Walinzi (Makomandoo) na Wapishi wa Simba SC mliokuwa zamu Derby ya Novemba 5, 2023 Albadiri itatulipia machungu yetu kwa usaliti wenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa baadhi au Wakaishia tu Bench ) kisha wakaenda hadi kwa Viongozi Wawili ambao hawapatani Mmoja akiwa na Asili ya Waliotuadhibu na Mwingine akiwa ni Mwenzetu ila ni mwepesi mno Kuhongeka na mpenda 10% kwenye kila Dili.

Sasa kuonyesha kuwa Watoa Adhabu Kali ya Kufungia mwaka katika Soka nchini Tanzania walidhamiria kumbe hawakuingia tu kwa Wachezaji na Viongozi bali Safari hii walihamia kwa Walinzi ( Makomandoo ) na Wapishi wa Timu / Klabu.

Kumbe wakati Timu iko Uwanjani inapiga Mbungi ( Kipindi cha Kwanza ) walihesabiwa Walinzi waliokuwepo zamu Uwanjani na Kupigwa Hela ya maana na Kukubali ipulizwe Dawa ya Kulegeza Mwili ( wana Michezo tunaiita 4-4-2 ) Vyumbani huku Mganga wa Kike HATARI Mwenye Ziwa Moja aishie Tegeta akiwa na Watu wa Timu iliyotoa Adhabu ( huku akiwa Kavalia kama Mwanaume ) wakaingia na Kumwaga Dawa za Ndumba ( Ulozi ) Koridoni na Timu ilipotoka Half Time ikauvagaa Mtego.

Kwanini GENTAMYCINE nimewavulia Kofia hawa Jamaa ( Watoa Adhabu Kali ya Kufungia mwaka 2023 Jumapili iliyomalizika ) kumbe kule kule Kambini tayari Walishapenyeza Watu wao ambao nao walimalizana na Mpishi wa Timu huku Wakilindwa na Kiongozi Mmoja na Wajumbe Wawili ili Chakula ambacho Wachezaji walikula Mchana ule Kiwekwe Dawa ambayo ingewaathiri Wachezaji taratibu ( hasa Kiufanisi ) ndani ya Masaa Manne au Matano ijayo ikichanganyika vizuri Mwilini.

Lile Swali Kubwa ambalo GENTAMYCINE nilikuwa nalo la kwanini Wachezaji wa Team WAADHIBIWA waliporejea Kipindi cha Pili walikuwa Wazito Kukimbia, hawana Nguvu na kama vile Wote Wamechanganyikiwa ila kwa sasa nimeshapata Jibu.

Naionea sana Huruma Team WAADHIBIWA Jumapili kwani WATOA ADHABU Jumapili WAMESHAJIPENYEZA sehemu zote Muhimu na Nyeti ndani yao na wataendelea KUWAADHIBU na kuwashinda KIMAFANIKIO kila mwaka mpaka AKILI ziwaamke na ziwakae sawa.

ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
 
Mi nawaonea huruma sana mashabiki wa Simba5 jumapili walifungwa vibaya sana lakini kama vile watu wasiotosheka na kipigo Jana tena walikuwa upande wa coastal union wakaishia kutonesha kidonda ambacho Leo tena Namungo anaongeza maumivu
Msemaji wenu alishauri mlale kupunguza maumivu nyie mmeendelea kuzurura mtandaoni
 
Hakuna lolote hizo ni propaganda tu za kutokukubali kuzidiwa na mtani wako. Wachezaji wote wamefanya mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo hakukuwa na mchezaji hata mmoja aliyesimamishwa. Mmepewa ruksa ya kwenda TAKUKURU kwanini mpaka leo hamtaki kufungua kesi? Hakuna aliye saliti wala nini bali mmepata mlichokistahili na kocha mkamtimua hizo zingine ni propaganda tu za kuficha aibu
 
Mi nawaonea huruma sana mashabiki wa Simba5 jumapili walifungwa vibaya sana lakini kama vile watu wasiotosheka na kipigo Jana tena walikuwa upande wa coastal union wakaishia kutonesha kidonda ambacho Leo tena Namungo anaongeza maumivu
Msemaji wenu alishauri mlale kupunguza maumivu nyie mmeendelea kuzurura mtandaoni
Mke mkubwa analalamika kwanini mke mdogo akupigwa bao nyingi kama alizopigwa yy
 
Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa baadhi au Wakaishia tu Bench ) kisha wakaenda hadi kwa Viongozi Wawili ambao hawapatani Mmoja akiwa na Asili ya Waliotuadhibu na Mwingine akiwa ni Mwenzetu ila ni mwepesi mno Kuhongeka na mpenda 10% kwenye kila Dili.

Sasa kuonyesha kuwa Watoa Adhabu Kali ya Kufungia mwaka katika Soka nchini Tanzania walidhamiria kumbe hawakuingia tu kwa Wachezaji na Viongozi bali Safari hii walihamia kwa Walinzi ( Makomandoo ) na Wapishi wa Timu / Klabu.

Kumbe wakati Timu iko Uwanjani inapiga Mbungi ( Kipindi cha Kwanza ) walihesabiwa Walinzi waliokuwepo zamu Uwanjani na Kupigwa Hela ya maana na Kukubali ipulizwe Dawa ya Kulegeza Mwili ( wana Michezo tunaiita 4-4-2 ) Vyumbani huku Mganga wa Kike HATARI Mwenye Ziwa Moja aishie Tegeta akiwa na Watu wa Timu iliyotoa Adhabu ( huku akiwa Kavalia kama Mwanaume ) wakaingia na Kumwaga Dawa za Ndumba ( Ulozi ) Koridoni na Timu ilipotoka Half Time ikauvagaa Mtego.

Kwanini GENTAMYCINE nimewavulia Kofia hawa Jamaa ( Watoa Adhabu Kali ya Kufungia mwaka 2023 Jumapili iliyomalizika ) kumbe kule kule Kambini tayari Walishapenyeza Watu wao ambao nao walimalizana na Mpishi wa Timu huku Wakilindwa na Kiongozi Mmoja na Wajumbe Wawili ili Chakula ambacho Wachezaji walikula Mchana ule Kiwekwe Dawa ambayo ingewaathiri Wachezaji taratibu ( hasa Kiufanisi ) ndani ya Masaa Manne au Matano ijayo ikichanganyika vizuri Mwilini.

Lile Swali Kubwa ambalo GENTAMYCINE nilikuwa nalo la kwanini Wachezaji wa Team WAADHIBIWA waliporejea Kipindi cha Pili walikuwa Wazito Kukimbia, hawana Nguvu na kama vile Wote Wamechanganyikiwa ila kwa sasa nimeshapata Jibu.

Naionea sana Huruma Team WAADHIBIWA Jumapili kwani WATOA ADHABU Jumapili WAMESHAJIPENYEZA sehemu zote Muhimu na Nyeti ndani yao na wataendelea KUWAADHIBU na kuwashinda KIMAFANIKIO kila mwaka mpaka AKILI ziwaamke na ziwakae sawa.

ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
🔰 | 𝗨𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔

Ubora wa Yanga kwa sasa utaitesa sana klabu ya Simba SC kwa nini ?

Kufungwa (1-5) wameanza kuaminishana ni HUJUMA, kwamba wachezaji wamehujumu timu. Viongozi wa Simba hawataki kukiri kuwa wamezidiwa na Yanga quality.

Hiki kirusi cha kutokutaka kukubali ubora wa Yanga kitaleta maafa ndani ya Simba kwa sababu hawatawekeza nguvu kuijenga timu ya ushindani kwa kusajili vizuri, watawekeza nguvu zao KUTAFUTA MCHAWI.

Wakija kustuka ni too late wenzao watakuwa mbali. Hata wangesimamisha wachezaji kumi (10) hilo sio suluhisho.

Simba imeruhusu magoli kwenye mechi (10) kati ya (12), ni kwamba ilihitajika timu 1 bora kuwafunga magoli mengi kuwakumbusha kuwa timu yao ina upungufu sehemu fulani, jukumu hilo kalifanya Yanga.. Huenda dhahama ingetokea hata kwa Al Ahly lakini hawakutumia nafasi walizopata.

Unamsimamisha Clatous Chama kwani lini aliwahi kuwa na performance nzuri dhidi ya Yanga iliyobora ? Unamsimamisha Inonga kwa nini usimsifu Aziz Ki, Musonda au Max kwa kufunga magoli ya viwango ? ..

.. Unamsimamisha Kapombe kwani mara ngapi alifanya makosa hata kabla ya derby ?

NB : Baadhi ya Viongozi wa juu wanaficha makosa yao ya kusajili kina Ayubu kisha jumba bovu wanawaangushia wengine.

𝗧𝗢𝗠 𝗖𝗥𝗨𝗭
 
Kubalini yale maji mlomwaga ndo kila kitu... 😆 😆 😆 🐸 🐸
 
Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa baadhi au Wakaishia tu Bench ) kisha wakaenda hadi kwa Viongozi Wawili ambao hawapatani Mmoja akiwa na Asili ya Waliotuadhibu na Mwingine akiwa ni Mwenzetu ila ni mwepesi mno Kuhongeka na mpenda 10% kwenye kila Dili.

Sasa kuonyesha kuwa Watoa Adhabu Kali ya Kufungia mwaka katika Soka nchini Tanzania walidhamiria kumbe hawakuingia tu kwa Wachezaji na Viongozi bali Safari hii walihamia kwa Walinzi ( Makomandoo ) na Wapishi wa Timu / Klabu.

Kumbe wakati Timu iko Uwanjani inapiga Mbungi ( Kipindi cha Kwanza ) walihesabiwa Walinzi waliokuwepo zamu Uwanjani na Kupigwa Hela ya maana na Kukubali ipulizwe Dawa ya Kulegeza Mwili ( wana Michezo tunaiita 4-4-2 ) Vyumbani huku Mganga wa Kike HATARI Mwenye Ziwa Moja aishie Tegeta akiwa na Watu wa Timu iliyotoa Adhabu ( huku akiwa Kavalia kama Mwanaume ) wakaingia na Kumwaga Dawa za Ndumba ( Ulozi ) Koridoni na Timu ilipotoka Half Time ikauvagaa Mtego.

Kwanini GENTAMYCINE nimewavulia Kofia hawa Jamaa ( Watoa Adhabu Kali ya Kufungia mwaka 2023 Jumapili iliyomalizika ) kumbe kule kule Kambini tayari Walishapenyeza Watu wao ambao nao walimalizana na Mpishi wa Timu huku Wakilindwa na Kiongozi Mmoja na Wajumbe Wawili ili Chakula ambacho Wachezaji walikula Mchana ule Kiwekwe Dawa ambayo ingewaathiri Wachezaji taratibu ( hasa Kiufanisi ) ndani ya Masaa Manne au Matano ijayo ikichanganyika vizuri Mwilini.

Lile Swali Kubwa ambalo GENTAMYCINE nilikuwa nalo la kwanini Wachezaji wa Team WAADHIBIWA waliporejea Kipindi cha Pili walikuwa Wazito Kukimbia, hawana Nguvu na kama vile Wote Wamechanganyikiwa ila kwa sasa nimeshapata Jibu.

Naionea sana Huruma Team WAADHIBIWA Jumapili kwani WATOA ADHABU Jumapili WAMESHAJIPENYEZA sehemu zote Muhimu na Nyeti ndani yao na wataendelea KUWAADHIBU na kuwashinda KIMAFANIKIO kila mwaka mpaka AKILI ziwaamke na ziwakae sawa.

ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
This is stupidity of the highest order. Hivi kwa nini moderators wanaruhusu upuuzi kama huu? Timu yako ni mbovu, period. Wakati wenzenu wanasajili wachezaji wa maana nyie mlikuwa busy kutamba mmeteka wachezaji airport.! Matokeo yake ndiyo haya. Katika mechi zote ambazo simba wamecheza hakuna hata mechi moja ambayo walionyesha fluency of the game. Ulitegemea nini?

Sijawahi kuona mashabiki wapuuzi kama wa simba. Wanaamini sana katika ushirikina. Please this is the 21st century!!

NOTE: Nimeandika jina la "simba" kwa herufi ndogo kusisitiza udogo wenu katika mawazo na uelewa.
 
This is stupidity of the highest order. Hivi kwa nini moderators wanaruhusu upuuzi kama huu? Timu yako ni mbovu, period. Wakati wenzenu wanasajili wachezaji wa maana nyie mlikuwa busy kutamba mmeteka wachezaji airport.! Matokeo yake ndiyo haya. Katika mechi zote ambazo simba wamecheza hakuna hata mechi moja ambayo walionyesha fluency of the game. Ulitegemea nini?

Sijawahi kuona mashabiki wapuuzi kama wa simba. Wanasmini sana katika ushirikina. Please this is the 21st century!!

NOTE: Nimean jina la "simba" jwa herufi ndogo kududutiza udogo wenu katika mawazo na uelewa.
Mkuu hiyo ndiyo faraja yao,sasa hivi hawana faraja tena ila wanasingizia Uchawi!
 
Back
Top Bottom