chunguzeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    DOKEZO TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

    Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi. Kwanza awali wananchi...
  2. T

    Baraza Kuu Taifa CWT mpo wapi? Zungumzeni watu wajue mbivu na mbichi

    BARAZA KUU TAIFA CWT MPO WAPI? ZUNGUMZENI WATU WAJUE MBIVU NA MBICHI Na Thadei Ole Mushi. Inashangaza Misalaba anapata wapi nguvu ya kuzuia account za CWT zisifanye kazi wakati chombo cha juu kabisa cha chama Baraza kuu likiwepo. Hiyo Nguvu Misalaba aliyonayo inatoka wapi ndio ya kudili nayo...
  3. M

    Serikali piteni kwenye mabaa chunguzeni bia za windhoek. WATATUUA JAMANI

    Najua nitaonekana mlevi lakini kuna uwezekano mkubwa sana hizi bia kuna viwanda vya uchochoroni vinaendelea. Ukizingatia wamiliki wengi ni wachaga ambao nao pesa ni zaidi ya uhai wa mtu. Hivyo ni rahisi wakafanya mchongo na wachina kutengeneza bia feki. Haiwezekana watu watano wanywe bia nane...
  4. Mzalendo Uchwara

    TAKUKURU kuweni wazalendo, chunguzeni zawadi walizopewa viongozi na watumishi waliokwenda Dubai.

    Moja ya mbinu ambazo hutumika na 'wawekezaji' wenye nia ovu ni kuandaa safari za nje ya nchi za 'kuwaelimisha' wafanya maamuzi wa nchi husika. Safari hizi huambatana na ukarimu wa hali ya juu kwenye mahoteli ya kisasa na utalii wa maeneo mbalimbali ya kuvutia kwenye hizo nchi. Pamoja na hayo...
  5. Hismastersvoice

    TAKUKURU chunguzeni utajiri wa timu ya SINGIDA BIG STARS.

    Ni wazi SINGIDA BIG STARS ilianza kuonesha ukwasi baada msingida mshika kibubu chetu kuteuliwa, huyu mheshimiwa alianza na matengenezo ya viwanja vyetu vya mpira vilivyoporwa na CCM kukarabitiwa kwa kutumia pesa za serikali! Leo nimesikia klabu hiyo imemlipa mchezaji shs 100,000,000/=! Ili...
  6. Yakki Kadaf

    DOKEZO RPC Mara, OCD Bunda chunguzeni mienendo ya Askari hawa, wanachafua sifa ya Jeshi la Polisi

    Kwanza nianze kwa dhati kuwapongeza RPC Mara, OCD, OCS na OCs Bunda kwa kazi nzuri ambapo ushirikiano wao umeufanya mkoa wa Mara kuwa eneo tulivu na salama. Bunda kwa sasa ni eneo ambalo watu wanaweza kutembea usiku mnene pasipo hofu. Pongezi pia kwa maafande Amos-kitengo cha cyber, Afande...
  7. Mwizukulu mgikuru

    Takukuru chunguzeni kituo cha kulelea watoto yatima Kashai mjini Bukoba

    Kuna mambo yanatendeka pale hayako sawa, kuna mama mmoja yuko pale anakula misaada ya watoto yatima.
  8. S

    Polisi chunguzeni ukweli kuhusu tukio la watoto watatu wa familia moja kufa kwa kuungua moto Rombo, Kilimanjaro

    Ni taarifa nimeisoma kwa majonzi sana juu watoto watatu wa familia moja, Erick (9), Joshua (7) na Gidion Theodory (2) kufa kwa kuungua moto ndani ya nyumba na mama yao kudai kwamba waliungua kwa moto uliosababishwa na wao kuchezea kibatari wakati yeye akiongea na simu na mume wake nje ya nyumba...
  9. Dumas the terrible

    Makondakta wa Daladala wanawanyanyasa wanafunzi, Mamlaka chunguzeni mchukue hatua

    Salamu wakuu, Poleni na changamoto za January naamini zitapita tu Kama upepo wa kisulisuli Husika na kichwa cha habari hapo juu, Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha kama sio kukera sana ni suala la makondakta wa Daladala kuwanyanyasa wanafunzi waendapo shuleni asubuhi na jioni wakati wa...
  10. Chendembe

    Wizara ya Elimu tafadhali chunguzeni ratiba za masomo katika Vyuo vya Kati na Juu

    Nawasalimu kwa kutoa maoni yangu katika upangaji wa ratiba katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Naomba Wizara ya Elimu na wahusika kupitia ratiba za masomo vyuoni. Imekuwa kawaida sasa kuona ratiba hizo kupangwa kutokana na nafasi za walimu wa masomo vyuoni kuelekea vipindi vingine kuanzia...
  11. Chief Ortambo Ikumenye

    Takukuru na sekretarieti ya ajira chunguzeni haraka kinachotokea DUCE, ni aibu

    Wakuu nimetimba hapa Duce aisee ni aibu. Kuna mazingira yote ya urasimu unaendelea kwenye interview zilizofanyika jana. Tulitegemea matokeo yawekwe kwenye sekretarieti ya ajira lakini haikuwa hivo. Nimefika hapa asubuhi naambiwa eti waliofaulu walipigiwa simu. Mpaka sasa hatujui waliopiga...
  12. S

    Polisi chunguzeni vizuri hivi vifo vya wanaume kwenye magesti. Mbona wanawake hawafi?

    Visa vya wanaume kufia guest wakiwa na "*viruka njia" wao vimekuwa vingi sana siku hizi. Wengi wanahusisha vifo hivi na kuzidiwa kwa mwanaume na dozi bab kubwa ya 6 kwa 6 anayopewa na mdada. Inaweza kuwa kweli lkn siyo mara zote. Nimewahi kupewa stori kuwa kuna mbinu inafanywa na wadada wahuni...
  13. Jabali la Siasa

    RC Kafulila: TAKUKURU chunguzeni mkataba wa ujenzi wa ofisini yangu

    Huyu RC binafsi anaukonga moyo wangu kwa namna anavyodhibiti mapato na matumizi ya fedha za Umma, Mkoani kwake. Hebu Msikilize mpaka mwisho hapa.
  14. mirindimo

    Serikali chunguzeni mizani ya Himo

    Ile mizani kila wakikuambia rudia kupima inaongezeka uzito, mfano wakikwambia rudi mara tatu inakuwa na ongezeko tofauti mara zote unazopima! Hii tabia Hayati Magu alijua na aliwazukia na waliacha mambo haya lakini tangu amefariki mwenda zake we are back to business, amebaki Majaliwa tu nae...
  15. HISTAMINE

    Mamlaka husika chunguzeni hili la Ziwa Nyasa

    Katika kuperuzi peruzi kwenye google map nimeshtushwa kuona mpaka na jina la ziwa Nyasa vikionekana kama nilivyoattach hapo juu. Hii imekaaje wadau? Naomba mamlaka husika itupe ufafanuzi. Nawasilisha.
  16. waziri2020

    TAKUKURU Kilimanjaro chunguzeni tuhuma hizi

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwamba aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ndaki Muhuli ambaye kwa sasa amehamishiwa wilayani Kakonko alianzisha miradi ya ufyatuaji matofali na uchanaji wa mbao kama miongoni mwa miradi ya halmashauri ya Siha. Taarifa...
  17. Rufiji dam

    MCT na TCRA chunguzeni kipindi cha Clouds 360

    Hiki kipindi kimekuwa kinaleta ukakasi sana katika afya ya habari nchini. Mara nyingi kimetumika kama dekio la kusafisha watuhumiwa hasa watendaji wa serikali. Kipindi kimekuwa kinaendeshwa kwa waandaji kujipendekeza rejea zama za utawala wa JPM. MCT na TCRA chukue hatua juu ya kipindi hiki...
Back
Top Bottom