sheikh hasina

Sheikh Hasina Wazed (Bengali: শেখ হাসিনা ওয়াজেদ; born 28 September 1947) is a Bangladeshi politician who has served as the tenth prime minister of Bangladesh from June 1996 to July 2001 and again since January 2009. She is the daughter of Sheikh Mujibur Rahman, the founding father and first president of Bangladesh. Having served for a combined total of over 20 years, she is the longest serving prime minister in the history of Bangladesh. As of 23 June 2024, she is the world's longest-serving female head of government.
As the autocratic regime of Hussain Muhammad Ershad came to an end, Hasina, leader of the Awami League (AL), lost the 1991 election to Khaleda Zia, with whom she had collaborated against Ershad. As leader of the opposition, Hasina accused Zia's Bangladesh Nationalist Party (BNP) of electoral dishonesty and boycotted the parliament, which was followed by violent demonstrations and political turmoil. Zia resigned to a caretaker government, followed by Hasina becoming prime minister after the June 1996 election. While the country began to experience economic growth and a reduction in poverty, it remained in political tumult during her first term, which ended in July 2001 after an electoral defeat from Zia. This was the first full five-year term for a Bangladeshi prime minister since it became an independent country.
During the 2006–2008 political crisis, Hasina was detained on extortion charges. After her release from jail, she won the 2008 election. In 2014, she was re-elected for a third term in an election that was boycotted by the BNP and criticised by international observers. In 2017, after nearly a million Rohingya entered the country, fleeing genocide in Myanmar, Hasina received credit and praise for giving them refuge and assistance. She won her fourth term after the 2018 election, which was marred with violence and widely criticised as being rigged.
Under her tenure as prime minister, Bangladesh has experienced democratic backsliding. Human Rights Watch documented widespread enforced disappearances and extrajudicial killings under her government. Many politicians and journalists have been systematically and judicially punished for challenging her views. In 2021, Reporters Without Borders gave a negative assessment of Hasina's media policy for curbing press freedom in Bangladesh since 2014. Hasina was among Time's 100 most influential people in the world in 2018, and among the 100 most powerful woman in the world by Forbes magazine in 2015, 2018, and 2022.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sheikh Hasina mambo aliyofanya nchini kwakwe unaweza kusema ni Tanzania iliyopo sasa

    Pendeni kujifunza na kufatilia maana dunia ya sasa sio makaratasi mpaka mkawekewea AI. Na bado kuna watu wanakwambia umetoa kwenye AI ila ukimuuliza wewe umetoa wapi ?. Tupe jibu anabaki kusema sijui. Huyu Sheikh Hasina mambo aliyofanya Bangladesh ni kama hapa. Kuanzia maisha yake mpaka mtoto...
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa zamani wa Bangadesh ahukumiwa Kifo kwa Uhalifu wa kivita

    Sheikh Hasina, waziri mkuu wa zamani wa Bangladesh, amehukumiwa kifo na Mahakama Maalum ya Uhalifu (International Crimes Tribunal) kwa tuhuma za “Uhalifu dhidi ya binadamu” (crimes against humanity). Mahakama ilibaini kwamba aliongoza ukandamizaji mkali wa maandamano ya wanafunzi mwaka 2024...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ahukumiwa kifo kwa kuua waandamanaji 1,400

    Waziri mkuu aliyeondolewa madarakani nchini Bangladesh Sheikh Hasina amehukumiwa kifo na mahakama ya Dhaka bila kuwepo mahakamani kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kutokana na mandamano makubwa yaliyoongozwa na wanafunzi mwaka jana. Mahakama ya majaji watatu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hasina, kiongozi mwanamke wa Bangladeshi alieanza kama mama wa haki na demokrasia akabadilika kuwa mnyamamwitu muuaji wa wapinzani na wakosoaji nchini

    Monster mother of Bangladesh Historia ya kiongozi wa taifa la Bangladesh, waziri Mkuu Sheikh Hasina ni jambo lenye kufikirisha sana. Alipoingia madarakani, Hasia aliona na wengi kuwa mtu ambae angeleta haki, usawa na maendeleo kwa kila mwananchi wa Banglaesh, na watu wakaimba sifa zake kila...
  5. Richard

    JamiiForums Tanzania Ijue hati nyekundu au Red Notice inotolewa na Shirika la polisi la Kimataifa la Interpol, Bangladeshi waomba hati hiyo kumkamata Sheikh Hasina

    Picha na AP Nchi ya Bangladeshi wameliomba shirika la polisi wa kimataifa la Interpol kutoa hati nyekundu au Red Notice ili kumkamata aliekuwa Waziri mkuu wa nchi hiyo Sheikh Hasina ambae kwa sasa yuko akiishi nchini India tangia mwezi August mwaka 2024. Ikiwa Interpol watatoa hati hiyo Sheikh...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Bangladesh lilikataa kumuunga mkono Sheikh Hasina ikabidi akimbie nchi

    Katika taarifa 'exclusive' iliyochapishwa na Reuters, ni kwamba usiku mmoja kabla ya kiongozi wa muda mrefu Sheikh Hasina kukimbia ghafla kutoka Bangladesh kutokana na maandamano yenye vurugu, mkuu wake wa jeshi alifanya mkutano na majenerali wake na kuamua kuwa wanajeshi hawatawafyatulia risasi...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Muhammad Yunus kuongoza serikali ya mpito Bangladesh baada ya Waziri Mkuu kujiuzulu na kukimbia nchi

    Muhammad Yunus Muhammad Yunus, ambaye ni mshindi wa Nobel ndiye atakayeongoza serikali ya mpito ya nchi ya Bangladesh baada ya Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina kujiuzulu na kukimbia nchi kufuatia vuguvugu kubwa la kupinga utawala wake lililoongozwa na wanafunzi. Tangazo hilo limetolewa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Bangladesh, Sheikh Hasina ajiuzulu kutokana na maandamano Yanayoendelea

    Waziri Mkuu Sheikh Hasina ameripotiwa kujiuzulu na kuondoka katika mji mkuu wa Dhaka wakati kukiwa na maandamano makali ya kumtaka ajiuzulu Uamuzi huo umekuja ikiwa ni muda mfupi tangu Umoja wa Mataifa uitake serikali kusitisha mara moja machafuko yanayoendelea nchini humo ambayo yamesababisha...
  9. mkalamo

    JamiiForums Tanzania India na Bangladesh watangaza huduma mpya za treni na basi wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Sheikh Hasina

    Waziri Mkuu Narendra Modi na mwenzake wa Bangladesh, Sheikh Hasina, walitoa maono yao ya pamoja juu ya amani, ustawi na maendeleo ya majirani hao wawili na kanda nzima, yakiongozwa na uunganishaji, biashara na ushirikiano. Makubaliano hayo muhimu yaliyohusisha uunganishaji, biashara na sekta ya...
Back
Top Bottom