david kafulila

David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian Civil Servant and current Regional Commissioner for Simiyu Region after serving as Regional Administrative Secretary for Songwe Region from 2018 to 2020. He was the NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010 to 2015. He's the first Member of Parliament to get a whistle-blower award he received such prize in the year 2015 after exposing and champion the Tegeta Escrow scandal which cost the nation loss of about $200.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania "Ka David Kafulila kanajitutumua lakini naona watu wamekadharau" Mwanasiasa mmoja mkongwe

    Anasema haka kajamaa kanajitutumua sana. Lakini ni kama kamedharaulika tu watu hawakaoni. Kila siku kanatoa matamko na takwimu za kipuuzi za kichawa mpaka mwenyewe anasema haka katoto kanafanya propaganda za kituko. Huyu mwongeaji ni MwanCCM kada mwandamizi ambage ana na amekuwa na nafasi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Kwa msiojua PPPs Tanzania ni nafasi ya 4 Afrika kwa USD milioni 308, nafasi ya 9 duniani na nafasi ya 3 Afrika kwa wataalamu wa PPPs,

    Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake katika uwekezaji wa miundombinu na utekelezaji wa miradi kupitia ubia kati ya Serikali na sekta binafsi (Public-Private Partnerships – PPP), huku ikitajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza barani Afrika katika kuvutia uwekezaji binafsi kwenye...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Samia anataka kutuachia David Kafulila 2030

    Kuna mambo yanachekesha kwelikweli, kumeibuka nyuzi kibao hapa jukwaani zikimwonesha Kafulila kama mtu smart sana😂. Kumbe mama yenu anataka kumwachia kiti. Mwambieni amefeli, hata yeye yupo kiharamu, tumekaa palee tunasubiri uchaguzi.
  4. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Serikali haipaswi kufanya Biashara. Biashara ni jukumu la Sekta Binafsi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPPC), Bwana David Kafulila, amesema sekta binafsi au ubia kati ya Serikali na sekta binafsi hujitokeza katika eneo ambalo kuna makutano ya maslahi kati ya sekta ya umma na sekta binafsi. Amesema kwa upande wa sekta binafsi, lengo kubwa ni kuongeza faida...
  5. LopoLopo

    JamiiForums Tanzania World Whistleblower Award: David Kafulila kiongozi pekee aliyewahi kupewa Tuzo ya Mtetezi wa Haki za Binadamu kwa mapambano yake dhidi ya ufisadi

    == David Zacharia Kafulila was introduced by TICD to Tanzanians as the Executive Director of the Public Private Partnership Center in Tanzania. He is a highly accomplished Tanzanian professional with an extensive background in governance and public administration. His wealth of experience has...
  6. Chai na Uji

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Takwimu zinaonesha wanawake wanapindua meza kwenye Uchumi na wanatumia 90% ya kipato chao kwaajili ya familia wakati Wanaume ni 35%

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), David Kafulila, akizungumza na wasomi wa Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, alitoa maelezo ya kuvutia kuhusu nafasi ya wanawake katika uchumi na maendeleo ya Taifa. Kafulila alikuwa akijibu swali la Chiku mmoja...
  7. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Rais Samia ametoa Shilingi trilioni moja ili kuwakopesha wakulima kwa riba ya 9% zipo NMB na CRDB nia kukuza Kilimo walau kwa 8-10%

    https://www.instagram.com/reel/Dc-fV2YAgEN/?stkn=MTI3M3czY3cyajR1NA==
  8. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Utajiri wa taifa lolote duniani si vitu, ni ubora wa watu wake

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akiwa katika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, amekaririwa akisema kuwa “Kwa mujibu wa sheria, mradi wa ubia ni mali ya umma kabla, wakati na hata baada ya utekelezaji wake. Lengo kuu ni...
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya sita imeamua kuajiri Motivation speaker bwana David Kafulila

    Ukimsikiliza vizuri huyu jamaa huwezi kuelewa kwa undani dhamira halisi ya awamu ya sita tulianza na BBT ya Hussein Bashed kisha tukaingia Road fund. Yote yamecolapse sasa amekuja bwana Kafulila David ambaye amekuja kwa speed ya ngiri na mawazo ya Motivation speaker.
  10. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Uongozi wa Wanawake kwenye taasisi huleta faida zaidi | London Stock Exchange

    Kafulila: Taasisi Inayoongozwa na Mwanamke Huleta Mafanikio zaidi. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akihutubia katika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, amesema kuwa taasisi yoyote itakayoongozwa na mwanamke kwa...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Sifa mojapo kubwa ya PPP ni kupunguza Ukubwa wa Serikali, sio sawa kwa Serikali kumiliki mpaka stendi au Parking

    === Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akijibu swali kutoka kwa Muhidini, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tengeru Institute of Community Development (TIDC), amesema kuwa jamii imara ni ile yenye stability na welfare. “Tukisema tunataka kujenga...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa TIDC: Mafunzo ya David Kafulila yawe mwongozo wa mipango na mikakati ya Taifa

    Wasalaam. Katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Tengeru Institute of Community Development (TICD), mzungumzaji mkuu alikuwa David Zacharia Kafulila . Washiriki walieleza kuwa hotuba yake ilikuwa excellent, accurate, progressive, na yenye sifa zote za kitaaluma na kitaifa. Miongoni mwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hili somo la David Kafulila sasa naona limeeleweka kwa Watanzania

    == Mkurugenzi David Kafulila ameendelea kusimama kama sauti ya kizazi kipya cha viongozi wanaoelekeza Watanzania kwenye mustakabali wa taifa lenye uchumi ulio mkubwa ambao ni shindani na unaoshirikishisha watu wengi. Katika hotuba na mijadala yake, amesisitiza kuwa DIRA2050 si ndoto ya...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Hii sio Dunia ya Serikali kuhodhi ujenzi wa miradi yote mpaka choo- David Kafulila

    Kafulila: Serikali Haiwezi Kujenga Kila Kitu, Sekta Binafsi Ipewe Nafasi. == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Serikali haiwezi kumudu kugharamia kila aina ya mradi nchini, hasa miradi ya kibiashara, wakati mahitaji ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PPP na dira 2050: David kafulila kuwakutanisha wadau Arusha kutafuta njia mpya za maendeleo ya Tanzania yetu

    === Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-Centre) kimeendelea kuhimiza matumizi ya ubia kati ya Serikali na sekta binafsi kama nyenzo muhimu ya kuchochea maendeleo ya wananchi, kuongeza uwekezaji na kufungua fursa mpya za kiuchumi na ajira nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Hayati Benjamini Mkapa aliweza kuukuza Uchumi wa Tanzania na kuwa karibu sana na wa Kenya | Endelea kupumzika kwa amani Mzee Mkapa

    SEHEMU YA KUMBUKUMBU YA RAIS MKAPA: MIAKA 6 TANGU ATUAGE Anaandika Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, kupitia mtandao wa X. Na David Kafulila Julai 24, 2026 Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Fedha Duniani (IMF), ukubwa wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ujanja wa China ya leo umetoka Marekani | Ni baada ya Vijana wao kupelekwa Marekani kusomea teknolojia

    KAFULILA-UJANJA WA CHINA UMETOKA MAREKANI Akihutubia katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Chuo Kikuu cha SUA, Bwana David Kafulila, Mkurugenzi Mkuu wa PPPC Tanzania, alisema kuwa historia ya China ni mfano wa namna sera sahihi na uwekezaji katika rasilimali watu vinavyoweza kubadilisha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Suala sio kuwa na watu wengi Swali ni Je, wanazalisha nini kwa wingi wao | Singapore inawatu mil 6 lakini imetupita mbali kiuchumi

    == Akihutubia katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Chuo Kikuu cha SUA, Bwana David Kafulila, Mkurugenzi Mkuu wa PPPC Tanzania, alisema mjadala kuhusu kupunguza idadi ya watu una sura mbili: wa kiimani na wa kiuchumi. Alisisitiza kuwa yeye hawezi kuingilia mjadala wa kiimani, lakini katika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Wawekezaji hawawalengi masikini na watoto wao wanaangalia faida zao, Serikali inaangali wote ndio maana lazima ipunguziwe majukumu

    KUMSOMESHA MTOTO WA KIMASIKINI NI FAIDA KIUCHUMI LAKINI NI HASARA KIBIASHARA-KAFULILA Akizungumza katika chuo cha SUA, David Kafulila alieleza kuwa katika kipindi cha mpito cha maendeleo, ni jukumu la serikali kuhakikisha vipaji vya watoto havipotei kwa sababu ya umasikini wa familia zao...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msongamano mkubwa wa Malori ya Mizigo Dar-Chalinze kwa sasa ni matokeo ya Ubia (PPP) Bandari ya Dar es salaam-David Kafulila

    Katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), Mkurugenzi wa PPPC Bwan David Kafulila alieleza kuwa tangu kuanzishwa kwa mfumo wa ubia, serikali imefanikisha miradi yenye thamani ya takribani trilioni 6, na mwaka 2011 pekee miradi hiyo ilikuwa na thamani ya shilingi trilioni 2.5. Hadi...
Back
Top Bottom