wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Dada katoa Code kwetu wanaume, mnakubaliana naye au mnabisha wakuu?

    Dada katoa Code kwetu wanaume, mnakubaliana naye au bado mnabisha? Huyu dada mpaka anazungumza haya anafahau ukweli wa wanawake wenzake Binafsi nakubaliana naye kwasababu nimeona mengi sana
  2. fact only

    JamiiForums Tanzania Wakuu Kwanini ufanye mauaji/kujiua kisa uchi. WHY?

    Ni huzuni Kuona Vijana wengi wanaua/wanajitoa uhai na wengine kuishia kwenda jera au kupoteza ndoto zao kisa pussy. Vijana inatakuwa mtambue kuwa hiyo pussy ya mkeo/mpenzi wako is not yours it's just your turn hata Kama akikusaliti mpaka kukuzalia mtoto ambaye sio wako na ukajua usiue au...
  3. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Kaya, hivi tatizo ni mshahara mdogo au matumizi mabaya ya fedha?

    Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa? Mshahara mdogo? Matumizi mabaya ya fedha? Au kuto kuwekeza?
  4. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania Wakuu hapa nachomoka vipi

    Message kama hii unachomoka vipi
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wakuu kweli pum pum na kitambaa cheupe zikufanye usijenge hata haka

    TUPAMBANE!
  6. mwakyindi

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje gari moja ikawa na number plate zaidi ya moja?

    Habar wakuu polen na majukum! Ivi inakuwaje gar moja kuwa na na namba 3 tofaut za usajili yan 1 ya kawaida T nyingine S ya selikali na nyingine nyekundu!
  7. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipe maoni na ushauri juu ya hili wakuu

    Mambo vipi wakuu... Niko na hii platform ambayo inakwenda kwa jina la ulumbi.com ni marketplace ambayo inamuunganisha mwandishi na msomaji. Kwa maana iko na milango miwili ya kwamba unaweza kujisajiri kama user au writer na ukijisajiri kama writer utapata dashboard ya writer na huko ndio...
  8. fact only

    JamiiForums Tanzania Tupunguze Siri Wakuu

    Habari wana JF. Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa tunazo weka Bank . Jamaa akanambia kahifadhi milioni 28 bank na mke wake hajamwambia hivyo katika familia...
  9. Ally Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Wakuu hiki kigezo cha " awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na kingereza Maneno 100 kw dakika 1.

    Habari zenu. Naomba kuuliza kw MTU ambae ana diploma ya Business Administration kw mfano hizi nafasi za mwandish mwendesh ofisi au MTENDAJI ambazo sifa Zake ni Kam ifuatavyo " Mwenye stashahada ya uhazili au Cheti cha NTA level 6 ya uhazili . Aidha awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wakujiita manabii si wakutane wote pamoja wakusanye 50% ya mapato yao wasaidie masikini, waingie kila hospitali wawatafute wagonjwa mahututi wawaponye

    Until then, mimi bado nitaendelea kuwaita hustlers walioweza kuishinda system kufanya shughuli za uchumi bila ya kulipa makato. HONGERA KWAO! YESU SIO DINI, DINI SIO YESU, YESU NI NJIA.
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video :Hindi moja libebe watoto(mahindi)8?Mbegu gani hii?

    Nimeshangazwa sana na kuona hizi video kwanza sio fake ni real zaidi ya yote nikashangaa tena kuona hata hapa bongo yameshafika. Je kiafya imekaaje haya mahindi? Wataalamu karibuni sana kuhusu hili CHASHA FARMING tafadhari nakuomba sana utoe maoni yako kuhusu hizi video.
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauli Serikali iwaachie waiangamize Gaza!!

    Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauri Serikali iwaachie waiangamize Gaza, na walitoa taarifa ifuatayo mwishoni mwa wiki: “Toka vita vianze Gaza tulikuwa tumeichukua lakini Serikali wakaingia makubaliano na magaidi wa Hamas tukaondoka kwenye maeneo tuliyokuwa tukiyadhibiti baada ya makubaliano...
  13. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Eliona Kimaro: Hatuna shida na amani tuna shida na haki

    Twende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana. Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION. kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi haiwezekani....?

    Kuwe na independent body itakayosimamia malalamiko ya kiuwajibikaji ya serikali pamoja na upinzani.....?! Kama ICC/ UN vile ambapo member state/ parties wanaweza kupeleka malalamiko yao yakachunguzwa, decision ikawa made, na penalty /hukumu kutolewa.....?? Kiwe na representatives wa all...
  15. Half american

    JamiiForums Tanzania Wakuu hapa kuna mimba?

    Kabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo. Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili. 22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april...
  16. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu..?

    Kuna siku nimeenda Bank NMB kutoa kahela kakawaida tu 1,200,000. So nilijaza Bank slip kisha kwenda kwa teller. Matokeo yake yule Bank teller akaniambia kuwa "Kwa kukusaidia kaka katolee ATM ili kupunguza makato" Sasa nikawa najiuliza kwenda kutoa hela kiasi hicho mikupuo mitatu yaan laki nne...
  17. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa wilaya Uyui analazimisha watumishi wote kuchangia pesa Tsh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge

    Heri ya pasaka wanajamvi. Habari za usiku huu. Mkuu wa wilaya amezidi ubabe. Anawafanyia ubabae watumishi wa umma na anajidai hakuna wa kumgusa hata akifanya lolote. Kwani analazimisha watumishi wote kuchangia pesa sh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge ambapo watakaochangia lazima waandikwe...
  18. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Msaada Wakuu!

    Mdogo wangu wa kike kuniuliza ilo swali sitaki nionekane kilaza. "A former East African and current east African community is like a new wine in old bottle, discuss"
  19. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi Covid 19 pandemic imerudi?

    Habari wakuu Huku nilipo sielewi hali ikoje watu wanaondoka wakiwa na afya njema au aka kamdudu kamerudi kimya kimya?
  20. immortanity

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye uvimbe anaweza kushika mimba?

    Msaada tafadhali wakuu Hivi mwanamke mwenye uvimbe tumboni namaanisha kwenye mfuko wa uzazi uterus anaweza shika mimba na kuzaa?
Back
Top Bottom