Huruma Estate is a residential estate located in the northeast of Nairobi, the capital of Kenya. It borders Kariobangi and Dandora to the east, Moi Air Base to the south, Mathare to the north and Eastleigh to the west.
In April 2016, during Kenya's rainy season, a building collapse in Huruma resulted in the deaths of 52 people. The building's owner, Samuel Karanja Kamau, was charged with manslaughter.
Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana.
Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu.
Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
1 ndoa ni utapeli
2 dunia imejaa unafki
3 dunia sio sehem nzuri ya kuishi
4 Familia sio kila kitu
5 kuamini kiumbe mwanadamu ni ujinga
6 kama kungekua na option ya kuchagua uzaliwe au usizaliwe ningechagua kutokanyaga kwenye dunia hii iliyojaa watu wabaya
7 sina hakika kama Mungu yupo
8 I hate...
Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036)
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
adhabu
george simbachawene
halisi
hii
huruma
kiongozi
maana
msamaha kwa wafungwa
rais
rais samia
samia
samia suluhu hassan
upendo
upendo kwa watu
wafungwa
wote
Kwa mtu mwenye akili timamu waraka wa TEC Ulikuwa clear na ulieleweka kwa wote wenye Dini na wasio na dini .Na hakuna mahali waraka ule umemshambulia mtu kulingana na nafasi aliyoko. Sasa ninachokiona ni kama kuna mtu anaitumia hii kete ya udini ili kutafuta kitu kinaitwa SYMPATHY na...
Mababa Askofu.
Nakuandikieni barua hii kuwaombeni kuwa msihadaike, msishawishike na wala msiingie msukumo wa kujibishana na masheikh wanaotoa matamko ya kuwashambulia. Hao masheikh wengi wanaowashambulia ni masheikh wa mfumo, wapo kimkakati, wapo kazini.
1. Kazi ya Masheikh hao ni kutumika...
Kama adui yao alikuwa ni serkali kwanini wamechoma vibanda vya maskini wa taifa letu,
Kama adui yao ni tume ya uchaguzi kwanini wachome mwondokasi.
Walipanga kuwauwa na kuchoka moto nyumba za wanaccm huku wao wakijiita wanademokrasia.
Walikuwa wanawahimiza kuandamana na kuwaambia wajitoe...
Laptop Yako Inapumua Kama viumbe vingine.
Laptop yako inahitaji kupumua kama binadamu na viumbe wengine. Inahitaji kuingiza hewa na kutoa hewa ili iweze kufanya kazi vizuri na kudumu kwa muda mrefu.
Kwa matumizi ya kawaida laptop ilitengenezwa kuweza kupumua juu ya meza lakini unapoiweka...
Jana kuna barua ilikuwa ina-surface mtandaoni iliongelea mambo mengi ila sehemu iliyonifikirisha sana ni pale waliposema mazingira ya siasa nchini yapo vizuri nikaachia kusoma pale sikuendelea tena sababu nilisikia uchungu mkubwa sana
Nikajiuliza familia ya polepole inajisikiaje inaposoma ile...
Habari za muda wakuu..
Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max.
Soon baada ya pilika za uchaguzi kuisha na akishaapizwa na wabunge wakiapishwa ndio ataanza kuona rangi zao halisi watamruka hadharani...
Haya mapicha yanasikitisha, hapa kuna link kwa yeyote mwenye uwezo wa kutoa misaada abofye akasaidie, hali ni mbaya, hadi nimekosa hata hamu ya kula...
Wizara ya Utamaduni, Dawati la Jinsia na Dini yake, huruma mnayompa Anko T ndiyo inayosababisha ongezeko la vijana wa kiume kuvuana nguo za ndani
Unaweza kufurahia matendo ya vijana wa kiume kuishi unyumba labda kama sio mzazi au huna watoto wa kiume au wanaoshiriki sio wanao lakini kwa wazazi...
[1Yoh1:8]Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu.
[Zab51:3]Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima
[Zab51:4]Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, Na kuwa safi...
Wakuu
Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi
===
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo.
Makonda ameeleza...
Hilo kundi unalolipigia debe siyo kundi lako toka zamani na hata Leo. Zaidi tu ni kwamba wote mpo kwenye kapu Moja la CCM. Walikuweka hapo kimkakati tu. Kuisogeza lake zone ambayo ni zone pendwa kwa walaji. Na wajua kabisa kwamba wewe upo mwishoni ama kwa kutupa taulo mwenyewe au kwa kazi ya...
Wakuu, unakuta kijana anaishi mikoa ya kusini au kanda za pembezoni huko. Halafu anaambiwa interview aje Idodomya, logistic costs inabidi familia zijichange afu atatakiwa ahudhurie interviews kadhaa kabla ya kubahatika kupata kazi.
Kivipi hapo yani, mtu anaweza tumia millions to attend several...
Unajua kila siku nikiamka asubuhi najiuliza hili swali lakini sipati jibu,
Ina maana CCM wote hakuna mtu yeyote Mzalendo kama Magufuri ili aweze kuzisimamia rasilimali zetu?
Huyu Mama kawapi nini? Kwa nini Rostaman Aziz hiki kiburi anapewa na nani cha kupora rasilimali za inchi huku Viongozi...
Tusiwe wanafiki.. au kwa vile palestina ipo live aljazeerq basi ndio sisi akina baba+mama huruma tunajikuta tunawasikitikia wa Gaza ila wa hapa kwetu ndani ya bara la Afrika hatuwaoni sio? Tuacheni unafiki.. hata hapo Sudan kuna wa Afrika wenzetu wanakufa na njaa... yeah CHARITY BEGIN AT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.