yapiga marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Sudan Kusini yapiga marufuku Pombe (Kiroba) maarufu kinachodaiwa kusababisha Vifo

    Authorities in South Sudan's Central Equatoria state have banned the sale of a popular beer after several people died after consuming the local gin. The Royal Gin, popularly known as "Makuei Gin" is said to be addictive, mostly to young people. Its consumption reportedly increased during...
  2. Ritz

    Malaysia yapiga marufuku Meli za Israel kutia nanga kwenye Bandari yake.

    Wanaukumbi. Malaysia ilisema itazuia Huduma Jumuishi za Usafirishaji za ZIM zenye makao yake makuu nchini Israel kutia nanga katika bandari zozote za taifa la Asia ya Kusini-Mashariki, hatua ambayo inaashiria kuongezeka kwa kuchanganyikiwa kwa vita huko Gaza. Nchi hiyo pia inapiga marufuku...
  3. BARD AI

    Serikali yapiga marufuku Askari wa Usalama Barabarani kutembea na Silaha za Moto ili kuepusha madhara kwa raia

    Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao ikiwemo kushambulia raia hata wasioweza kusababisha madhara. Uamuzi huo pia umechangiwa na kauli ya...
  4. crankshaft

    Kazakhstan, nchi yenye waislam wengi yapiga marufuku hijab mashuleni

    Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo. Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome...
  5. JanguKamaJangu

    Afghanistan: Taliban yapiga marufuku Wanawake kutembelea Hifadhi ya Kitaifa

    Marufuku hiyo ya Uongozi wa Taliban umehusu Mbuga ya Wanyama ya Band-e-Amir iliyopo katika Jimbo la Bamiyan, ambapo Kaimu Waziri wa Maadili wa Afghanistan, Mohammad Khaled Hanafi amesema Wanawake wamekuwa hawazingatii mavazi ya hijabu wanapokuwa ndani ya mbuga hiyo. Amewataka viongozi wa dini...
  6. JanguKamaJangu

    Taliban yapiga marufuku vyama vyote vya kisiasa

    Utawala wa Taliban wa Afghanistan Jumatano umepiga marufuku vyama vyote vya kisiasa nchini humo ukisema kuwa ni kinyume cha sheria za kiislamu au Shariah. Tangazo hilo limefanywa baada ya viongozi waliochukua madaraka ya Afghanistan kuadhimisha mwaka wa pili wa tangu kurejesha utawala wao mjini...
  7. Exile

    Majimbo ya Kano na Sokoto nchini Nigeria yapiga marufuku kusikiliza nyimbo za Davido hadharani

    Hii inakuja baada ya davido kutoa wimbo wake hivi karibuni wenye video yenye maudhui ya dini ya kiislam. Waislam wengi hawajapendezewa hasa kwenye majimbo yanayoongozwa kwa mfumo sharia bono na sokoto nchini naigeria, kuwa davido kaudhaurisha uislam kupitia wimbo huo. Hizi dini zingine...
  8. JanguKamaJangu

    Afghanistan: Taliban yapiga marufuku saluni za kike

    Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea. Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu saluni hizo kuendelea lakini wamebadili maamuzi hayo wakati ambapo tayari wamezuia Wanawake kwenda...
  9. kitonsa

    Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

    Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa. Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii. My take, Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
  10. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yapiga Marufuku Kuingiza Malighafi ya Chumvi Kutoka Nje kwa Viwanda vya Ndani

    SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUINGIZA MALIGHAFI YA CHUMVI KUTOKA NJE KWA VIWANDA VYA NDANI "Mkakati wa Serikali kuvutia wawekezaji katika sekta ya Chumvi unaendelea ikiwa ni pamoja na kutenga eneo lenye ukubwa wa Hekari 168 katika Wilaya ya Kilwa kwaajili ya wawekezaji Wenye nia ya kuchakata...
  11. Nyendo

    Benki Kuu: Shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusiwa kutumika nchini

    Benki Kuu ya Tanzani imeukumbusha umma kuwa kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006 kinaelekeza kuwa shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusia kutumika nchini, hivyo hakuna Mtu au Kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa kwa malipo yoyote halali na kwamba...
  12. BARD AI

    Polisi yapiga marufuku magari ya mnadani kubeba abiria

    Siku chache baada ya kutokea ajali iliyoua watu 13 mkoani Ruvuma, Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani, Mossi Ndozero amefanya msako ili kubaini malori yanayopakia abiria na mizigo kwa ajili ya kuwasafirisha kwenda minadani. Ndozero amepiga marufuku usafiri huo kupakia abiria huku akishusha...
  13. JanguKamaJangu

    Taliban yapiga marufuku wanawake wa Afghanistan kufanya kazi kwenye UN

    Umoja wa Mataifa umesema Jumanne kwamba utawala wa Taliban nchini Afghanistan umewaarifu kwamba umepiga marufuku wanawake kufanya kazi katika taasisi hiyo, ikiwa hatua ya karibuni zaidi ya kuweka masharti kwa haki za wanawake nchini humo Katibu mkuu wa UN, Antonio Guterres, amesema kwamba, “...
  14. JanguKamaJangu

    Serikali yapiga marufuku nyimbo za ovyo kwenye magari ya shule

    Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi. Kauli...
  15. Analogia Malenga

    Zanzibar yapiga marufuku kuuza (ku-export) mchele na sukari nje ya visiwa hivyo

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa katazo la kusafirisha bidhaa za sukari na mchele nje ya Zanzibar kwenda nchi nyingine yoyote. Taarifa hiyo rasmi ilitolewa na Ofisi ya Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda visiwani humo, Omar Said Shaaban, tarehe 30 Januari, 2023. "Kwa kutekeleza...
Back
Top Bottom