Salaam
Kama unaitaji kununua kitunguu, nenda Lumuma, hata upeleke semi 10 zitajaa kwa wakati mmoja.
Lumuma ni kijiji kinachopatikana wilaya ya Kilosa kwa upande wa Morogoro na Mpwapwa upande wa Dodoma, yaani kipo mpakani.
Sasa hapa kijijini kuna bonde kubwa lenye acres za kutosha, linatumika...