Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,378
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS Magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu

Wakati Magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua Magufuli kwenye bank za biashara

Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa

Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka Magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda

Japokua hali ni ngumu sana bank kama NMB imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga

Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya Magufuli

Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka Magufuli ila ukweli ni kwamba angekua Magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
 
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana

Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi kulipa mikopo aliyochukua magufuli

Miradi mikubwa aliyoanzisha magufuli imekua ni kaa la moto kwa serekali na kuweka mambo magumu serekali kwa shinikizo la kisiasa ikabidi ifanye juu na chini iimalizie huku hio miradi ikihitaji hela nyingi

Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga

Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Tumia akili
 
Umeandika nini hapa wewe mbumbumbu?
 
Bora corona ilivyomfyekelea mbali
 
Hadi umeme na maji vinakatwa kisa Magufuli kaacha madeni yasiyolipika!?
Kuna Watu wanahangaika sana kuhalalisha uozo uliopo kwa kumsingizia Hayati, wanaleta vitu ambavyo hata ushahidi hawana..

Siku za mwanzo Umeme unasumbua, wakaja na hoja kwamba mitambo ilikuwa haifanyiwi ukarabati enzi za Hayati, saa hizi tena tunaambiwa Maji yamepungua kwenye Mabwawa ya kuzalisha Umeme, Wanatuona sisi ni Wajinga wa kudanganywa kila leo.
 
Uzi hauhusu umeme jikite kwenye uzi
 
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana

Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi kulipa mikopo aliyochukua magufuli

Miradi mikubwa aliyoanzisha magufuli imekua ni kaa la moto kwa serekali na kuweka mambo magumu serekali kwa shinikizo la kisiasa ikabidi ifanye juu na chini iimalizie huku hio miradi ikihitaji hela nyingi

Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga

Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Mnapambana na Kaburi lkn bado hamtashinda.
 
Sema watu wenye uwezo kama wako, hawawezi jua kitu kwakuwa hawana kitu cha ku-offer!

Umeongea kwenye level ya kina Baba Levo!

Ebu tutajie deni la taifa/nchi liko vipi kwa sasa ili tujue ukilinganisha na kipindi cha Msoga then Mwamba!

Utueleze tu, ni kiasi gani kinaenda kizimkazi kwa gharama ya Tanganyika only?
  • Kiasi gani kinaenda kwa mkwe?
  • Kiasi gani wakina Bahashe wanatia mifukoni?
  • Unafuatilia semina mfu na warsha zinazoendelea kwa sasa?
  • Unajua ni kwanini KQ wameufyata? Watumishi wa umma wanaishi angani siku hizi.
  • Unaweza kutufafanulia ni kwa kiasi gani uchumi umekuwa kiuhalisia kiasi cha watumishi kuweza kufanya matusi wanayofanya mtaani kwa nyongeza ya Tsh 23,000 tu?

Unaelewa nini ukiwaona mateja kule vituoni, wale waliokuwa wametoweka?

Unaishi wapi usijue ni jinsi gani wizi wa kizamani umerudi kwa kasi?

Kuwa CHAWA ni LAANA na hasa kama ni MWANAUME.
 
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana

Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi kulipa mikopo aliyochukua magufuli

Miradi mikubwa aliyoanzisha magufuli imekua ni kaa la moto kwa serekali na kuweka mambo magumu serekali kwa shinikizo la kisiasa ikabidi ifanye juu na chini iimalizie huku hio miradi ikihitaji hela nyingi

Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga

Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Mikopo mingi ni miaka 10 kuendelea, kuanzia mwaka 2030 huko lazima watu walimie meno, jamaa alikopa sana, akawa anaongopea fedha zetu.

Mwigulu naye anakopa kwa spidi ya Boeing 787 .
 
Back
Top Bottom