mabwepande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wadiz

    Maeneo mengi ya Dar es Salaam ni Vijiji vilivyochangamka mfano hai Mabwepande na Mbopo

    Shalom, DSM ni mkusanyiko wa Vijiji vya hovyo vilivyochangamka, ni aibu mna viongozi ambao wana nafsi za tumbili na ngedere. Hakuna anaejali mmejaza viongozi ambao ni mashetani wanyonya damu nyusa zao kama maghetto ya popobawa. Kielelezo hakuna anaejali yafuatayo. - Hakuna madaraja -Barabara...
  2. Mangi wa Rombo

    Wanayo yapitia Watoto/ Wanafunzi wa Mtaa wa Mbopo, Mabwepande ni huruma

    Habari! Kwa huzuni kubwa leo naomba kwa mara nyingine niwakilishe kadhia wanayopitia wakazi wa Mbopo kata ya Mabepwande kufuatia ubovu wa miundombinu kwenye kata hii iliyo kwenye jimbo la kawe! Tangu mvua ya December 2023 mpaka January 2024 iliyoharibu kabisa barabara na miundombinu katika...
  3. M

    Nahitaji kiwanja Mabwepande, Bunju B

    Habari Wadau! Naitaji kiwanja Mabwepande Bunju B. Kama uncho njoo na Offer yako. Wasalaam.
  4. Intelligence Justice

    Shirika la DDC Kuchukua Ardhi huko Mbopo, Kinondo na Mabwepande kutoka kwa Wananchi ni Uporaji

    Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa taratibu kabisa na uwepo wa wajumbe wa maeneo husika lakini wanakuja kuwapora huu ni uvunjifu wa...
  5. K

    Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Sisi wananchi wa Mabwepande tunashukru serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kukamilisha ujenzi wa hospitali ya Mabwepande. Hata hivyo, tunaomba kipande cha barabara kutoka hospitalini hadi Bunju B kiwekee lami. Hii itasaidia kwa wakina mama hasa wajawazito watakapolazimika kupewa uhamisho...
  6. Elitwege

    Bomoabomoa yaacha simanzi Mabwepande, nyumba za matajiri zaachwa

    Imezuka taharuki kwa baadhi ya wakazi wa Mabwepande Wilaya na Kinondoni wanaodaiwa kujenga eneo lisiloruhusiwa, baada ya nyumba zao kubomolewa huku wakiwa hawajui la kufanya na familia zao. Akizungumza kwa simu na Mwananchi kuhusu ubomoaji huo ulioanza Julai 4, Mkurugenzi wa Manispaa ya...
  7. GENTAMYCINE

    Je, kwa maneno haya ya Mzee Butiku nae hatotembelewa kwa 'Kushtukizwa' Kwake Mabwepande kama akina Msuya na Warioba?

    "Vijana lazima wajue kuwa Chaguzi za Siku hizi nchini ni za hovyo na zimejaa Rushwa, Fujo na hakuna Haki halafu Viongozi hawapendi Kukosolewa na Wananchi ili wajitathmini na wabadilike. Suala la Katiba Mpya huenda likawa na Mashiko kwa wale wanayoitaka sana hivyo wasikilizwe" Chanzo: Radio One...
  8. M

    Inaitajika nyumba ya kupanga Mabwepande (bunju b)

    Naitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Mabwepande Bunju B. iwe stand alone na ndani ya fance. Pia naitaki viwanja vya kununua(vilivyopimwa) maeneo ya Magwepande na Bunju B. Kama una offer naomba nicheck DM.
  9. Suley2019

    Mabwepande: Raia wacharuka baada ya nyumba zao kubomolewa

    NYUMBA zaidi 11 katika mitaa ya Mabwepande na Mjimpya Kata ya Mabwepande Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam zimebomolewa na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha, huku wamiliki na familia zao wakilalala nje kwa siku mbili. Ijumaa saa 10:00 jioni, waliotekeleza ubomoaji huo baada ya...
  10. Bess

    Mabwepande bomba zipo maji hamna miaka miwili imepita sasa

    Mkoa wa Dsm mfano Mabwepande kuna sehemu bomba zimepita miaka miwili sasa maji hayajaruhusiwa, huku sio kupoteza tu mapato kwa msambazaji ambaye ni Serikali lakini pia haki ya kupata maji kwa mwananchi imedhulumiwa.
Back
Top Bottom