TRA Katavi acheni kujiona miungu watu

KAYAMASKINI

Member
Oct 29, 2016
50
21
Kwa tabia zilizopo TRA Katavi kwa wafanyabiashara si rafiki na kuridhisha unapokwenda TRA Katavi utadhani umekwenda kituo cha polisi, mikwara umekuwa mingi baada ya kuelimishwa na umekwenda kuwalipa kodi, hiki ndicho kinachofanya kuona kama usumbufu namna huduma zao.

Wahusika angalieni mkoa huu tunataka ulipaji kodi ulio rafiki kwenye sehemu ya taasisi hii mkoani Katavi ukadiriaji gandamizi, maringo ndivyo vilivyotawala TRA mkoani Katavi kuonana na meneja wa mkoa TRA mpaka utoe maelezo kwelikweli, sasa meneja TRA yuko pale kwa ajili ya walipa kodi au staff wa TRA?
 
Waambie sisi wananchi ndio tunaowaweka wao ofisini ikiwemo huyo meneja wao.
Wawe na heshima na wafanyabiashara/wananchi.
 
Back
Top Bottom