Hawa walioshambulia Russia ni wakuonewa huruma.

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,352
Ni vyema hawa walioshambulia Russia wangejiripua au kujiua kwa namna yoyote ile.

Ila kukamatwa kwao ni wa kuwaonea huruma zaidi.

Aisee warusi wana roho za kikatili nikifikiri yanayo enda kuwakuta.

Hawa watu watafinywa katika namna ya ajabu.

Natumahi wengi wetu mliona zile picha za wafungwa wa Azov na hao ni mateka wa vita sasa imagine hawa walioshambulia raia katika uwanja usio wa kivita.

Nawapa pole sana.
 
Natumahi wengi wetu mliona zike picha za wafungwa wa Azov na hao ni mateka wa vita sasa imagine hawa walioshambulia raia katika uwanja usio wa kivita.

Nawapa pole sana.
Kuna ushahidi wamekamatwa??
 
Ni vyema hawa walioshambulia Russia wangejiripua au kujiua kwa namna yoyote ile.

Ila kukamatwa kwao ni wa kuwaonea huruma zaidi.

Aisee warusi wana roho za kikatili nikifikiri yanayo enda kuwakuta.

Hawa watu watafinywa katika namna ya ajabu.

Natumahi wengi wetu mliona zile picha za wafungwa wa Azov na hao ni mateka wa vita sasa imagine hawa walioshambulia raia katika uwanja usio wa kivita.

Nawapa pole sana.
Huwezi kujua 'Motives' zilizowasukuma hadi kuamua kufanya tukio hilo.
 
Hawa wata hakikisha wanashiba vizuri halafu kazi itaanza mmoja baada ya mwengine kazi wanayo pole yao.
Siku hizi hawahangaiki sana..kuna sindano flan zinakua kama kumi hivi, zinakufanya unaskia maumivu makali ya mwili ndani kwa ndani,,,na sindano znavoyoongezeka ndio maumivu makubwa makali zaidi, ukigoma ndio ivyo unakufa mdogo mdogo
 
Jaribu kuwa na account X siku hizi ndio mpango mzima wa kupata current za moto moto. Wamekamatwa watu 11 mpaka sasa wa 4 kati yao walishiriki tukio la jana usiku na wamekamatwa wakiwa wanaelekea mpakani na Ukraine walipojaribu kukimbilia msituni baada ya gari kuanguka.
Nimewaona
 
Back
Top Bottom