• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

mzizi

  1. Usinijibu ivyo

    Nipe maoni yako kwenye hii

  2. elivina shambuni

    Rais Magufuli akata mzizi wa fitna uteuzi CAG

    BAADA ya kuwepo mjadala mkubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu uteuzi na utenguzi wa nafasi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Rais John Magufuli amemaliza mijadala hiyo kwa kuweka bayana kuwa nafasi hiyo, haipo juu ya mamlaka ya mihimili mikuu mitatu...
Top