nakosea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. monotheist

    Kila nikijaza address ya silent ocean inakataa nakosea wapi wajuvi

    Ni mara yangu ya kwanza kutumia pinduoduo nimeshamaliza taratibu zote shida ipo kwenye kujaza address
  2. L

    Naomba msaada nakosea wapi kwenye kuconnect hii form na database

    Wakuu, naendelea kujifunza vitu. Sasa sasa hivi najifunza ku interact na database. Nimeweza kuunda fomu hii kwa msaada wa HTML and CSS Na huu ndiyo code yangu ya HTML <!DOCTYPE html> <html lang="en"> <head> <meta charset="UTF-8"> <link rel="stylesheet" type="text/css"...
  3. Mtu Asiyejulikana

    Ndugu zangu, mi mwenzenu nina Gundu. Sijui nakosea wapi?

    Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza. Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But...
  4. GENTAMYCINE

    Hivi kwa Kinachoendelea sasa Yanga SC nikiwaza hivi nitakuwa nakosea?

    Inakuingia Akilini Kweli kuwa kama tuliaminishwa kuwa kwa sasa Yanga SC kuna Fedha huku GSM, Taifa Stars na Kiongozi Mstaafu wakiwa nyuma Kuihudumia Kipesa na hapo hapo Timu imeshinda Ubingwa wa NBC, ASFC na kufika Fainali ya CAFCC ambako kote huko imepata Pesa nyingi mno leo hii ikakimbiwa na...
  5. Chizi Maarifa

    Wanaume na Wanawake mnishauri mi mwenzenu nakosea wapi? Nifanye nini? Mbona nakutana na mabalaa hivi?

    Hili swali najiuliza kila mara sielewi. Nikijitazama nipo fresh tu na wala huwa sipendelei show off au sijui nini. Nina bahati mbaya na mademu. Binafsi napenda mademu wenye hips na makalio. But napenda pia wawe na akili. Hapo ndo changamoto kubwa sana. Nlianza urafiki na binti mmoja jumatano...
  6. Simeone

    GodDaddy: Kwani kipi nakosea

    Wadau kipi nakosea hapa.... Mbona kila nikisearch domain inaleta hivyo
  7. covid 19

    Kumbe nilikuwa nakosea sana kuwadharau Wanawake kwenye Uongozi

    Hakika waswahili hawakukosea waliposema mmzaniaye ndiye kumbe siye, maisha yangu yote sikuwahi kudhani au kuwaza kuwa mwanamke anaweza kusimamia vitu vikaenda sawa sawa bila kasoro. Ila kwa kinachoendelea sasa hakika wanaume tunaona aibu kwakeli tumetawala hii nchi kwa miaka 60 lakini huyu...
  8. N

    Mrejesho: Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

    Habari wadau, naandika huku nacheka jamani ah, okay niende straight kwenye mada tajwa ila kabla sijasema deep naomba niwashukuru wote mlionishauri haswa wale mlioniPM na wengine mmeenda mbali zaidi kuwasiliana na mimi kwenye simu.Mmenisaidia sana! Basi baada ya ushauri niliamua kufanya...
Back
Top Bottom