madoido kama wanameza ulimi ni vituko haswa. Mtu anakaribisha kwenye biashara anasema karrlibu "chakurrla" badala ya "karibu chakula'' ! Unaweza kudhani wana ulemavu wa kushindwa kukaza ulimi mdomoni.
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
Back
Top Bottom