wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Kuna Vitu vinatisha wakuu.....

    Hii nimeona sasa hivi. Nimeona bora niseme mapema ila kuna watu wana roho ngumu aiseee Unakuta bado kuna watu wanakula hii Mara kumi ule kukiwa na giza hata usijue unachokula aisee ila live live unaweza ukatapika kabisa haya mavitu yanatisha sana. Bora ubaki kumuona kwa nje tu ila akiwa hivi...
  2. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Wakuu nasikia G Malissa katekwa heti,si alikuwa nje ya Nchi,imekuaje Tena?

    Ndugu yangu na rafiki yangu, Comrade Malisa GJ [@malisa_g], ametekwa na Jeshi la Polisi Tanzania karibu na Namanga, Arusha, Tanzania, jioni hii. Hili ni tukio linalotia wasiwasi mkubwa!! Mwachieni Malisa GJ sasa hivi!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu niambie sifa za gari Suzuki swift old model 2005

    Wakuu niambie sifa za gari Suzuki swift old model 2005
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wakuu ajira za polisi zinatoka lini?

    Mbona muda unazidi kwenda? Watu wa system tuambizane jamani tujiandae na chochote kitu mana mkono mtupu haulambwi
  5. Mboju

    JamiiForums Tanzania Wakuu nipeni dili za pesa hata kama ni Haramu mi nifanya life ni gumu kitaani Aisee

    Sitaki kueleza sana ila wakuu life limeninyoosha hasa naombeni dili yoyote mi nitapiga life ni tite kinoma aisee kila unacho fanya hakiendi mpaka kula kwenyewe shida tafadhalini leteni Dili yoyote mi nitapiga walau na mimi niwe na uhakika wa kula
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Wakuu nchi inauzwa tuitisheni maandamano haraka iwezekanavyo

    Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon Nimesoma mikataba ya barabara Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo. Nimesoma mkataba wa ngorongoro Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu...
  7. James 25th

    JamiiForums Tanzania Private Driver

    Habarini za wakati, ndugu wana jamii forum. Kwanza nipende kushukuru wale wote walio niamini wakanipa kazi za mda kufanya nayo, Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Leo, nipo kwenu tena. Ombi langu ni nafasi ya kufanya kazi na taasisi ama watu Binafsi kama Dereva. Uwezo katika udereva...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mtafikiwa tu mwenzako akinyolewa zako tia maji

    Ni ahadi naiona ikitimia. Walianza njia ya kuwatoa ni kuwapeleka ubalozini kama nchimbi na polepole soon mtawekwa kizuizini kama VP au kusikojulikana kama polepole joka limechoka kunywa damu za malayman
  9. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Watoto wanajua kuabisha wakuu! 🙌 Mzee mwenzenu nimekumbwa na dipresheni

    Wakuu, hawa watoto wetu sometimes wanajua sana kutuaibisha/ kutuangusha. Jumatatu iliyopita nilishiriki mahafali ya darasa la Saba ya binti yangu. Mambo yalikwenda tu vizuri mwanzoni, lakini baadaye hali ya hewa ilichafuka kidogo. Hali ulianza kubadilika pale watoto walipoanza kuonesha vipaji...
  10. fact only

    JamiiForums Tanzania Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

    Hellow wana Jf. Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala? Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?
  11. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Wakuu, huyu mwanamke nimeamua kumtolea uvivu... au nimekosea ndugu zangu??

    Baada ya kumaliza ugomvi wa jana basi leo alipo kuja geto nikamwambia kwamba nina wazo..... Yeye: Wazo gani mpenzi..?? Mimi: Nimepata wazo la kukuoa Yeye: Kama ni hivyo basi naomba uache pombe, uache kutoka na marafiki.... Yeye: Wazo gani liningine unahisi ukiliacha utaipata furaha? Mimi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nikiwa na njaa tumbo linauma na kuwaka moto nakuwa mgonjwa ghafla. Msaada wakuu

    Nahisi hamjambo Shidayangu nataka mniambie nifanyeje ili tatizolangu liishe kabisa nikiwa na njaa tumbo linauma na kuwaka moto nakuwa mgonjwa ghafla.nikila tu kama dakika tano maumivu yote yanapotea kabisa nakuwa na furaha Hii hali imenifanya niwe nakula sana nimekuwa mnene wakati mwili wangu...
  13. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Wakuu..... Eti hapa nimekosea nimemjibu sahihi huyu mlokole wangu?

    Kaniuliza kwamba..... Kati ya sim na biblia, ilitokea vimeanguka kwa pamoja... nitawahi kudaka nini?? Mie nimemjibu, nitaiwahi sim na kuacha biblia ianguke. Yeye akaniuliza.... kwanini sio niwahi kwanza biblia? Nikamjibu tena kwamba..... biblia hata ikianguka, neno la Mungu haliwezi vunjika....🤭...
  14. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kujifanya wakishua, napuliza dawa majumbani maofsini nk, pliz tuwasiliane wakuu

    Wakuu maisha ya kuvaa cheni Kali raba Kali wazee wa t-shirt na jeans hapana Kwa kweli umri unaenda, nataka kuoa soon inshaallah, hivo nawaomba sana sana sana, ndugu zangu NAPULIZA DAWA MAJUMBANI ya kuua wadudu watambao na warukao pliz nipeni kazi wakuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🚴🚴🚴
  15. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika wakuu

    Salamu wakuu na poleni na majukumu Bila kupoteza muda kuna mdau anaomba ushauri Ipo hv kijana alianza maisha DSM akabahatika kuanzisha mahusiano na binti mmoja japo hawakuwahi kuishi wote wawili ila alimpa ujauzito na binti alienda kwao na kuendelea kulea mimba (pekee yake) Na muda ulipita na...
  16. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kuhisu shule ua HIV and AIDS

    Habari wakuu. Poleni kwa kuwashtua. Poleni kwa Kuwapa tension. Kuna Bonge la Uzi niliwahi kusoma Mwaka 2020 miaka Takriban 7 Iliyopita. UZI ULIKUWA UNAELEZEA KWA UNDANI MNO KUHUSU HUU HISTORJA YA UGONJWA, KISAYANSI, KIRUSI CHAKE KILIVYO, NA MTAALAM AKAISHIA KUSEMA HIV SIO UGONJWA NI ...
  17. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Nina jamaa yangu tangu nimjue hajawahi kuwahi tukikutana. Hii inasababishwa na nini wakuu?

    Always mimi ndo nawahi Nimeshamwambia sana kuhusu ila hanielewi Kama tukisema tunakutana saa 9 mtu anakuja saa kumi na nusu. Kila ukimuuliza anasema kuna foleni Kwani sisi wengine hatuna foleni. Kuna siku nilimwambia nimefika ili awahi, ingawa nilikuwa bado sijatoka. Akasema yuko njiani...
  18. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Wakuu, nimekuta lugha mbofu mbofu kunako PM yangu, angalia. 👇

    Hii ni gani wajameni, mbona hii 👇 lugha haisomeki?
  19. Mawazo255

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa JF, naomba dakika chache za muda wenu

    Wakuu wa JF, naomba dakika chache za muda wenu. Leo naandika kwa unyenyekevu nikitumaini nitapata mtu wa kuniamini na kunipa nafasi ya kuanza upya. Habari zenu wakuu. Kwa kweli nimefikiria sana kabla ya kuandika uzi huu. Najua humu kuna watu waliowahi kusaidia lakini wakaja kukutana na...
  20. Chiblak

    JamiiForums Tanzania JE HII KWELI WAKUU?

    Kuna hii kampuni inajiita adsblog unatumia link unajiunga lakn Kuna fee 14,500. Kazi Yako ni kufundisha wageni kiswahili online. Kuna aliyewahi kusikia kuhusu hl au utapeli?
Back
Top Bottom