india

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Jopo la wawekezaji kutoka India kufungua fursa za kiuchumi Zanzibar

    JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI ZANZIBAR
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANROADS, hii imetokea India lakini kuna siku nimepita maeneo ya Ruaha barabara ya kwenda Iringa nikaona kitu kama hiki ni rahisi sana kutokea pale!

    TANROADS, ni vema mkalidhibiti hili eneo la Ruaha kabla maafa hayajatokea, hasa wakati wa mvua ambazo siku hizi zinzzidi kuwa kubwa kuliko vegezo vilivyotumika ku-design hii barabara. Imetokea India inaweza kutokea pale Ruaha. Msiache mambo kwa kuomba tu rehema za Mungu kwamba haitatokea...
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Ripoti inaeleza kuwa njia ya mafuta ilikatwa kabla ya ajali iliyohusisha Air India

    Usitishwaji wa usambaji wa mafuta katika injini ya ngede kabla ya kuanza safari imetajwa kama sababu ya iliyosababisha ajali ya ndege ambayo imeua watu takriban 260 hii ni kwa mjibu wa ripoti ya uchanguzi ambayo imetoka kulingana na ripoti ya ofisi ya upelelezi wa ajali ya ndege ya india...
  4. DeepPond

    JamiiForums Tanzania FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

    Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa mbalimbali ya mahubiri , alistukiwa na FBI Kua ni tapeli, Hasa pale alipojikuta anavuka mipaka na...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania "Manusura" wa ndege ya India hakuwa abiria kwenye hiyo ndege

    Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege. Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu... Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Tajiri wa India Afariki Ghafla Uwanjani Baada ya Kumeza Nyuki

    Tajiri mwenye asili ya India, mwenye umri wa miaka 53 na mpenzi maarufu wa mchezo wa polo, ambaye pia alikuwa karibu sana na Prince William, amefariki dunia kwa kusikitisha wakati wa mechi ya polo huko Windsor mnamo Juni 12. Mashuhuda wanasema alilalamika ghafla akisema, “Nimekimeza kitu,” na...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Manusura pekee wa Air India aongea kwa mara ya kwanza

    Tofauti na ilivyokuwa inasemwa kwamba aliruka kupitia mlango wa dharura si kweli.. Kwa maneno yake mwenyewe baada ya ajali alitoka kwa miguu yake akitembea hadi nje alipokutana na ambulance na kumbeba Alikuwa kakaa siti no 11A Pia anasema sekunde chache kabla ya ajali aliona moshi ndani ya...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Picha ya kusikitisha ajali Air India

    Pamoja na matukio mengi ya kusikitisha katika ajali ya ndege ya Air India nambari 171 iliyotokea jana Juni 12 mara baada ya kupaa katika uwanja wa ndege wa Ahmedabad, picha ya kusikitisha ni ya Pratik Joshi na familia yake yaani mke na watoto watatu wakiwa ndani ya ndege muda mfupi kabla...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vishwash Kumar raia wa Uingereza ndiye abira pekee aliyenusurika kwenye ajali ya ndege ya Air India iliyodondoka leo

    Tunaweza kusema hii ni kama Miujiza iliyotokea kwa Vishwash Kumar Ramesh (40) raia wa Uingereza ambaye yeye pekee ndiye ambaye amenusurika kifo kwa kutoka akiwa mzima kwenye ajali ya ndege ya Air India iliyodondoka leo ikielekea uwanja wa Kimataifa wa London Gatwick Airport. Soma Pia: Ndege ya...
  10. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtanzania amewahi kwenda kutafuta maisha nchini India akatoboa?

    Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha. Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu. Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
  11. W

    JamiiForums Tanzania Pakistan na India waliishia wapi, kwanini wahindi wamekasirika Modi kukubali amani kwa ceasefire ?

    Nikiingia mitandaoni naona wahindi wengi wanalamlalamikia waziri mkuu kukubali amani yaishe kwa cease fire ambayo ilikuwa pendekezo la Trump.
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Watalii kutoka China na India wameongezeka nchini

    WATALII CHINA NA INDIA WAMEONGEZEKA Kupitia mikakati mahsusi ya kutangaza utalii kwa kushirikiana na balozi za China na India, Serikali imefanikiwa kuvutia masoko mapya ya utalii. Filamu ya Amazing Tanzania iliyomshirikisha Rais Samia na nyota wa China Jin Dong imechangia ongezeko la watalii...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho walichogundua Amerika ikabidi kuiokoa India kutokana na kipigo cha Pakistan

    Baada ya siku mbili tu za majibu ya Pakistan kupitia opereshi Marsoos tulimsikia Mark Rubio wa Marekani akisema wamepata intelijensia na wakatumia usiku mzima kuzungumza na waziri mkuu wa India,Modi ili kufikia suluhu ya kusitisha vita haraka.Tukawa tunajiuliza ni habari gani hizo za siri...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Mkuu wa India juu ya Katiba na Mihimili 3 ya nchi. IPO kwa KiingerezaConstitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between

    Constitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between judiciary, executive, and Parliament | India News - The Times of India In his first public address since assuming office, Chief Justice of India B R Gavai on Sunday asserted that it is not the judiciary, executive, or Parliament...
  15. John Sin

    JamiiForums Tanzania Je unajutia muda wako uliopoteza kukesha vibanda umiza kwaajil ya kazi za watu hawa Alka Yagnik na Kumar Sanu? Wakali wa masong makali kutoka india

    Alka Yagnik na Kumar Sanu ni waimbaji wawili maarufu wa India waliotawala muziki wa filamu za Kihindi (Bollywood) hasa katika miaka ya 1990 hadi 2000. Sauti zao zenye hisia na ushirikiano wao na watunzi mashuhuri kama Nadeem-Shravan, Jatin-Lalit, na Anu Malik ziliwafanya kuwa sauti kuu za nyimbo...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

    Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo. Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Shambulio la kielektroniki ndilo lililoinyamazisha India

    Makamo wa raisi wa Marekani JD Vance amesema walipata taarifa za kientelijensia za kutisha na ndipo juhudi kubwa zikafanyika kusitisha vita kwa kumpigia waziri mkuu wa India,Neranda Modi haraka ambapo ilichukua usiku mzima kuzungumza nae ili vita visimame. Waziri wa Ulinzi wa Pakistan amedokeza...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita vya India na Pakistan ghafla vimesimamishwa

    Vita kati ya wababe wawili wa nyuklia vimeisha haraka.Hiyo ni kwa mujibu wa tangazo la raisi Trump wa Marekani. Kwa upande mwenine juhudi kubwa zinaendelea mjini Kyiv ili kusimamisha vita kati ya Ukraine na Urusi. Vita ambavyo vimekuwa vigumu kusimamishwa ni vile kati ya Israel na wapalestina...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ulipata Kujua kuwa Vita ya India na Pakistan imeongelewa Kwenye Quran/Sunna za Mtume (SAW)?

    Hadithi Sunan an-Nasai 3175 inasema kuna Makundi mawili ya Umma wa Mohammad ambayo Allah atawaokoa kutoka moto wa Jehanam. Kundi moja ni Waislamu watakaoivamia India. Aidha, Kiongozi wa Juu wa Pakistan amekiri wazi wazi kuwa Jeshi lao la Akiba wanalolitegemea ni Vijana wao wanaopata mafunzo ya...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Afisa mstaafu wa Jeshi la India aionya Uturuki isijiingize kichwa kichwa

    Meja Jenerali Gagandeep Bakshi, afisa mkuu mstaafu katika Jeshi la India, juu ya Uturuki: "India ni nguvu ya nyuklia, India ni nguvu ya anga. Tunaweza kulipua kuzimu kutoka Uturuki ikiwa inahitajika. Uturuki imekuwa na tabia mbaya kwa muda mrefu."
Back
Top Bottom