kumuacha mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

    Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi Wakuu nifanyeje?
  2. W

    Unapataje ujasiri wa kumuacha mke mwenye mtoto mdogo unayempenda?

    Mke mmeshashindwana kwa kila namna; kiuchumi hamuendi, kisocial hamuendi, kinidhamu n.k hamuendi, yaani ni tabu tupu na umeshafanya maamuzi kichwani ya kumrudisha kwao mara baada ya mavuno maana si kwa kutoelewana huku. Yaani katika wiki maelewano yanaweza kuwa ya siku mbili tu, siku zingine...
  3. Mr No fair

    Kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke?

    Naomba kufahamu jambo gani sahihi kati ya kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke? Maana mazingira yaliyopo yananifikirisha naombeni tu ushauri juu ya hili wana JF
  4. scientificall

    Hana hisia kabisa na mke wake wa ndoa

    Habari za mda huu wana jamvi ameniomba nifikishe uzi huu yaezekana akapata suruhisho au ushauri kutoka kwetu kwani hili ni jukwaa muhimu sana katika hili. Ni mtoto wa mjomba angu ambae ni wakiume. Kutokana na ukaribu wangu nae haswa katika kumshaur mambo mbali mbali katika maisha toka bado...
  5. Mtambuzi

    Unataka kumuacha mke mkorofi? Fanya hivi

    Kuna wanaume ambao wametokea kuoa wanawake ambao wana tabia mbaya . ninaposema kuwa na tabia mbaya sina maana ya mwanamke kuwa Malaya, maana hiyo ni fasili rahisi ya tabia mbaya kwa watu walio wengi. Ninaposema tabia mbaya nina maana kwenda kinyume na matarajio ya mume na pengine hata kwenda...
Back
Top Bottom