ally hapi

Ally Salum Hapi ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa
na kiongozi wa zamani wa serikali nchini Tanzania ambaye alijipatia umaarufu mkubwa sana, hasa wakati wa serikali ya Awamu ya Tano chini ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.


Alianza kujulikana sana alipoteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Kutokana na utendaji wake, alipandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa (RC) wa Iringa, na baadaye alihamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora.

Akiwa madarakani, Ally Hapi alifahamika kwa mtindo wake wa uongozi wa "kuchukua hatua za papo kwa papo".

Alikuwa mkali kwa watumishi wa umma waliozembea, alifanya mikutano mingi ya hadhara kutatua kero za wananchi, na alikuwa mmoja wa vijana walioaminika sana na Hayati Magufuli.

Kwenye mabadiliko (reshuffle) ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika serikali ya Awamu ya Sita, Ally Hapi alitenguliwa na kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Tusidanganyike tukaharibu nchi yetu yakatukuka kama ya Libya kwa Gaddafi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi amesema "Tusidanganyike tukaharibu nchi yetu yakatukuka kama ya Libya kwa Gaddafi". Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na wananchi pamoja me wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye mkutano wa hadhara, ambapo amewasihi Watanzania...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Tufanye maridhiano sisi wenyewe ndani bila kutegemea watu wa nje

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi. Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Heche hajui wajibu wa mbunge, CHADEMA ni waongo, hawajui wajibu wao, hawajui sheria, hawajui taratibu za nchi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akidai kuwa amekuwa akitoa kauli zinazopotosha kuhusu majukumu ya mbunge na nafasi yake katika maendeleo ya wananchi. Hapi alisema kuwa, kwa kuwa amesomea sheria kwa miaka minne...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Rais endelea na kazi, CHADEMA tuachie sisi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi, amesema CCM imejipanga kujibu hoja na madai yanayotolewa na viongozi wa CHADEMA kwa kutumia takwimu na taarifa sahihi, badala ya kuacha kile alichodai kuwa ni upotoshaji kuendelea kusambazwa kwa wananchi. Hapi aliyasema hayo wakati...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa Mtazamo wa Kawaida Ally Hapi ni mwanasiasa wa kusimama Jukwaani na kujigamba anaweza kupambana na CHADEMA?

    Kwanza kabisa kama kuna WanaCCM ambao hawana ushawishi ila wapo madarakani kwa upendeleo au labda kwa kutumia matunguri ni Ally Hapi. Uwezo wake wa kushawishi watu ni mdogo na hoja za msingi. Anadhania Tanzania ya sasa ni ya kufanya siasa za Chipukizi wa CCM na kuwanunulia akina mama Kanga na...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi hauna ubavu wa kupambana na Chadema hii hii ni zaidi ya nguvu za umma, bora urudi kwenu ukalime nyanya hoho

    Kwanza jiulize wewe binafsi unaushawishi gani kwenye taifa letu kisiasa? Chama chako kina ushawishi gani? Mwenyekiti wa chama chako? Leo hii usimame jukwaani wewe kapuku wa wa baraza la wazazi CCM kuizungumzia Chadema hii ambayo hata wanaCCM wanatambua kuwa ni chama cha ukombozi dhidi ya...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ally Hapi: CHADEMA kila siku Katiba Mpya, Katiba Mpya inatuletea Ugali mezani? Wananchi wanataka hoja, siyo malalamiko

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi. Wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ally Hapi: Msigwa alikuwa anasubiri kupata ukuu wa wilaya akaona hauji

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapunduzi (CCM), Ally Hapi amemtaja aliyekua kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa kama mtu ambae alihamia CCM kwa maslahi na alipokosa maslahi hayo akaamua kurudi chama chake cha awali. Hapi anaeleza kuwa Msigwa alienda CCM akitarajia kupata...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Ally Happi akiwabagaza Wastaafu

    Guys guys Aliyesema mwogope Mungu na Technology alikuwa ana maana kubwa sana. Vijana wa CCM wakipata vyeo huwa wanajisahau sana. Msikilizeni huyu naye.
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Hapi: Rais Samia amejenga Madarasa ambayo yana Vioo na Tiles

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Salum Hapi, amesema ukizungumzia yale ambayo yamefanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan katika afya ni mengi sana na kwenye elimu ambapo imejenga shule mbalimbali za msingi na Sekondari. Akizungumza...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Hapi: Serikali Itabeba Gharama Matibabu ya Figo, Moyo, Kisukari na Cancer ndani ya siku 100 za Uongozi wa CCM

    Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa wote, changamoto zote zilizopo sasa kuhusiana na bima ikiwemo baadhi ya Maradhi kutotibiwa kwa Bima zitatatuliwa na bima hiyo itaweza kulipiamatibabu kwa magonjwa yote makubwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Hapi: Siku 100 za Rais Samia Zitamaliza Changamoto za Bima ya Afya

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, leo Septemba 27 katika mahojiano ya Cafe Talk Jijini Dar es salaam, akijibu swali lililoulizwa na Mwaandishi wa Habari Charles William, amesema utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote utasaidia kuondoa changamoto...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Hapi: Waliokatwa CCM watulie uongozi ni kupokezana

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka makada waliokatwa katika mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya CCM Taifa kuendelea kuwa wanachama watiifu na raia wema wa Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Julai 31,2025 jijini Dodoma kuhusu...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Ripoti ya CAG sio hukumu ya mahakama

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi amesema ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama kwamba wanaotajwa wote moja kwa moja huwa ni Mafisadi au Wezi bali ripoti husomwa kisha kuwapa nafasi Watumishi na Taasisi kutoa vielelezo ambavyo havikuwasilishwa wakati wa ukaguzi. Akiongea...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Miaka mitano ijayo tutajenga treni za mijini Dar na Dodoma

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo chama hicho kimedhamiria kujenga treni katikati ya miji kwa mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma, ili kukabiliana na foleni za magari. "Naomba nichombeze, tumejenga SGR Dar es...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Rais Samia alifungua mlango kuwasikiliza, sasa hivi kimetokea nini?

    Ally Hapi amesema kila jambo linawakati wake, wakati Rais Samia amefungua milango kuwasikiliza kama wananchi wengi wanahaki ya kusikilizwa. Sasa tatizo la wenzetu ni moja tu wanazani wapinzania wa nchi hii wanamilki ukweli, wanamiliki haki, na wanamilki busara, ili upate busara Nchi hii ni yale...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Vijana zungumzeni mazuri yaliyofanywa na Serikali

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Ally Hapi, ameutaka Mtandao wa vijana wa Kesho Yetu, Uzalendo Wetu na Utaifa (TK Movement), kutokatishwa tamaa na baadhi ya watu wasiopenda maendeleo ya serikali, badala yake wasonge mbele kulisemea taifa kwenye mambo mazuri linayofanya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Tusikubali nchi iharibiwe na watu wachache

    Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania hivyo amewasisitiza vijana kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotegemea kufanyika hivi karibuni.
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Rais Samia amefanya kazi kubwa katika Afya, amejenga Hospitali za Wilaya 129, Vituo vya Afya 485

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi, amesema Rais wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwa juhudi zake katika kuboresha sekta ya afya nchini ndani ya miaka minne ya uongozi wake. Akizungumza katika Kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza miaka minne...
  20. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi amesema Rais Samia anastahili pongezi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi, amesema Rais wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwa juhudi zake katika kuboresha sekta ya afya nchini ndani ya miaka minne ya uongozi wake. Akizungumza katika Kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza miaka minne...
Back
Top Bottom