SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS
Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:
1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.
2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui...
Habari wakuu nilipotea kitambo sna sasa nimerudi lkn natumia account mpya sasa ile ya mwanzo nilisahau pasward so naomba ushirikiano wenu[emoji120][emoji120]
Kaka na dada zangu,
Baba na mama zangu,
Bibi na babu zangu,
Wajomba na Mashangazi zangu,
Wadogo zangu wote. Heshima kwenu.
Mimi nimejiunga hapa jf baada ya kusoma kama mgeni kwa muda kidogo...
Wakuu za sahizi,
Mimi babu yenu nimeamua kujiunga nanyi leo, hii
Baada ya kuuona huu mtandao ukipewa support kubwa sana na watu mbalimbali
Mimi nime staafu kazi X niliyoitumikia kwa mika 35...
Wakubwa kwa wadogo Leo nimeona RASMI inanibidi kujiunga na jf kwa ajili ya kuzidi kujifunza mengi zaidi na kuburudika . Naomba ushirikiano kutoka kwenu[emoji120]. Shukrani za pekee ziende kwa...
Hodi bandugu
Nawasalimu kwa jina la tanzania me mgeni wenu naombeni mnikaribishe ndani ya nyumba yenu Bora kabsa tanzania mzima.
Nyumba yenye wazee wa busara na vijana wengi wa hovyoo, me ni...