bondia

USS Bondia (AF-42) was an Adria stores ship stores ship acquired by the U.S. Navy for service in World War II. Her task was to carry stores, refrigerated items, and equipment to ships in the fleet, and to remote stations and staging areas.
Bondia was laid down on 18 September 1944 at Beaumont, Texas, by the Pennsylvania Shipyard under a Maritime Commission contract (MC hull 2204); launched on 9 November 1944; sponsored by Mrs. Les Reil; delivered to the Navy on 31 March 1945; and commissioned on 17 April 1945, Lt. Milton L. Austin in command.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Bondia Hassan Mwakinyo amepata pigo la kwanza katika kesi aliyofunguliwa na Promota

    Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amepata pigo la kwanza katika kesi yake ya madai inayomkabili kufuatia pingamizi lake aliloliweka katika kesi hiyo dhidi ya mdai Kampuni ya PAF Promotion kutupiliwa mbali katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na kukosa mashiko kwa...
  2. Braza Kede

    Boxing: Kiduku amchakaza bondia kutoka India

    Tia neno kama unafatilia mapambano yanayoendelea Bondia Mtanzania Twaha Kiduku amefanikiwa kushinda pambano lake dhidi ya Harpreet Singh wa India kwa TKO baada ya kumalizika Raundi ya Tano. Ngumi mfululizo zilizotua usoni kwa mpinzani hasa kuanzia Raindi ya Nne na Tano zilimfanya Singh...
  3. Uzalendo wa Kitanzania

    Bondia Karim Mandonga apigwa Knockout na bondia Maugo

    Wadau hamjamboni nyote Ni usiku huu Mandonga aokolewa na refa round ya mwisho wa mchezo
  4. mwehu ndama

    Bondia Dula mbabe wa Tanzania ashushiwa kichapo kizito huko Uk

    Bondia mtanzania abdalah Pazi maarufu kama dulla mbabe, amekumbana na kadhia baada ya kushushiwa kichapo cha kwenda na bondia toka United kingdom , dulla mbabe amepigwa ngumi mfululizo za mdomo na jicho huku ngumi zingine zikimpata kidevuni na puani, hali iliyopelekea apepesuke na kupoteza...
  5. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Bondia Changarawe afanya kweli usiku huu italy, amtwanga mvenezuela kwa KO

    BREAKING: BONDIA CHANGARAWE AFANYA KWELI USIKU HUU ITALY, AMTWANGA MVENEZUELA KWA KO! Na Nsangu Kagutta, Italy Yusufu Luccasi Changarawe usiku huu ameing'arisha Tanzania baada ya kushinda pambano lake la kwanza la kutafuta kufuzu kushiriki kwenye mashindano ya Olympic jijini Paris, Ufaransa...
  6. 1

    Bondia anayeweza kuleta heshima hapa nchini ni Hassan Mwakinyo tu

    Jana nilikesha kumcheki Jini Makata akidhalilika kwa msouth, kiukweli wote tuliocheki ile gemu tunakubali kuwa Nusu Mtu Nusu jini alipigwa, kibaya zaidi ni pale Raundi ya mwisho ilipobakia sekunde 17 gemu iishe kengele ilipigwa kuashiria mchezo umekwisha, zile sekunde msouth alikuwa anammaliza...
  7. The Evil Genius

    Bondia Larry Holmes: Ken Norton alinipiga ingawa majaji walinipa Ushindi

    Wale wapenzi wa ndondi, tunawakumbuka mabondia wa miaka ya 70 na 80 kina Mohamed Ali, Smoking Joe Frazier, Ken Norton, Jimmy Young, Leon Spinks, Big George Foreman, Ernie Shavers, Ron Lyle nk. Mwaka 1978, Leo Spinks akiwa ameshinda taji ya WBC kutoka kwa Mohamed Ali, aligoma kupigana kama...
  8. The Evil Genius

    Bondia Larry Holmes: Ken Norton alinipiga ingawa majaji walinipa Ushindi

    Wale wapenzi wa ndondi, tunawakumbuka mabondia wa miaka ya 70 na 80 kina Mohamed Ali, Smoking Joe Frazier, Ken Norton, Jimmy Young, Leon Spinks, Big George Foreman, Ernie Shavers, Ron Lyle nk. Mwaka 1978, Leo Spinks akiwa ameshinda taji ya WBC kutoka kwa Mohamed Ali, aligoma kupigana kama...
  9. MSAGA SUMU

    Mwakinyo kupigana na bondia wawili ndani ya usiku mmoja

    Huyu jamaa ni habari nyingine, baada ya kupigana na kuchakaza mabondia kadhaa ndani na nje ya nchi. Jamaa ameamua tarehe 27 apigane na mabondia wawili siku moja.
  10. JanguKamaJangu

    Bondia Fadhili Majiha avunja rekodi ya Mwakinyo kwa kufikisha nyota 4.5

    Bingwa wa ndondi Mkanda wa WBC Afrika, Fadhili Majiha na bondia namba moja Tanzania 'Kiepe Nyani' ameweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kupata hadhi ya nyota nne na nusu tangu nchi ipate uhuru huku akivunja rekodi ya Hassan Mwanyiko na Tony Rashid katika mtandao wa Boxrec. Majiha ameweka...
  11. Cicadulina

    Bondia Hassan Mwakinyo afungiwa kujihusisha na mchezo wa ngumi mwaka mmoja

    Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) imemfungia Bondia Hassan Mwakinyo kujihusisha na mchezo wa ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 1 Hatua hiyo imekuja kutokana na kugomea pambano lake lililokuwa lifanyike septemba 29.2023, Dar es...
  12. H

    Wapenzi wa ndondi, kipindi bondia Tyson bingwa wa dunia kulikuwa na mapambano ya utangulizi kabla ya pambano lake!!?

    Tunapomalizia weekend jamani salamu🙁 Kichwa cha habari kinajieza.Huyu jamaa au mbabe wa ndondi enzi hizo ilikuwa akiingia tu basi anatoa klebu moja tu kwa mpinzani wake tena dakika ya kwanza tu na pambano linakuwa limeisha. Sasa mi naona watu au mashabiki walikuwa wanaliwa tu hela ya bure...
  13. GENTAMYCINE

    Bondia Mandonga adhibitiwe kauli zake za kihuni zisije kuchafua Mchezo wa Ngumi

    "Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili kupigana nami sitaki jamani." Amesema Bondia Mandonga jana baada ya kupigwa kwa KO na Bondia Fundi Moses...
  14. USSR

    Mandonga case study: Je Ni sahihi kwa bondia kupigana mara mbili ndani ya mwezi mmoja?

    Kwa wataalam wa ndondi hebu mtusaidie hili, Mandonga alipigana wiki mbili zilizopita nchini Kenya akapigwa TKO lakini leo Tena amepigana pale mwanza akapigwa Tena kwa KO yaani ndani ya mwezi mmoja tu bondia anapigana Mara mbili tena mapambano makubwa namna hii. Chama Cha ngumi Cha Tanzania...
  15. D

    Kumbe bondia wetu Nasibu Ramadhani kapigwa Norway na hatuambiwi

    Juni 09, Mwaka huu Bondia Nasibu Ramadhani alipanda ulingoni nchini Norway kupambana na Bondia Bernard Torres katika ukumbi wa Chateau Neuf ulioko mji wa Oslo. Katika pambano hilo Bondia wa Norway Bernard Torres mwenye rekodi ya kushida mapambano 18 na kupigwa moja, alimshinda Bondia wa...
  16. W

    KING MAUGO BONDIA

    Huyu mwamba namuona sana kwenye mapambano mpaka ya nje ya nchi lakini sioni hata waandishi wa habari wakiongelea habari zake nini tatizo, kama Kuna anayemjua zaidi atuwekee hapa!
  17. W

    Mji mkuu ni sawasawa na kichwa/uso kwa bondia, ukiona panagusika hapo kila mara jiulize mara mbilimbili katika unayoyasikia!

    Ndo hivyo wakuu, ukiona bondia anapigika usoni kirahisi ujue mambo si mambo hapo. Vivo hivyo kwa nchi zinapopigana, ukiona kila mashambulizi yanafika mji mkuu yakupasa uwe makini kweli na meeeeengi unayoyasikia......hususani kutoka upande huo wenye mji unaoshambuliwa. Yote kwa yote, vita ni...
  18. JanguKamaJangu

    Mwili wa bondia Ibrahim Najim aliyefariki baada ya kuanguka ulingoni, kuzikwa Kyela

    Mwili wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Ibrahim Najim unatarajiwa kuzikwa wilayani Kyela Mkoani Mbeya. Najum alianguka ulingoni jumapili iliyopita baada ya kumalizika kwa pambano lake la raundi nne dhidi ya bondia Laurent Segu wa Dodoma na kuwahishwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma...
  19. B

    Bondia Mtanzania afariki baada ya kupigwa

    Taarifa za hivi punde zinasema kwamba, Bondia Mtanzania, Ibrahim Najum, amefariki dunia leo Aprili 27, 2023 baada ya kukaa hospitali kwa takribani siku tatu akipatiwa matibabu. Bondia huyo Aprili 24, 2023 alikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, kufuatia mfadhaiko alioupata na kuanguka...
Back
Top Bottom