Soma unaweza jifunza kitu: Mwanamke kuna muda anaweza kukulilia, kukuapia kumbe anahitaji huruma yako tu

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
2,354
2,763
Habari za usiku wana jf.
Leo nimekuja kutoa mkasa mmoja uliotokea siku 2 nyuma juu ya hawa wanawake.

Nina rafiki yangu sana ambaye alikua na mpenz wake ambao wamedumu kwa miezi kama 9 wakiishi tofauti ila ni mtaa mmoja. Sasa kuna jamaa mwngine ambaye nafahamiananae alikua hajui kama yule ni msichana wa rafiki yangu.

Alipomtongoza alikubali na siku 1 wakaenda kufanya yao gest house.wakati wanarudi tuliwaona sehem tu wamepanda boda kama mshikaki mm nikiwa na yule mshiksji wangu, mshikaji akiwa hajui hili wala lile akaenda kumuulza yule mschana nilikuona sehm flan mmepanda boda, je mlkua mnatoka wapi, mschn akajibu mm alinikuta njian akasema pansa kati nikupe lifti.

Yule jamaa sijui aligundua vip kama yule mschana mm namfaham na ni mtu wa best yangu bas akaja kuniambia ukwel kuwa hakua anajua ila amepiga mzgo na alinihakikishia kwa 100% kuwa amekula. Mimi ilibidi nimchane mshikaji wangu ukwel kuwa demu wake ameliwa.

Basi alipoenda kumwambia mschana wake yule demu alikataa kata kata hadi analia na kuapa kwa mungu na kusema mungu tu ndio anajua,yan analia saana.

Daa wanawake hawa.
 
Habari za usiku wana jf.
Leo nimekuja kutoa mkasa mmoja uliotokea siku 2 nyuma juu ya hawa wanawake.

Nina rafiki yangu sana ambaye alikua na mpenz wake ambao wamedumu kwa miezi kama 9 wakiishi tofauti ila ni mtaa mmoja. Sasa kuna jamaa mwngine ambaye nafahamiananae alikua hajui kama yule ni msichana wa rafiki yangu.

Alipomtongoza alikubali na siku 1 wakaenda kufanya yao gest house.wakati wanarudi tuliwaona sehem tu wamepanda boda kama mshikaki mm nikiwa na yule mshiksji wangu, mshikaji akiwa hajui hili wala lile akaenda kumuulza yule mschana nilikuona sehm flan mmepanda boda, je mlkua mnatoka wapi, mschn akajibu mm alinikuta njian akasema pansa kati nikupe lifti.

Yule jamaa sijui aligundua vip kama yule mschana mm namfaham na ni mtu wa best yangu bas akaja kuniambia ukwel kuwa hakua anajua ila amepiga mzgo na alinihakikishia kwa 100% kuwa amekula. Mimi ilibidi nimchane mshikaji wangu ukwel kuwa demu wake ameliwa.

Basi alipoenda kumwambia mschana Wake yule demu alikataa kata kata hadi analia na kuapa kwa mungu na kusema mungu tu ndio anajua,yan analia saana.

Daa wanawake hawa.
Malizia umbeya basi, jamaa yako alimuamini demu au wewe?
 
Wanaume wenzangu mark my words"kama una kaza Demu wa mwenzio na wakwako anakazwa,it's not karma or anything it's just how it is.
Mademu wote kama sio wote kabisa wanaliwa kama njugu mitaani,unakuta manzi amepanga nyumbu zake kama 10 na Kila Moja ina jukumu lake..hii ya Kodi,hii ya saluni na Kuna Ile ya shughuli mama nayo inakuwepo.

Kujijua upo kundi Gani nakupa mbinu hapa na sitarudia tena.

Ukiona utoaji wako wa Hela hauendani na upewaji pussy basi jua jukumu lako mama si Hilo Bali ni Kodi,salooni au msosi

Wale wenye kazi mama huwa hawaombwi Hela bali wanatoa wakipenda pia mara nyingi tu ndio huongwa Hela na hao mademu,Hela hizo hizo mnazowahonga.

kifupi ndio hvyo ndugu zangu ila inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom