Kenya imejitosheleza kijeshi kukabiliana na mikwara ya jeshi la Uganda? Can KDF supress the Ugandan forces??

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ?

Naona wazi kabisa huyu kijana wa Mu7 akiachiwa madaraka ananaweza kutesti mitambo.

Tanzania walishamalizana nao mpaka leo hii Jeshi la Uganda wanafundisha kiswahili, kilichowakuta hawajasahau.
 
Kenya Haina uwezo wa kusimamisha jeshi la Uganda, alichokisema Muhozi ni ukweli mtupu japo alitumia utani, UPDF wapi vizuri Sana, Museven kwa miaka mingi Sasa amewekeza Sana katika kuliimarisha jeshi lake, ndio sababu Muhozi anazungumza bila wasiwasi wowote ule

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kina MK254 nao wapo kimya ujue kuna ka ukweli 😁😁
 
Nenda katazame budget ya jeshi la Kenya linganisha na Uganda kwa miaka walau kumi, kalinganishe procurements za majeshi hayo mawili ndani ya miaka angalau 10 iliyopita, kalinganishe uwezo wa kufanya assembly ya weapons parts na small manufacturing zao, linganisha nani ana bandari na nani ni rahisi kufanya logistics. Linganisha mafunzo yao angalau kwa kulinganisha namna Kenya inafanya counter terrorism kwa Al Shabaab dhidi ya Uganda inavyofanya, silaha gani zinatumika.

Kisha urudi uone military stability, nidhamu, uzalendo wa raia, utengamano wa kitaifa na bila kusahau nguvu za kiuchumi.
Usisahau washirika wa pande zote mbili. Ukitoka hapo ukaamini Uganda inaweza kuipiga Kenya basi una mahaba.

Nakuuliza swali jepesi kabisa. Uganda inapitisha 80% ya mizigo yake kwenye bandari ya Mombasa. Unahisi kuna namna Kenya inaweza pigwa na Uganda? Maana sahau kuhusu short term war, vita ya miezi walau mitatu kutaifanya Uganda iwe shithole zaidi, sio kupigwa kijeshi hapo ni kiuchumi tu. Na hakuna mechanism ya kuwa na short term war, kwa silaha zipi? Utakuja kusema zile Su-30 sita sijui ambazo hawana hata logistics zake
 
KDF Kuna njaa Kali sana, Westgate pale tu walirefusha mda wa kukaa mule ndani ili waibe pesa na cctv zilituonyesha😂😂😂😂
 
Kama unadhani vita inapigwa kwa kutazama CCTV camera za tukio moja basi endelea. Hapa napo utasema basi Uganda inaweza ushambulia Marekani kisa walishindwa kumzuia gaidi mmoja tu
IMG_20221006_152415.jpg

Na hapa utasemaje, kijana mmoja Hamza mwenye kitambi asiye na mafunzo ya aina yeyote ya silaha alisimamisha mtaa mzima pale Salender zaidi ya nusu saa akifokafoka na kutembea. Kwamba Uganda itatupiga kisa tukio hili?
20221004_173031.jpg
 
Kama unadhani vita inapigwa kwa kutazama CCTV camera za tukio moja basi endelea. Hapa napo utasema basi Uganda inaweza ushambulia Marekani kisa walishindwa kumzuia gaidi mmoja tuView attachment 2378803

Na hapa utasemaje, kijana mmoja Hamza mwenye kitambi asiye na mafunzo ya aina yeyote ya silaha alisimamisha mtaa mzima pale Salender zaidi ya nusu saa akifokafoka na kutembea. Kwamba Uganda itatupiga kisa tukio hili? View attachment 2378805
joto la jiwe kilaza lisilo elewa lolote.., 👆 👆 👆
 
Nenda katazame budget ya jeshi la Kenya linganisha na Uganda kwa miaka walau kumi, kalinganishe procurements za majeshi hayo mawili ndani ya miaka angalau 10 iliyopita, kalinganishe uwezo wa kufanya assembly ya weapons parts na small manufacturing zao, linganisha nani ana bandari na nani ni rahisi kufanya logistics. Linganisha mafunzo yao angalau kwa kulinganisha namna Kenya inafanya counter terrorism kwa Al Shabaab dhidi ya Uganda inavyofanya, silaha gani zinatumika.

Kisha urudi uone military stability, nidhamu, uzalendo wa raia, utengamano wa kitaifa na bila kusahau nguvu za kiuchumi.
Usisahau washirika wa pande zote mbili. Ukitoka hapo ukaamini Uganda inaweza kuipiga Kenya basi una mahaba.

Nakuuliza swali jepesi kabisa. Uganda inapitisha 80% ya mizigo yake kwenye bandari ya Mombasa. Unahisi kuna namna Kenya inaweza pigwa na Uganda? Maana sahau kuhusu short term war, vita ya miezi walau mitatu kutaifanya Uganda iwe shithole zaidi, sio kupigwa kijeshi hapo ni kiuchumi tu. Na hakuna mechanism ya kuwa na short term war, kwa silaha zipi? Utakuja kusema zile Su-30 sita sijui ambazo hawana hata logistics zake
joto la jiwe jibu sahihi hapa sio shabiki zako za kijinga...,
 
Huu wote uliozungumza ni ushabiki hauna ukweli wowote, Saud Arabia ni namba tatu kwa "military spending duniani lakini haipo ktk top ten ya nchi zenye nguvu za kijeshi duniani, Japan ni namba 3 katika uchumi duniani lakini inazidiwa na Turkey katika nguvu za kijeshi.

Bandari Haina uhusiano wowote katika vita, Uganda inaweza kutumia bandari za Tanzania by 100% Kama ilivyokua kipindi cha PEV 2007 na uchumi wao usipate athari yoyote.

Kama alivyosema huyo mbunge wenu, Kenya Haina uwezo wa kupigana na Uganda kwasababu Kenya mnategemea Uganda kwa chakula na biashara, Kenya ikipigana na Uganda, Tanzania lazima itasaidia Uganda, hakutokua na chakula toka Tanzania

Kwahiyo unaamini mahindi ya Tanzania yataifanya Kenya ishindwe vita na Uganda. Na aliyekwambia Tanzania itashirikiana na Uganda nani au wametangaza military alliance.

Kwani EAC ilivyovunjika miaka ya Nyerere mipaka ya Tanzania na Kenya ikafungwa walikufa njaa kisa hatuwauzii chakula.

Basi wewe usiyetumia ushabiki, toa sababu za Uganda kuishinda Kenya vitani
 
Nenda katazame budget ya jeshi la Kenya linganisha na Uganda kwa miaka walau kumi, kalinganishe procurements za majeshi hayo mawili ndani ya miaka angalau 10 iliyopita, kalinganishe uwezo wa kufanya assembly ya weapons parts na small manufacturing zao, linganisha nani ana bandari na nani ni rahisi kufanya logistics. Linganisha mafunzo yao angalau kwa kulinganisha namna Kenya inafanya counter terrorism kwa Al Shabaab dhidi ya Uganda inavyofanya, silaha gani zinatumika.

Kisha urudi uone military stability, nidhamu, uzalendo wa raia, utengamano wa kitaifa na bila kusahau nguvu za kiuchumi.
Usisahau washirika wa pande zote mbili. Ukitoka hapo ukaamini Uganda inaweza kuipiga Kenya basi una mahaba.

Nakuuliza swali jepesi kabisa. Uganda inapitisha 80% ya mizigo yake kwenye bandari ya Mombasa. Unahisi kuna namna Kenya inaweza pigwa na Uganda? Maana sahau kuhusu short term war, vita ya miezi walau mitatu kutaifanya Uganda iwe shithole zaidi, sio kupigwa kijeshi hapo ni kiuchumi tu. Na hakuna mechanism ya kuwa na short term war, kwa silaha zipi? Utakuja kusema zile Su-30 sita sijui ambazo hawana hata logistics zake
Huwezi kufananisha jeshi la kenya na uganda, weka vigezo vyote labla hilo la logistics tuu kwamba kenya kuna bandari, nani anatumia bandari tena kwenye emergencies?mtakufa njaa

Kenya KDF ni upuuzi tuu al shabaab wenyewe wanweza kuwafanya wanachotaka na msiwafanye chochote kile
 
Kikubwa jeshi la kenya nidhamu ni 0,plus ukabila,updf wanajua udhaifu wa kdf,hao kdf kwenye operesheni zao nyingi wanafeli
Nenda katazame budget ya jeshi la Kenya linganisha na Uganda kwa miaka walau kumi, kalinganishe procurements za majeshi hayo mawili ndani ya miaka angalau 10 iliyopita, kalinganishe uwezo wa kufanya assembly ya weapons parts na small manufacturing zao, linganisha nani ana bandari na nani ni rahisi kufanya logistics. Linganisha mafunzo yao angalau kwa kulinganisha namna Kenya inafanya counter terrorism kwa Al Shabaab dhidi ya Uganda inavyofanya, silaha gani zinatumika.

Kisha urudi uone military stability, nidhamu, uzalendo wa raia, utengamano wa kitaifa na bila kusahau nguvu za kiuchumi.
Usisahau washirika wa pande zote mbili. Ukitoka hapo ukaamini Uganda inaweza kuipiga Kenya basi una mahaba.

Nakuuliza swali jepesi kabisa. Uganda inapitisha 80% ya mizigo yake kwenye bandari ya Mombasa. Unahisi kuna namna Kenya inaweza pigwa na Uganda? Maana sahau kuhusu short term war, vita ya miezi walau mitatu kutaifanya Uganda iwe shithole zaidi, sio kupigwa kijeshi hapo ni kiuchumi tu. Na hakuna mechanism ya kuwa na short term war, kwa silaha zipi? Utakuja kusema zile Su-30 sita sijui ambazo hawana hata logistics zake
 
Kwahiyo unaamini mahindi ya Tanzania yataifanya Kenya ishindwe vita na Uganda. Na aliyekwambia Tanzania itashirikiana na Uganda nani au wametangaza military alliance.

Kwani EAC ilivyovunjika miaka ya Nyerere mipaka ya Tanzania na Kenya ikafungwa walikufa njaa kisa hatuwauzii chakula.

Basi wewe usiyetumia ushabiki, toa sababu za Uganda kuishinda Kenya vitani
We jamaa una argue kwa logic sana, Bravo!
 
1.vita ya dunia ya leo haitegemei sana Bandari bali Airport,siku hizi kuna ndege zinabeba mpaka vifaru

2.umewaongelea Alshabab,hawa ni wazi walelidhoofisha jeshi la Kenya,vita ni timing tu,huku UG akipiga kule Alshabab wakapiga fasta Kenya anawezachapwa

3.Mikenya haipendani ina ukabira, UG inaweza kuchochea vurugu za ukabila before attacking,

4.vita ni vita tu,fuatilia vita ya kagera,Nyerere alipata kazi ku mobilize jeshi kuja front,hata sasa muda huu saa 10:49 usiku Tz ivamiwe tutachapwa haraka mpk kesho tujipange sababu hatukawa tayari na vita, na kulingana na sheria za JWTZ wakuu wa vikosi hawatumi askari sehemu mpaka CDF atowe order ambayo pia anapewa na Rais, so vita ni timing tu japo sipingi sana hoja zako lakini unapaswa ufikirie pia UG anaweza tumia timing
linganisha nani ana bandari na nani ni rahisi kufanya logistics. Linganisha mafunzo yao angalau kwa kulinganisha namna Kenya inafanya counter terrorism kwa Al Shabaab
Toto la Museven haliwezi kuropoka tu,wao sio wajinga waseme vile kwa nchi wanayojua ina uwezo kuwazidi wa jeshi maana kule ni kutangaza vita,
 
B
Kikubwa jeshi la kenya nidhamu ni 0,plus ukabila,updf wanajua udhaifu wa kdf,hao kdf kwenye operesheni zao nyingi wanafeli
T14 Armata ,hii ni hoja kubwa sana, budget wakati mwingine sio sababu saana, vita ya UG/TZ idd Amin alikuwa na budget kubwa mno na silaha sophisticated ila alishindwa na Nyerere aliyekuwa na silaha outdated mfano vifaru vya TPDF vilikuwa vya kizamani vya mchina
 
Back
Top Bottom