The marathon is a long-distance race with an official distance of 42.195 kilometres (26 miles 385 yards), usually run as a road race, but the distance can be covered on trail routes. The event was instituted in commemoration of the fabled run of the Greek soldier Pheidippides, a messenger from the Battle of Marathon to Athens, who reported the victory. The marathon can be completed by running or with a run/walk strategy. There are also wheelchair divisions.
The marathon was one of the original modern Olympic events in 1896, though the distance did not become standardized until 1921. More than 800 marathons are held throughout the world each year, with the vast majority of competitors being recreational athletes, as larger marathons can have tens of thousands of participants.
FEDHA ZA MARATHON ZILETE TIJA KWA WALENGWA ~ Dkt. MWIGULU
▪️Serikali kuendelea kuboresha miundombinu wezeshi Mkoani Dodoma.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka wizara na taasisi zinazonufaika na fedha za NBC Marathon zihakikishe zinatumika kwa uwazi na kwa kuzingatia thamani ya fedha...
Nipo siriaz na nitajaza Dodoma mara kumi zaidi ya leo. Wadau na ambao mpo siriaz mnifuate PM
NB: Hii idea kama IP ipo copyrited.
Nawasilisha nikiwa na moet 3 pembeni hapa ya mfanyakazi wa zamani wa zile ndege za Dar to mbeya kwa elfu 60,000/=.
Mzuka sana, sana sana sana sana yani sana yaaaaaaaaani.
Hivi ni nani alianzisha hili wazo, bonge Moja la idea,
Jamani kipi unalikumbuka kuhusu Dodoma hususani kwenye marathon kama hii, zamani kidogo kwenye tamasha baada ya mbio pale jamhuri watu walikua wachache sana, lakini siku hizi mzuka...
LIVE UPDATES Tshs. 255.000,000/=.
Binafsi sidhani kama Chadema kinashindwa kukusanya kiasi hicho pasipo kuwashirikisha wanachama wake na wananchi wa kawaida.
Nina uhakika kinaweza kuandika barua kwa watu binafsi, wafanyabiashara, diaspora 100 tu wakakusanya kiasi hicho.
Lakini lengo hasa...
Heshima kwenu wakuu, Itifaki na izingatiwe.
Iko hvi, kwa muda mrefu nimekua natamani uwezo wa kukimbia atleast 10KM kwa pace nzuri.
Sasa jana nimeanza vizuri tu, easy running kwa 4.14KM kwa pace ya 07:25min/KM.
Sasa leo nikawa na aim nifike 5KM lkn naona pumzi imekataa kabisa 😂 tuwaone tu...
Kutoka kwenye KSh48 milioni alizoshinda Sebastian Sawe baada ya kushinda London Marathon, Mamlaka ya Mapato ya Kenya (KRA) inadaiwa kutaka hadi KSh18 milioni kama kodi.
President William Ruto has rewarded record-breaking athlete Sebastian Sawe with KSh8 million and a set of customized number plates in recognition of his outstanding achievement on the global stage.
Sawe, who recently made headlines for his remarkable performance in long-distance running, was...
HISTORY HAS BEEN MADE
Sabastian Sawe becomes the first person ever to break the 2-hour barrier in official race conditions, storming to a historic 1:59:30
Yomif Kejelcha on his marathon debut, also breaks 2 hours with a stunning 1:59:41 and Jacob Kiplimo clocks 2:00:28, also faster than the...
Katika njia ya mbio ya kilomita 21, zaidi ya roboti mia moja zilikimbia kwa hatua zisizoratibiwa vizuri. Nyingine ziliyumba kama walevi, nyingine zilikimbia kama walikuwa wakikimbilia kazini. Makundi ya binadamu yaliandamana nao, ili kubadilisha betri na kuhakikisha zinaendelea kukimbia. Hii...
Mwanariadha nyota wa Tanzania Alphonce Simbu amefanikiwa kumaliza nafasi ya pili kwenye mashindano ya Boston Marathon nchini Marekani
Simbu alikimbia kwa muda wa masaa 2:02:47, nyuma ya mkenya John Koriri aliyetumia muda ea masaa 2:01:52, wakati Benson Kipruto alimaliza wa tatu kwa kutumia muda...
Mimi kama mdau mkubwa wa riadha ninaandika kwa huzuni kutokana na malalamiko ya watu kuhusu mbio za Akili Education Marathon. Walioshiriki wamejitokeza hadharani na kutupa lawama za kutosha kwa waandaaji. Wanasema mbio zilichelewa kuanza na huduma barabarani zilikuwa za kishenzi sana. Maji...
Kilimanjaro Marathon 2026 inakuja… lakini swali ni hili:
Kwa nini bado inaonekana kama event ya wageni kuliko sisi wenyewe?
Kila mwaka wageni wanajaa Moshi, wanakimbia, wanatumia pesa… sisi tunabaki kuangalia tu.
Tatizo ni gharama, uhamasishaji au mindset?
Tukiamua, hii inaweza kuwa event...
Ugandan long distance runner Jacob Kiplimo has made history after setting a new Half Marathon World Record with an astonishing time of 57 minutes and 20 seconds at the Lisbon Half Marathon.
The remarkable performance marks another major milestone for Uganda in international athletics, further...
Former world marathon record holder Brigid Kosgei delivered a commanding performance at the Tokyo Marathon, clocking 2:14:29 to break the course record previously set by Asefa Kebede. Despite the victory, Kosgei said she was targeting a personal best and now hopes to challenge the 2:10 barrier...
Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa...
30 Oktoba 2025
Jiji la New York City
USA
Majina makubwa ya wakimbiaji mbio za marathon kyshiriki mbio hizo jumapili tarehe 4 November 2025 saa mbili asubuhi
Mwamba huyo kutoka Tanzania mbali ya kutaka ushindi kwa sifa ya nchi pia kuna kitita kikubwa cha dollars za Kimarekani kutoka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.