Baada ya salamu kijana wenu pendwa @naliangwena nimeamua kuja kwenu kutafuta msaada kwa hali na mali kwa maana natambua kuwa penye weni basi kuna mengi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, sahivi nimejikuta kwenye big trouble la kutofika kileleni kabisa hata ule mzunguko wa kwanza...
Kama ilivyo siku hizi, karibu kila mtaa kuna dereva wa gari au pikipiki. Ni vyema tukajitahidi kujifunza hata basic za ku-control ndege. 😂
Unakuta pilots wamepigana au wamekufa, nyie abiria mnaangalia tu. Mnashindwa hata mmoja kushika controls kwa sababu hakuna anayejua kuendesha ndege. Mwisho...
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Ludigija, amemuamuru Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo pamoja na Wakuu wa Idara wote kuripoti kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) kufuatia kukaidi kwao mara kadhaa agizo la kushiriki katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira wilayani humo.
Makatibu Wakuu wanaosimamia masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), na sekta ya biashara kutoka Nchi Wanachama wamekubaliana kuongeza kasi ya utekelezaji wa hatua za kuondoa vikwazo vinavyokwamisha biashara ndani ya Jumuiya.
Makubaliano hayo yamefikiwa leo, Septemba 24, 2026, katika...
Kuna Muda Nikimuona Mwanamke wangu ananisogelea akiwa mpole sana Na Kuniita majina Matamu kama
“Mume wangu Kipenzi ,My Chulululilu, Baba watoto wangu..”
Najua tayari sentensi inayofuata ni “Naomba….”
Wakuu Mwanamke asiyekuwa na kazi ni Mzigo Mkubwa sana ,Shida zake ni kama seasons,Ukimaliza...
Husika na mada apo juu nimetumia zaidi ya dozi 3 lakini bado chuma kipo kinanitesa mno hadi nakata tamaa,kitu kinanishangaza zaidi siumwi tumbo ata kdg km kuna dawa nzuri zaidi mtu anisaidie aiseee
chocolate colour,
Tumbo halina nyama nyama,
Kimo cha wastani,
Makebo malaini,
Awe na feelings kali wakati wa sex ili nimketekenya kunani amwage hydro ya kutosha
Shape hourglass,
Asiwe na dharau,
Asiwe na kisirani
Maziwa mazito ili niwe naweka uso wangu na rotate kichwa
Kwa bahati mbaya hizi...
Wakuu nimerudi kuwapa mrejesho Tena,baada ya kumaliza dawa za kichocho prazquantel 600mg vidonge vinne hali ya mtoto ikawa vile vile Bado anaendelea kukojoa damu
Leo asubuh nimeamkia hospital hapa yawakatoliki hospital ya kati tu,mtoto akaandikiwa vipimo Tena vya damu,mkojo,ultrasound ya...
Serikali inahimiza utoaji wa chakula shuleni ili kuhakikisha watoto wanapata haki yao ya kupata chakula. Lakini kuna baadhi ya walimu na kamati za shule ambao wanashindwa kuratibu jambo hili kwa haki.
Kwa mfano, utaratibu unaweza kuwa mwanafunzi anatakiwa kuchangia jumla ya madumu 15 kwa mwaka...
Hii ni mifano jinsi gani mahakama kuu za kiislam zilivyokaa na kuamua kesi
1. Myahudi akapata haki mbele ya Umar رضي الله عنه
Imepokelewa kwamba mtu Myahudi alikuwa na mgogoro na Muislamu mbele ya Umar ibn al-Khattab رضي الله عنه. Baada ya kusikiliza suala hilo, Umar alimhukumia Myahudi huyo...
Wakuu habari za muda huu.
Naitwa Sarah Hizza
Umri: 24
Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024.
Mahali nilipo kwa sasa: Tanga
Natafuta kazi yeyote ya halali
Mawasiliano: +255611084361
Wazee inakuwaje siku hizi unaweza kuwa unapita zako labda Maandazi Road mara ghafla V8 inawasha king'ora ili mumpishe.. yaani imekuwa kero kubwa. Wakazi wa Dar wanakutana na ving'ora vingi kwa siku. Ifikie sehemu mamlaka zinazohusika zidhibiti hii hali.
Kwani idadi ya viongozi au watendaji wa...
Hii dunia ina mambo sana.
Kuna watu ukimkuta mtu hana kitu leo, wanajiona kama Mungu amewapa cheo cha kuwa majaji wa maisha ya wengine.
Mtu akija hapa na kusema nina changamoto, badala ya kuangalia hoja yake, comment ya kwanza:
"KAKA PAMBANA."
Mwingine:
"TAFUTA KAZI."
Mwingine:
"SI UZA...
Najiona tumebaki wawili ama watatu tu kwenye hii vita ya kusema ukweli pasina kupindisha maana tunaamini katika kweli maana kweli humuweka mtu Huru Daima.
Nashangaa sioni thread tena za wapigania kweli Hawa Xi Jinping Natafuta Ajira na wengine. Je mmekubali pesa za single mother? Pesa Chafu...
Sina neno tena, kama mahakama ilikiri ushahidi uliotolewa haukuwa na maana yoyote ila wakaforce kesi ya kujibu ipo basi watafutane wenyewe hapo mahakamani wajibu kesi yao.
Kongole kwao japo siwapendi
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
fomu
fomu za maadili
haja
ili
kujaza fomu
kuzuia
maadili
mabaya
madaraka
michango
ofisi
sheria
shughuli
siasa
viongozi
vyama
vyama vya siasa
wakuu
wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.