Habari..!!
Kero yangu ni katika huu mfumo wa serikali wa RITA umekaa kipigaji sana. Mfano unaomba kufanyiwa Verification ya cheti lakini mfumo haukuambii kuwa cheti chako ni cha mda mrefu hakipo kwenye mfumo badala yake inatoa control Number ambayo ukilipia Malipo yanaenda na hayarudishwi je...
Habari za mida hii?
Nina mtoto ana miaka miwili na nusu. Sasa,j'nne niliingia mtandaoni ili nifanyie mchakato wa kupata cheti chake Cha kuzaliwa. Niliambatanisha viambata viwili kama ilivyoekekezwa kwenye mtandao wao(eRITA)
Niliambatanisha kitambulisho Cha kwangu Cha NIDA kama baba na kadi ya...
Mimi changamoto yangu ni utaratibu huu mpya wa RITA wa kuhitaji uthibitishaji (verification) wa cheti cha kuzaliwa kila mara unapohitaji huduma katika taasisi za umma. Mfano, unapohitaji huduma kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), NHIF au NIDA, unatakiwa kufanya uthibitishaji wa cheti...
Nimefika katika jengo la RITA kufuatilia cheti cha mdogo wangu baada ya kupita takribani miezi miwili tangu nilipotembelea mara ya mwisho. Napenda kutoa mrejesho kuhusu changamoto ambayo ilikuwa kero kwa watu wengi, na kwa sasa naona imepungua kwa kiwango kikubwa.
Mara ya mwisho nilipoenda RITA...
Habari wote.
Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza...
NYOTA wa Bongo Movies Tanzania ambaye pia anakua kwa kasi kwenye ujasiriamali, Jacqueline Wolper amepiga moyo konde kusimama na bosi wa Benchmark inayoandaa shindano la kusakura vipaji Afrika Mashariki (Bongo Star Search au BSS), Rita Paulsen 'Madam Rita' kufuatia kadhia iliyojitokeza usiku wa...
Kauli ya Madam Rita kwa Media ya Mike 360
-------
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) kupitia Mwenyekiti wake, Ndugu Shaaban Matwebe, imesikitishwa na kulaani vikali kitendo kisicho na heshima wala uungwana kilichofanywa na Madam Rita dhidi ya chombo cha habari cha...
Jengo la RITA Tower lililoko Posta Dar es Salaam, naona wameamua kulisahau mpaka siku maafa yatokee ili waunde tume.
Jengo lile lina ghorofa 26, mnaweza kuelewa limebeba watu wengi kiasi gani lakini cha kusikitisha ni kwa lift za jengo lile ni nne (zilianza kufa kuharibika moja baada ya...
Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina yoyote tunapata tabu sana ukienda Ofisini shida tupu.
Hakuna haja ya kuwa na eRITA portal
Anonymous
Thread
cheti
cheti cha kuzaliwa
huduma
kuomba
kuweka
kuzaliwa
maana
mtandao
mtu
njia
rita
taarifa
Inshort RITA mmekula KERO sana kwenye upatikanaji wa huduma kwa ufanisi na haraka zaidi. I wonder Watu wenu wa IT wanafanya nini!!!
Mtandao unasumbuaa wiki Nzima na hamtoi taarifa wala kufanya matengenezo..
Apa nimeweka Alarm Kila baada ya nusu Saa nijaribu kuingia lakini holaaa...
RITA...
Wakuu
Nimekutana na hii barua ambayo inasema NIDA na RITA wametoa mkataba kwa shirika la Babu leo LTD kufanya marekebisho ya majina kwenye vyeti? kuna ukweli wa hizi taarifa?
Kumekuwa na mabadiliko ambayo Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wamefanya hasa ya kubadili vyeti vya zamani, ambapo vyeti hivyo vinahusisha hata vyeti vilivyotolewa miaka ya hivi karibuni yaani Miaka ya 2019-2020.
Mchakato wa mabadiliko haujatolewa elimu kwa Wazazi ambao ndio hasa...
Habari za mida wakuu..
Mi nna changamoto moja kwa upande wa RITA verification number. Nmeingiza taarifa zangu mhim na kwa usahihi zaidi ya mara 2 lakini nikishamaliza na kuletewa control number ya malipo, nikishalipia taarifa za tarehe ya kuzaliwa inabadlika kutoka 29-10-2004 na kua...
Kuna sababu gani yakutumia wiki nzima au wiki mbili kabisa kufanya verification ya cheti cha kuzaliwa?
Kwamba muombaji asubiri hadi hizo wili mbili au moja ndio aendelee kufanya application kweli? Huu ni uzembe mkubwa.
Wadau ninyi mmefanikiwa kuverify vyeti vya kuzaliwa?
Toka tarehe 2 hadi leo...
Ndugu wanajamii,
Naitwa Sese, Naandika ujumbe huu nikiwa na maumivu ya moyo na sintofahamu kubwa juu ya hatima ya mtoto mdogo ninayemshughulikia kwa ajili ya mkopo wa elimu ya juu. Katika hatua ya kujaza fomu ya mkopo (HESLB), kwenye kipengele cha preliminary information, ukiweka taarifa za...
Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna usumbufu na ubabaishaji mkubwa sana kuhusu suala zima la utoaji vyeti KIBAHA ikiwa mhusika anahitaji kufuata njia halali bila kuwapa rushwa. Lakini wale wanaotoa elfu 30,000 kwa maana ya malipo ya ziada ya shilingi elfu 10 na kuendelea kwa kizazi...
Mimi ni yatima wa wazazi wote wawili. Tangu tarehe 16 Julai 2025 nimekuwa nikijaribu kuomba mkopo wa elimu ya juu (ngazi ya shahada) kupitia mfumo wa HESLB, bila mafanikio hadi sasa ninapoandika ujumbe huu.
Nikiwa Karagwe, nilianza mchakato wa maombi kwa njia ya mtandao. Kila nilipoingiza RITA...
Wakuu kwema?
Ninamwombea mdogo wangu mkopo wa HESLB. Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye amefanikiwa katika kipengele cha Preliminary Information kujaza RITA VERIFICATION NUMBER ya DEATH.
RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH) tayari zimeshapatikana, lakini kwenye mfumo wa HESLB zinakataa/zinagoma na...
Rita wamekuwa wazembe kuhsughulikia changamoto za wateja wao, niliripoti terehe 19/06/2025 kwenye maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma Dodoma kuwa nilifanya maombi ya kuverify cheti cha kuzaliwa na kulipia 10/06/2025 lakini kufikia tarehe niliyoripoti account ilikua inasema malipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.