politics

 1. Greataziz

  Kwanini tusiwaige Kenya kwa haya machache?

  Serikali ya Kenya imesaini mkataba wa ujenzi wa miundo mbinu ya magari yanayotembea kwenye Nyaya (Cable cars). Mradi huo unatarajiwa kugharimu dolla million 57.2 mpaka kukamilika. Mradi huo unategemea kukamilika 2020, na utakuwa na uwezo wa kusafirisha abiria 180,000 kwa siku, huku ukiwa na...
 2. Joselela

  Matumaini ya wanazimbabwe kuwa wapo salama sasa

  Matumaini Zimbabwe ni salama na hii ... Huyu ni mtoto wa Emerson Mnangagwa, Rais wa Zimbabwe anayekuja anaonyesha utajiri wake. Je, Mnangagwa ataisha uporaji? ______________________________________________________________________ Hope Zimbabwe is safe with this... This is the son to...
 3. Dominic Myumbilwa

  Swahili Music Quotes

 4. Tz boy 4tino

  Wakenya mchagueni Raila Odinga kwa maendeleo ya kweli

  Kwanza nianze kujitambulisha kuwa mimi nimfatiliaje mzuri wa siasa za Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Let's go straight to the point... Kwa nini nawashauri mumchague Raila Odinga ?. 1. Ni kiongozi mzalendo na mwenye uchungu na nchi yake, hili linathibitishwa na uvumilivu wake pamoja na...
 5. Kessy Wa Kilimanjaro

  Magufuli The Bulldozer Of Economies

  What are your thoughts on this Article by The Economist on Magufuli's policies? WHEN opening parliament after his election last year, Tanzania’s president, John Magufuli, repeated a campaign promise: parents would no longer have to pay for secondary education. “And when I say free education, I...
 6. Kessy Wa Kilimanjaro

  Kwanini Tanzania haina Presidential Debate (Mjadala wa Wagombea Rais)?

  Leo nina swali tu: Kwanini Tanzania hatuna Presidential debate (Mjadala wa wagombea Raisi) kwenye uchaguzi tangia tupate uhuru.
 7. Kessy Wa Kilimanjaro

  Wanasiasa ni vimelea wa uchumi (politicians are economic parasites)

  Wealth distribution ni uongo mwingine ambao wanasiasa wameanzisha ili kuhalalisha unyang'anyaji wa mafanikio ya wengine kupitia kodi. Wealth Distribution inacho fanya ni kuondoa motisha ya watu kufanya kazi na kuongeza uroo wa nguvu za kiserikali. Tatizo Tanzania kila mtu anataka kuwa mbunge...
 8. Kessy Wa Kilimanjaro

  Tanzania iige mfano wa Botswana

  Tanzania inahitaji fikra ya Libertarianism. Kwenye Kiswahili hamna neon linalo tafsiri kuwa Libertarianism. Kwa ambao hamuelewi, Libertarianism ni philosophia inayo sisitiza umuhimu wa uhuru. Mtu ambaye ni Libertarian, jitihada zake ziko kwenye kuongeza uhuru wa wananchi kuchagua jinsi...