mikwara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teko Modise

    Al Ahly wana mikwara kama kawaida yao

    Pamoja na hii mikwara yao utashangaa anakufa 3-0 siku ya Ijumaa pale Lupaso. Nimependa mikwara yao japo mtu mzima hatishiwi nyau.
  2. MK254

    Hezbollah ilisubiriwa kuingia kwenye vita, kiongozi wao kabwatuka mikwara kisha kaenda kulala zake

    Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi zikaanzishwa humu, mzee wa watu alipopewa mic atangaze vita, akabwatuka mikwara kisha muda wa kulala ulipofika...
  3. Christopher Wallace

    Alex Luambano: Sijawahi kuwaona Real Madrid wamebeba mapipa, Al Ahly wapunguze mikwara

    Baada ya Al Ahly kutua airport huku wakionekana wamebeba mapipa makubwa kuelekea mchezo wa dhidi ya Simba, mwandishi mkongwe wa michezo kutoka Clouds Fm, Alex Luambano apigwa na butwaa. Sijawahi kuwaona Real Madrid wakiwa wamebeba mapipa, sasa hii Al Ahly ambayo ni miongoni mwa timu kubwa...
  4. sky soldier

    Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

    Picha linaanza unakuta profile picture yake ni ya kibabe Ila kwa vitendo sasa unaona kabisa ni sifuri Wanajua zaidi kupiga domo kwenye misamiati na vitu maneno technical ila vitendo 0, utasikia naweza kupiga sql injection nipate password zote, System naweza kuitungua ddos ile, nikikaa man in...
  5. Mama Edina

    M-Pawa na mikwara ya kuwashtaki wadeni wake

    Nina jirani angu anahaha, kaja mbio mbio kuomba nimuazime pesa aweke kwenye M-Pesa alipe deni la M-Pawa. Jamani Vodacom mtatuliia watu na mikwara yenu. Jana jioni ilinilazimu nimtulize asubiri mwisho wa mwezi alipe, niliona haina maana kutoa pesa alipe ili hali anauwezo wa kulipa pesa baadae...
  6. MK254

    Nimeshangaa sana Urusi kukubali maongezi ya amani, yaani nikikumbuka jeuri na mikwara ile

    Leo Urusi wanasema wako tayari kuzungumza na kukubaliana kuacha vita, hawa hawa supapawa waliompa Zelensky masaa 24 kuachia ngazi. Zelensky siku zote amekua akijaribu kuwabembeleza waache vita waingie kwenye mazungumzo, leo wanaita vyombo vya habari na kubadilisha kauli.....poleni sana kwa...
  7. N

    Nani ndio super power wa ukweli ukanda wa maziwa makuu kudhibiti mikwara ya Rwanda na Congo

    Siku zote panapofuka moshi ujue kuna moto hivyo kila jambo linalotokea huwa halikosi sababu. Kenya ameonekana kujiandaa kupekeka mamia ya wanajeshi Congo baada ya waasi kupata nguvu mashariki ya Congo na kukua kwa uhasama kati ya congo na Rwanda. Ikumbukwe mwaka 2013 Tanzania alipeleka...
  8. NetMaster

    Kenya imejitosheleza kijeshi kukabiliana na mikwara ya jeshi la Uganda? Can KDF supress the Ugandan forces??

    Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ? Naona wazi kabisa huyu kijana wa Mu7 akiachiwa madaraka ananaweza kutesti mitambo. Tanzania walishamalizana nao mpaka leo hii...
  9. GENTAMYCINE

    Kumbe 'sometimes' Mikwara husaidia Kukimbiza 'Vibaka' Watoboa Nyavu Usiku Uswahilini Mwetu

    Nimejaribu hii Mikwara Miwili ndani ya Siku Mbili tofauti ambapo Vibaka walitaka Kunichania Nyavu Ghettoni Kwangu waniibie hii Simu yangu ya Kimasikini ya Tecno F1 na imesaidia Kuwatoa Baru ( Kuwakimbiza ) ila Hofu yangu Siku wakija Kushtukia kuwa sina lolote nahisi Watanipanya Rodi vibaya mno...
  10. enzo1988

    Mzee wa mikwara alimaanisha nini hapa????

    'Eti' ni kweli???????? In Friday's comments, Mr Putin threatened a "more serious" response if Ukrainian attacks continue. "I remind you that the Russian army isn't fighting in its entirety... Only the professional army is fighting." Source:BBC
  11. John Haramba

    Bondia Mandonga ni Kanyaboya wa kisasa, historia zao zinafurahisha, wazee wa mikwara ya hatari

    MANDONGA Kwa sasa Nchini Tanzania ukitaja jina la MANDONGA watu wengi wataanza kucheka, hiyo ni kutokana na sifa za bondia huyo ambaye amejizolea umaarufu hivi karibuni hasa mwaka huu 2022. MANDONGA amenikumbusha stori ya mtu anaitwa Felix KANYABOYA ambaye ndiyo huyo aliyesababisha neno...
  12. M

    CHADEMA hamna mandate ya kumlazimisha Rais kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa

    Lack of wisdom "Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu...
  13. MK254

    Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

    Putin alimtumia Marekani barua kwamba akiendelea kusaidia Ukraine kijeshi asubiri kitakachotokea, Marekani amejibu kwa kutoa msaada wa kufa mtu, dola milioni 800 sio mchezo aki ya nani huu ni uchokozi, masheikh wa JF pro Putin brigade hii imekaa vipi. =========== With a Russian offensive is...
  14. S

    Rais Putin amejaa vitisho na mikwara ila hatoweza kuwashinda Wamarekani

    Katika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, basi ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii hutokea mitaani na hata mashuleni katika ngumi za kawaida. Vitisho mara nyingi hutumika kwa lengo la kumuogopesha mpinzani au adui asianzishe...
  15. GENTAMYCINE

    Mmoja wa Viongozi wa Coastal Union FC: Tayari 'tumeshaiuza' Mechi kwa Yanga SC na hii 'Mikwara' tunayowapiga 'tunazuga' tu

    "GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union FC tutafungwa Magoli mengi na upo Uwezekano hata baadhi ya Wachezaji wetu wakapata Kadi Nyekundu ili...
  16. Christopher Wallace

    Baba enzi zake alikuwa na mikwara

    Hapa alikuwa Mbeya, kuna jamaa kapanda juu ya gari kuhakikisha baba yuko salama! Baba tumemiss sana hizi swaga, wengine wakisema hao jamaa zetu ni wakutoka kwa jirani yako Tolu
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Mikwara ya Mzee Mpili wa Ikwiriri

    🤣🤣🤣 Simba na Yanga raha,burudani unazipa nje na ndani ya uwanja
  18. KAYAMASKINI

    TRA Katavi acheni kujiona miungu watu

    Kwa tabia zilizopo TRA Katavi kwa wafanyabiashara si rafiki na kuridhisha unapokwenda TRA Katavi utadhani umekwenda kituo cha polisi, mikwara umekuwa mingi baada ya kuelimishwa na umekwenda kuwalipa kodi, hiki ndicho kinachofanya kuona kama usumbufu namna huduma zao. Wahusika angalieni mkoa huu...
Back
Top Bottom