india

  1. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Raia mwenye asili ya Congo apigwa na Polisi hadi kufa nchini India

    Mkongomani auwawa kwa kupigwa hadharani na Polisi nchini India. Kifo cha Mkongo huyo kimesababisha mandamano kwa raia walivyoona akipigwa marungu na miti kichwani na kiunoni kwa kushambuliwa na Polisi Zaidi ya 8 bila Huruma hadi alipokata roho na kuendelea kupiga maiti kwa kuiponda-ponda...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Janga la Corona ni changamoto kwa watoto masikini kupata elimu

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la UNICEF, Mtoto mmoja kati ya wanne ndiye mwenye kutumia Vifaa vya Kidigitali na Mtandao. Imeelezwa, Familia nyingi zimeuza mali zao au kuchukua Mkopo ili kununua Vifaa hivyo na kuwawezesha Watoto wao kuendelea na Masomo wakati huu wa Ugonjwa...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 38 wauawa na radi wakijipiga picha ‘selfies’ India

    Takriban watu 38 wamefariki dunia kwa kupigwa na radi ambapo 11 kati yao walikuwa wakipiga picha (Selfie) katika jengo la Kitalii la Amber Fort wakati mvua inanyesha Katika matukio mengine, watu 18 walifariki kwa radi huko Uttar Pradesh ambapo imeelezwa wengi wao ni Wakulima. Pia, Polisi...
  4. 2019

    JamiiForums Tanzania Siku 60 zijazo Tanzania inaweza kuwa zaidi ya India kwenye suala la COVID-19

    Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida. Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi. Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali ya India yataka Twitter iwajibishwe kwa maudhui yanayowekwa na Watumiaji wake

    Twitter is in uncharted waters in one of its largest markets. The social media company no longer has immunity over content posted on its platform by third parties in India, according to a court filing submitted Monday by the Indian government. The court has yet to weigh in on the matter. The...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Vifo Nchini India vyafikia 400,000

    Wakati jitihada za kuongeza kasi ya Chanjo zikiendelea Nchini humo, idadi ya vifo kutokana na janga la Virusi vya Corona imepita 400,000 huku Wataalamu wakionya namba halisi inaweza kuwa kubwa zaidi kwasababu vifo vingi havijarekodiwa rasmi. Hivi karibuni, maambukizi mapya India yamepungua...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waliopokea Chanjo ya AstraZeneca ya India kunyimwa pasi maalum ya kuingia Ulaya

    Pasi maalumu ya Umoja wa Ulaya, itakayoanza kutumika tarehe 1 mwezi Julai kurahisisha safari kwenda Ulaya kwa wale waliopata chanjo itaanza kufanya kazi lakini ikiwa na sharti moja muhimu. Mtu yeyote aliyepewa chanjo ya AstraZeneca inayozalishwa na Taasisi ya Serum ya India hatastahiki kupata...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania India: Maambukizi ya COVID-19 yaendelea kupungua

    Mwenendo wa mlipuko wa COVID19 Nchini humo unaendelea kubadilika na sasa India imerekodi maambukizi mapya 70,421 ndani ya saa 24 zilizopita, ikiwa ni idadi ndogo zaidi kuripotiwa tangu Machi 31. Taifa hilo limerekodi jumla ya visa Milioni 29.51 na vifo vimefikia 374,305 baada ya vingine 3,921...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania India: Miji mikubwa yaanza kufunguliwa baada ya maambukizi ya COVID-19 kupungua

    Miji mikubwa Nchini humo ikiwemo Mumbai na New Delhi imeanza kufunguliwa baada ya wimbi la pili ya Virusi vya Corona ambalo limetajwa kuwa baya zaidi kupelekea vifo vya maelfu ya watu. Idadi ya maambukizi mapya 100,636 yaliyorekodiwa saa 24 zilizopita ilikuwa takwimu ndogo zaidi kuripotiwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Chadema walimpenda sana Job Ndugai na alipoenda India walimlilia, kwa sasa Chadema wanampenda Rais Samia!

    Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu. Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji wa haraka. Aliporejea Freeman alienda air port kumpokea na kumsindikiza hadi nyumbani kwake...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe yagundua kesi za kwanza za aina mpya ya virusi vya corona vya India

    Makamu rais wa Zimbabwe akiwa katika hospitali ya Wilkins kwa ajili ya chanjo ya kupokea chanjo ya Covid 19. Shirikisha Zimbabwe imegundua kesi za kwanza za aina mpya ya virusi vya corona ambavo vimeibuka nchini India, Makamu wa Rais Constantino Chiwenga alisema Jumatano, na kuongeza kuwa...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania India: Maambukizi ya Corona yafikia Milioni 25

    Maambukizi Nchini India yamefikia Milioni 25, ikiwa ni Taifa la pili ulimwenguni kufikia idadi hiyo baada ya Marekani. Visa vipya 263,533 vimerekodiwa katika saa 24 zilizopita na kupelekea jumla ya maambukizi kuwa Milioni 25.23. Idadi ya maambukizi mapya imekuwa ikipungua katika Taifa hilo...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya ziwa la mifupa ya binadamu India

    Mabaki ya watu wanaokadiriwa kuwa 600-800 yalipatikana kwenye eneo hilo Juu katika milima ya Himalaya nchini India, ziwa lililo kwenye bonde lenye theluji, limetapakaa mamia ya mifupa ya binadamu. Mto Roopkund uko umbali wa futi 16,500 juu ya usawa wa bahari chini ya mteremko mkali wa Trisul...
  14. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania India: Maambukizi ya Corona yapungua

    India imeripoti kushuka kwa maambukizi ya virusi vya corona katika miji yake mikubwa miwili ya Delhi na Mumbai, inayokaliwa na zaidi ya theluthi mbili ya wakazi bilioni 1.4 wa taifa hilo. Maambukizi mapya 326,098 yameripotiwa ndani ya saa 24 zilizopita, pamoja na vifo 3,890, ingawa wataalamu wa...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hekalu la Kailasa - Maharashtra, India lililochongwa katika karne ya 8

    The Kailasa temple in Maharashtra, India. Carved out of one single rock, it is notable for being the largest monolithic structure in the world. Also known as ‘Cave 16’ of the Ellora Caves, the temple was built in the 8th century during the reign of the Rashtrakuta king Krishna I...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi kirusi cha Corona cha India kinavyosambaa sasa Afrika, nikiambiwa hakijafika Tanzania nitashangaa

    Tafadhali Mamlaka husika chukueni Tahadhari haraka kwani tayari Kirusi hatari na Kipya cha Corona kilichopo nchini India kimeanza Kusambaa Kwetu barani Afrika. Mpaka sasa Kirusi hiko kimefika nchi za Nigeria, Algeria, Congo Brazaville, Kenya, Uganda, Morocco na Afrika Kusini kwa mujibu wa...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania 2 wakamatwa na kilo 15.6 za Heroin nchini India

    Watanzania wawili wamekamatwa na zaidi ya kilo 15 za heroin katika uwanja wa ndege mjini Chennai nchini India. Watanzania hao (Mwanamume na mwanamke) waliofika Chennai kwa ndege ya Qatar Airways 528 kutoka Johannesburg kupitia Doha, kwani hawakupata ndege ya moja kwa moja kwenda Bengaluru...
  18. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Aina ya Virusi vya Corona vya India na Uingereza vyagunduliwa Afrika Kusini

    Aina mpya ya Virusi vya COVID19 kutoka India na Uingereza imegunduliwa nchini Afrika Kusini, Wizara ya Afya imeeleza. Visa 11 vya maambukizi ya aina ya Virusi vya B.1.1.7 (Uingereza) na visa 4 vya B.1.617.2 (India) vimegunduliwa katika majimbo ya Gauteng na Kwazulu-Natal, na waathirika wamekuwa...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania COVID19: India yarekodi visa vipya zaidi ya 400,000

    Visa vipya 414,188 na vifo 3,915 vimerekodiwa Nchini humo na idadi ya maambukizi imefikia Milioni 21.49 huku waliopoteza maisha wakifikia 234,083. India imerekodi jumla ya visa Milioni 1.57 na vifo vipatavyo 15,100 kwa wiki hii pekee huku ikiaminika takwimu halisi za maambukizi na vifo ni kubwa...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: 46% ya maambukizi ya Corona wiki iliyopita yametoka India

    Shirika la Afya (WHO) limesema takriban nusu ya maambukizi ya Virusi vya Corona yaliyorekodiwa duniani wiki iliyopita ni kutokea Nchini India WHO imesema India imerekodi 46% ya maambukizi ulimwenguni pamoja na 25% ya vifo vyote vilivyoripotiwa wiki iliyoisha. Katika saa 24 zilizopita, watu...
Back
Top Bottom