ndugulile

Faustine Engelbert Ndugulile (born 31 March 1969) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kigamboni constituency since 2010.Dr. Faustine Ndugulile was appointed Deputy Minister of the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elders and Children (Tanzania) by the President of the United Republic of Tanzania, Dr. John Pombe Joseph Magufuli in October 2017.After the 2020 Tanzanian General Election, on December 5th 2020, in Magufuli's second cabinet he was appointed as the first Minister of Communication & ICT, a newly created ministry. curently under president Samia Suluhu Hassan

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Ndugulile: Nilikuwa na wakati mgumu kushindana na Makonda Kigamboni

    "Niseme Tu kwamba uchaguzi wowote si uchaguzi mwepesi lakini Sisi kama wanasiasa mara nyingi tunafanya tathimini zako unaangalia endapo utagombea mapokeo ya wananchi yatakuwaje? Mwaka 2020 uchaguzi ulikuwa mgumu (ulikuwa na ugumu wake) ikiwemo mazingira ambayo yalitokea matokeo ya uchaguzi Mkuu...
  2. Mchapakazihalisi

    Ndugulile afurahia ujenzi wa veta Kigamboni

    Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) leo amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa chuo cha VETA cha Wilaya ya Kigamboni. Ujenzi huu unaofanyika kwa awamu unatarajia kiwa na majengo 24. Dkt Ndugulile aliishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kujenga chuo hiki katika Wilaya ya Kigamboni...
  3. BARD AI

    Ndugulile: Tuwekeze Maabara kupata Vipimo sahihi, kuepuka UTI sugu

    Ongezeko la wagonjwa wenye maambukizi ya njia ya mkojo, maarufu kwa jina la UTI na typhoid limekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania katika sekta ya afya kutokana na kutumia fedha nyingi katika kutibu wagonjwa kutokana na usugu wa dawa. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, ripoti ya Benki ya Dunia ya...
  4. Analogia Malenga

    Dkt. Ndugulile aishauri serikali kuruhusu malipo ya mtandaoni kama vile PayPal

    Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ameuliza bungeni kuhusu mikakati ya serikali kufanya mapitio ya ada za usajili wa mifumo ya malipo(fintech apps) pamoja na mikakati ya kuboresha mazingira ya kazi kwa wabunifu wa malipo ya mtandao. Zaidi ya hayo, ameulizia mpango wa serikali kuhurusu...
  5. J

    Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Ndugulile aipongeza TFF kwa kujenga Kituo cha Maendeleo ya mpira wa miguu Kigamboni

    DKT NDUGULILE AWAPONGEZA TFF KWA KUJENGA KITUO CHA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU KIGAMBONI Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) amekipongeza Chama Cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kujenga kijiji cha maendeleo ya mchezo mpira wa miguu katika Kata ya Kisarawe II, Wilaya ya...
  6. Miss Zomboko

    Ndugulile: Tozo za Daraja la Kigamboni zipunguzwe kurahisisha maisha

    Wananchi wa Kigamboni wanashukuru sana kwa ujenzi wa Daraja la Nyerere. Ni mkombozi mkubwa. Changamoto ni tozo. Daladala moja inatozwa Sh5,000 ikienda mara kumi kwenda na kurudi ni Sh100,000 kwa siku. Hapo hajaweka mafuta, hajaweka hela ya tajiri-@DocFaustine “Nakuomba sana Rais twende...
  7. J

    Wananchi wa Mwasonga wamtaka Ndugulile kufuatilia kilio cha barabara ya lami ya Kibada-Mwasonga

    WANANCHI WA MWASONGA WAMTAKA NDUGULILE KUFUATILIA KILIO CHA BARABARA YA LAMI YA KIBADA-MWASONGA Wakazi wa Mwasonga leo tarehe 2 Oktoba 2021 wamefanya kikao na Mbunge wa Kigamboni Mhe. Faustine Ndugulile (Mb) kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali za eneo hilo ikiwa ni pamoja na umeme...
  8. B

    'Huduma Pamoja' kupitia Shirika la Posta inalenga nini?

    "Tumefanya mageuzi makubwa ndani ya Shirika la @posta_tz. Lengo ni kuwa na Posta ya Kidijitali, Posta kuwa kitovu cha biashara mtandao na huduma za Pamoja. Katika kutekeleza azma hii, Siku ya Jumatatu tarehe 6 Spetemba, tutazindua utaratibu wa Huduma Pamoja". Mhe. Faustine Ndugulile Nimeona...
  9. Baraka21

    Waziri Ndugulile tunaomba utusaidie kuhusu PAYPAL

    Mh. Ndugulile tunaomba utusaidie kupata huduma ya PAYPAL katika nchi yetu. Tunakukumbusha tu sisi vijana tusio na ajira itatusaidia sana hii huduma.
  10. J

    Waziri Faustine Ndugulile atunukiwa Tuzo ya umahiri na Wizara ya Afya

    Aliyekuwa naibu Waziri wa afya katika Serikali ya awamu ya 5 na ambaye kwa sasa ni waziri wa Tehama Dr. Ndugulile ametunukiwa Tuzo ya umahiri na kupromoti afya na wizara ya afya. Dr. Ndugulile ndiye aliyetoa tahadhari juu ya kupiga nyungu kienyeji hatua iliyopelekea atumbuliwe. Jana Askofu...
  11. Baraka21

    Waziri Ndugulile, tunaomba uruhusu akaunti ya PayPal Tanzania

    Mh. Waziri Ndugulile pamoja na Benki Kuu ya Tanzania sisi vijana tusio na ajira tunaomba mruhusu account za paypal ziweze kuruhusu kupokea pesa ili tujiajiri na kazi za mitandaoni. Tunakuomba sana mheshimiwa Waziri utusaidie. Huku mtaani hali ni mbaya sana. Natanguliza shukrani.
  12. Shujaa Mwendazake

    Tunapolalamikia Tozo za Miamala tukumbuke Ndugulile naye ameshatuletea "Airtime Levy" kwenye Vocha za simu

    Wakati mnalalamika na tozo mpya katika MIAMALA ya simu, Dk. Faustine Ndugulile anatuletea kitu kinaitwa "AIRTIME LEVY". So far inaonekana Mitandao ya mawasiliano ndo Sekta iliyokuwa kwa aharaka sana na imechangamka. Imeonekana ndo sehemu sasa ya kukamua fedha kwa Mgongo wa neno "Tozo'...
  13. Analogia Malenga

    Dkt. Ndugulile: Tutafuta tozo zote kandamizi katika Tehama

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema watafuta tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana vijana katika kujiajiri kwa kuendesha YouTube channels au blogs. Amesema vijana walikuwa wanapata shida kutokana na kodi na tozo zilizowekwa ktk uendeshaji wa blogs na YouTube...
  14. J

    Dkt. Ndugulile: Tunaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa vidole ili kuwabaini wanaomiliki isivyo halali

    Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali. Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo. Chanzo: Swahili times
  15. PendoLyimo

    Waziri wa Mawasiliano, Dkt. Faustine Ndugulile atembelea Maonesho ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

    DKT. NDUGULILE ATEMBELEA MAONESHO YA MAKISATU. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametembelea mabanda ya wabunifu mbalimbali kwenye Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini...
Back
Top Bottom