Mmoja wa Viongozi wa Coastal Union FC: Tayari 'tumeshaiuza' Mechi kwa Yanga SC na hii 'Mikwara' tunayowapiga 'tunazuga' tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
"GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union FC tutafungwa Magoli mengi na upo Uwezekano hata baadhi ya Wachezaji wetu wakapata Kadi Nyekundu ili kutudhoofisha zaidi"

Baada ya GENTAMYCINE kupewa Taarifa hii na huyu Kiongozi Mwandamizi wa Coastal Union FC nikaenda katika Ukurasa wa Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara ambapo kwa alichokiandika nikakiunganisha na niliyoambiwa na huyo Kiongozi wa Coastal Union FC nikajiridhisha kuwa tayari Biashara kati ya Yanga GSM Sports Club na Coastal Union Wapuuzi Wanafiki FC imeshafanyika.

Kauli yenyewe ya Haji Manara niliyoitoa katika Mtandao wa yangascdaily ni hii hapa chini....

Kesho tunaenda kufanya mwendelezo wetu wa kutoa kichapo kwa kila atakaye kuja mbele yetu kutaka kutuzuia safari yetu ya kuchukua ubingwa wa Ligikuu.

Kwa jinsi kikosi kilivyojipanga natumaini kesho tutakuwa na Magori mengi pia tutachukua alama zetu tatu mapema na hakuna wakupinga hilo
.

........................................................................

Hawa Watu Wawili ambao ni Viongozi wa Coastal Union FC ya Tanga Mzee Steven Mguto ( mwana Yanga SC lia lia ) na Kocha Juma Mgunda ( sasa Mkurugenzi wa Ufundi wa Klabu hii ) ambaye ni ( mwana Simba SC kindakindaki ) GENTAMYCINE nawalia 'timing' na leo nawapeni ONYO KALI ole Wenu Kesho mfungwe na Yanga SC naenda Kuwaanika na Kuyaanika yote mliyoyafanya Jana Usiku na leo Saa 2 Asubuhi mkiwa na baadhi ya Viongozi na Matajiri wa Yanga SC ( hasa GSM ) hapo Tanga.

TAKUKURU nchini inakuwaje Mimi Raia tu wa Kawaida tena Mnyonge na Masikini GENTAMYCINE najua Vitendo hivi vya 'Match Fixing' vinafanyika Michezoni na kufanywa zaidi na Yanga SC kupitia Matajiri wao hawa akina 'Samjo Samjo' GSM?

Ole wenu Coastal Union FC mfungwe!!!
 
Wakati Yanga inachanja mbuga kusaka ubingwa, Makolo endeleeni kushangilia ubingwa wa Bonanza na kurejea kwa mwanafunzi aliyefeli Morocco.
Mwanafunzi aliyefeli ni yule ;
*Aliyetoka Azam kwenda Yanga Maana azamu ni kubwa kuliko yanga(angalia ushiriki wao mashindano ya CAF)
*Mwanafunzi aliyefaulu ni yule aliyetoka Yanga au Azam kwenda simba Maana simba ni kubwa kuliko timu za Yanga na azam(angalia ushiriki wao mashindano ya CAF )
*Mwanafunzi anayetoka simba kwenda Berkane au kutoka Berkane kwenda simba hajafeli . Hizo ni shule zenye level sawa.
Kahama shule kubadili mazingira. (Angalia ushiriki wa hivyo vilabu viwili ktk mashindano ya CAF ) wote wako hatua ya makundi kombe la shirikisho.
NB: *Yanga =Ihefu=kitayosa=coastal.
*Simba =Berkane=aly ahaly=Mazembe
 
"GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union FC tutafungwa Magoli mengi na upo Uwezekano hata baadhi ya Wachezaji wetu wakapata Kadi Nyekundu ili kutudhoofisha zaidi"

Baada ya GENTAMYCINE kupewa Taarifa hii na huyu Kiongozi Mwandamizi wa Coastal Union FC nikaenda katika Ukurasa wa Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara ambapo kwa alichokiandika nikakiunganisha na niliyoambiwa na huyo Kiongozi wa Coastal Union FC nikajiridhisha kuwa tayari Biashara kati ya Yanga GSM Sports Club na Coastal Union Wapuuzi Wanafiki FC imeshafanyika.

Kauli yenyewe ya Haji Manara niliyoitoa katika Mtandao wa yangascdaily ni hii hapa chini....

Kesho tunaenda kufanya mwendelezo wetu wa kutoa kichapo kwa kila atakaye kuja mbele yetu kutaka kutuzuia safari yetu ya kuchukua ubingwa wa Ligikuu.

Kwa jinsi kikosi kilivyojipanga natumaini kesho tutakuwa na Magori mengi pia tutachukua alama zetu tatu mapema na hakuna wakupinga hilo
.

........................................................................

Hawa Watu Wawili ambao ni Viongozi wa Coastal Union FC ya Tanga Mzee Steven Mguto ( mwana Yanga SC lia lia ) na Kocha Juma Mgunda ( sasa Mkurugenzi wa Ufundi wa Klabu hii ) ambaye ni ( mwana Simba SC kindakindaki ) GENTAMYCINE nawalia 'timing' na leo nawapeni ONYO KALI ole Wenu Kesho mfungwe na Yanga SC naenda Kuwaanika na Kuyaanika yote mliyoyafanya Jana Usiku na leo Saa 2 Asubuhi mkiwa na baadhi ya Viongozi na Matajiri wa Yanga SC ( hasa GSM ) hapo Tanga.

TAKUKURU nchini inakuwaje Mimi Raia tu wa Kawaida tena Mnyonge na Masikini GENTAMYCINE najua Vitendo hivi vya 'Match Fixing' vinafanyika Michezoni na kufanywa zaidi na Yanga SC kupitia Matajiri wao hawa akina 'Samjo Samjo' GSM?

Ole wenu Coastal Union FC mfungwe!!!
Unajua huu uongo wako kuna siku utakutokea puani

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Du!! we GENTA una jicho la mbali sana!! Hata hili umeliona?? Mungu akulinde najua utatupa habari nyingi sana za maovu yanayoendelea kufanywa na hawa utoh.
 
"GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union FC tutafungwa Magoli mengi na upo Uwezekano hata baadhi ya Wachezaji wetu wakapata Kadi Nyekundu ili kutudhoofisha zaidi"

Baada ya GENTAMYCINE kupewa Taarifa hii na huyu Kiongozi Mwandamizi wa Coastal Union FC nikaenda katika Ukurasa wa Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara ambapo kwa alichokiandika nikakiunganisha na niliyoambiwa na huyo Kiongozi wa Coastal Union FC nikajiridhisha kuwa tayari Biashara kati ya Yanga GSM Sports Club na Coastal Union Wapuuzi Wanafiki FC imeshafanyika.

Kauli yenyewe ya Haji Manara niliyoitoa katika Mtandao wa yangascdaily ni hii hapa chini....

Kesho tunaenda kufanya mwendelezo wetu wa kutoa kichapo kwa kila atakaye kuja mbele yetu kutaka kutuzuia safari yetu ya kuchukua ubingwa wa Ligikuu.

Kwa jinsi kikosi kilivyojipanga natumaini kesho tutakuwa na Magori mengi pia tutachukua alama zetu tatu mapema na hakuna wakupinga hilo
.

........................................................................

Hawa Watu Wawili ambao ni Viongozi wa Coastal Union FC ya Tanga Mzee Steven Mguto ( mwana Yanga SC lia lia ) na Kocha Juma Mgunda ( sasa Mkurugenzi wa Ufundi wa Klabu hii ) ambaye ni ( mwana Simba SC kindakindaki ) GENTAMYCINE nawalia 'timing' na leo nawapeni ONYO KALI ole Wenu Kesho mfungwe na Yanga SC naenda Kuwaanika na Kuyaanika yote mliyoyafanya Jana Usiku na leo Saa 2 Asubuhi mkiwa na baadhi ya Viongozi na Matajiri wa Yanga SC ( hasa GSM ) hapo Tanga.

TAKUKURU nchini inakuwaje Mimi Raia tu wa Kawaida tena Mnyonge na Masikini GENTAMYCINE najua Vitendo hivi vya 'Match Fixing' vinafanyika Michezoni na kufanywa zaidi na Yanga SC kupitia Matajiri wao hawa akina 'Samjo Samjo' GSM?

Ole wenu Coastal Union FC mfungwe!!!
kipaumbele chako namba moja?
"Umbeaaaa"

na mbili?
"umbea"

namba tatu?
"umbea,umbea,uumbeaaa"

TUAMBIZANE BASI FAIDA UNAYOPATA NA SISI TUJIUNGE NA MAMBO UMBEA
 
Unaumwa wewe si bure.
 
Samahani Mods tunaweza kupata usahihi wa akili za huyu mtoa mada kama ziko sawa kweli??
Nashauri kuwe na option za kupima akili kwa wanaJF kabla ya kujiunga ili kupunguza vichaa kama hawa.
Nakazia
 
GENTAMYCINE nae anajiita mchambuzi wa Pre-Mechi. Hakuna mechi yeyote ashawahi kutoa tuhuma kwa mpinzani wa YANGA kula hela na ikaenda kaka alivyotabiri.

HAJISTUKII NA WATU WANAMZOOM TU NA KUMPROVE KWELI HUYU NI POPOMA 100%.
 
Wakati Yanga inachanja mbuga kusaka ubingwa, Makolo endeleeni kushangilia ubingwa wa Bonanza na kurejea kwa mwanafunzi aliyefeli Morocco.
Engineer aliwadanganya kuwa Chama anamsajili, huu ni msumari wa pili kudanganywa baada ya ule wa kusema atachukua ubingwa msimu uliopita.

Endeleeni kudanganywa nyie Gongowazi...!
 
"GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union FC tutafungwa Magoli mengi na upo Uwezekano hata baadhi ya Wachezaji wetu wakapata Kadi Nyekundu ili kutudhoofisha zaidi"

Baada ya GENTAMYCINE kupewa Taarifa hii na huyu Kiongozi Mwandamizi wa Coastal Union FC nikaenda katika Ukurasa wa Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara ambapo kwa alichokiandika nikakiunganisha na niliyoambiwa na huyo Kiongozi wa Coastal Union FC nikajiridhisha kuwa tayari Biashara kati ya Yanga GSM Sports Club na Coastal Union Wapuuzi Wanafiki FC imeshafanyika.

Kauli yenyewe ya Haji Manara niliyoitoa katika Mtandao wa yangascdaily ni hii hapa chini....

Kesho tunaenda kufanya mwendelezo wetu wa kutoa kichapo kwa kila atakaye kuja mbele yetu kutaka kutuzuia safari yetu ya kuchukua ubingwa wa Ligikuu.

Kwa jinsi kikosi kilivyojipanga natumaini kesho tutakuwa na Magori mengi pia tutachukua alama zetu tatu mapema na hakuna wakupinga hilo
.

........................................................................

Hawa Watu Wawili ambao ni Viongozi wa Coastal Union FC ya Tanga Mzee Steven Mguto ( mwana Yanga SC lia lia ) na Kocha Juma Mgunda ( sasa Mkurugenzi wa Ufundi wa Klabu hii ) ambaye ni ( mwana Simba SC kindakindaki ) GENTAMYCINE nawalia 'timing' na leo nawapeni ONYO KALI ole Wenu Kesho mfungwe na Yanga SC naenda Kuwaanika na Kuyaanika yote mliyoyafanya Jana Usiku na leo Saa 2 Asubuhi mkiwa na baadhi ya Viongozi na Matajiri wa Yanga SC ( hasa GSM ) hapo Tanga.

TAKUKURU nchini inakuwaje Mimi Raia tu wa Kawaida tena Mnyonge na Masikini GENTAMYCINE najua Vitendo hivi vya 'Match Fixing' vinafanyika Michezoni na kufanywa zaidi na Yanga SC kupitia Matajiri wao hawa akina 'Samjo Samjo' GSM?

Ole wenu Coastal Union FC mfungwe!!!
Mzee Rage hakukosea! Mbumbumbu kabisa wewe
 
Back
Top Bottom