huruma

Huruma Estate is a residential estate located in the northeast of Nairobi, the capital of Kenya. It borders Kariobangi and Dandora to the east, Moi Air Base to the south, Mathare to the north and Eastleigh to the west.
In April 2016, during Kenya's rainy season, a building collapse in Huruma resulted in the deaths of 52 people. The building's owner, Samuel Karanja Kamau, was charged with manslaughter.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Ni huruma za bwana kwamba hatuangamii

    [1Yoh1:8]Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu. [Zab51:3]Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima [Zab51:4]Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, Na kuwa safi...
  2. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Serikali Wastaafu Wanalia Waoneeni Huruma

    .......... Wastaafu mnawanyima mafao yao kwa sababu zisizo na misingi yoyote why?
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda amwaga machozi akielezea sababu iliyompelekea kugombea ubunge, asema taifa linahitaji viongozi watakaotimiza kusudi la Mungu

    Wakuu Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi === Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo. Makonda ameeleza...
  4. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Naionea huruma Tanganyika nawa one huruma wananchi wa tanganyika

    Poleni sana ndugu zangu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sina hela kabisa kodi inasubiri bado watoto wanaumwa, watu wa karibu wamenikimbia

    Habari wanaJF ! Tuendelee kupeana moyo kiukweli ni faraj kwa watu wenye matatizo
  6. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Nakuonea Huruma Mzee wasira

    Hilo kundi unalolipigia debe siyo kundi lako toka zamani na hata Leo. Zaidi tu ni kwamba wote mpo kwenye kapu Moja la CCM. Walikuweka hapo kimkakati tu. Kuisogeza lake zone ambayo ni zone pendwa kwa walaji. Na wajua kabisa kwamba wewe upo mwishoni ama kwa kutupa taulo mwenyewe au kwa kazi ya...
  7. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Tuwaonee huruma hawa vijana jobles

    Wakuu, unakuta kijana anaishi mikoa ya kusini au kanda za pembezoni huko. Halafu anaambiwa interview aje Idodomya, logistic costs inabidi familia zijichange afu atatakiwa ahudhurie interviews kadhaa kabla ya kubahatika kupata kazi. Kivipi hapo yani, mtu anaweza tumia millions to attend several...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi nani wa kuionea huruma Tanganyika?

    Unajua kila siku nikiamka asubuhi najiuliza hili swali lakini sipati jibu, Ina maana CCM wote hakuna mtu yeyote Mzalendo kama Magufuri ili aweze kuzisimamia rasilimali zetu? Huyu Mama kawapi nini? Kwa nini Rostaman Aziz hiki kiburi anapewa na nani cha kupora rasilimali za inchi huku Viongozi...
  9. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kabla huruma zetu hazijavuka mipaka hadi Gaza, basi tuanze kuwaonea huruma wa Sudan na maeneo mengine ndani ya Afrika

    Tusiwe wanafiki.. au kwa vile palestina ipo live aljazeerq basi ndio sisi akina baba+mama huruma tunajikuta tunawasikitikia wa Gaza ila wa hapa kwetu ndani ya bara la Afrika hatuwaoni sio? Tuacheni unafiki.. hata hapo Sudan kuna wa Afrika wenzetu wanakufa na njaa... yeah CHARITY BEGIN AT...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Siku zote mdogo humfuata mkubwa. Putin nmemwonea huruma. Trump ana ubabe mwingi sana

    Putin ameonekana mnyonge sana kuitwa na kwenda Marekani ni kuonesha Putin yupo hoi. Huo ni ukweli ambao hatutakubaliana nao sababu tulikuwa tunaamin Putin ni mbabe sana. Miaka yote naamini Russia/Putin mjeuri sana na mbabe. Lakini nmejifunza kitu. Haya mambo si ya ushabiki.
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Muwe na Huruma au Ubinadamu hata kidogo, mnapoomba hela

    Mtu anakutumia msg naomba pesa kiasi flani. Unamwambia subiri nina mgonjwa nimemleta Hospital. Anajibu "Haya" Kesho yake anakutumia "mbona kimya?" Unamwambia jana ulirudi late sana yule mgonjwa ambaye ni mzazi wako amelazwa. Anakujibu "Pole. Nitumie ile pesa kwenye namba hii 06xxxx7654...
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Mkiwaonea huruma na kuwalilia watu wa Gaza pia mfanye hili pia

    Yeah , muwaonee pia huruma familia ya wale watanzania wawili waliouliwa huko gaza ikiwemo Kijana Mollel
  13. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania MUNGU ana huruma sana ni mwema sana

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimekaa tu hapa nimeutafakari wema wa MUNGU MWENYEZI hasa kwetu sisi vijana Nimeona kabisa kuwa MUNGU amekuwa ni mwema sana juu yetu Amekuwa akitusamehe na kutuokoa katikati ya maovu na ubaya Ogopa wapinga MUNGU marafiki zangu wengi ni...
  14. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Tusimunee Huruma Tundu Lissu Tuone aibu kwa kutokuwajibika katika nafasi zetu

    Alikoswa koswa kwa Risasi....Sasa tunataka akoswe koswe na Kitanzi..... Kuficha mashahidi ni utaratibu wa nadra unaoruhusiwa tu pale ambapo mazingira ya kesi yanaonyesha wazi uwepo wa tishio la moja kwa moja kwa usalama wa shahidi au chanzo cha taarifa (source) na hata hivyo, chanzo hicho...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM hawana huruma kweli chawa wao damu damu Mwijaku, wamemfyeka kwenye teuzi?

    Huyu jamaa alikua anagalagala chini akimsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Samia utasikia tu "asante mama, asante mama" heee leo kachinjwa, hiyo hela ya fomu ungemnunulia mama mjengo supu basi 😂 😂
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Viwanda ili vikue kwa kasi na kudumu havihitaji huruma za kibinadamu

    Ulaya walikuwa na viwanda vingi kumbuka industrialisation ilianzia Europe vilikufa baada ya kuingiza huruma za kibinadamu Kuhisi wenye-viwanda wanafaidi sana na kuanza kuwapandisha kodi maradufu na kuongeza kodi nyingi Kuweka minimum wages Kupandisha gharama za umeme na gesi asilia kwa kudhani...
  17. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu, Dunia haina huruma, duniani unaishi kwa mateso na bado ukifa unaenda kuteseka, bora kuwa tajiri wa ushirikina

    Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha yenye utajiri, yenye dhambi na hata kwa kutoa kafara ila tu umeifaidi dunia, kuliko kuishi maisha...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je, Tumeikosa Huruma Yetu ya Kibinadamu?

    Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu amesema "Mimi siombi Huruma ya Mahakama, Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, nachotaka na ambacho nakisimamia utaratibu wa Mahakama usichezewe"
  20. Now and then

    JamiiForums Tanzania Sehemu Ambazo ni hatari kuishi ni pamoja na vijijini watu wamejawa na roho zisizo na huruma kifo cha Enock ni weak up call.

    Jambo Ambalo nimekuwa nikiwaambia watu Kama una uwezo usiishi kijijini wala uswahilini hizo sehemu zina watu ambao roho zao zimeshachafukwa. Ona Kijana Enock anauliwa Kama Nguruwe so sad.
Back
Top Bottom