watoto watatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya:Taarifa ya Watoto watatu kufariki baada ya kupata sindano ya chanjo Iringa!

    Habari wakuu kuna taarifa nimepata kutoka kituo cha afya Isimani ikisema kuna watoto watatu wamefariki Dunia baada ya kupata sindano ya chanjo, Tunaomba kama kuna taarifa za kina Wizara ya Afya na mamlaka toka huko waje waitolee ufafanuzi maana kuna taharuki kubwa imezuka na hatua zaidi...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pastor Nikki Shaboka, anakuambia hawezi kushindana na mwanamke aliyezaa naye watoto watatu. Ni ileile Facts niliyowapa. Mwanamke mzuri mzalishe watoto

    Hamjambo Wote! 1. Kuna wanaume wenye upeo Mdogo Sana. Ndio wale wanaotajwa wamezidiwa akili na wanawake. Ndio maana mambo madogo kama haya wanashindwa kuyaelewa. 2. Wanaume wote ambao uliwahi kuwaona hawababaishwi na Mapenzi wanatabia zinazofanana. Mojawapo ni kujua kuwatumia wanawake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Familia nyingi siku hizi hazizidi watoto watatu kutokana na ongezeko la kina mama kujifungua kwa njia ya operesheni

    Familia nyingi sikuhizi kuna watoto wasiozidi watatu, wengi hudhani ni family planning (kuzaa kwa mpango) lakini ukifuatilia kwa ndani ni kutokana na ongezeko la kina mama wanaojifungua kwa operesheni, njia hii huwa inawekewa kikomo cha kujifungua mara chache .
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwachinja watoto watatu wa mke mwenza kisa mke mdogo kupendwa zaidi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa. Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Aua watoto watatu wa mke mdogo kisa wanapendwa zaidi

    Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Wende Luchagula (30) mkazi wa kijiji cha Milonji kata ya Lusewa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, anadaiwa amewaua watoto watatu wa mke mwenzie kwa kuwachinja na kitu chenye ncha kali shingoni kwa madai kuwa mumewe anampenda zaidi mke mdogo pamoja na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Watoto watatu familia moja wafariki kwa moto

    Watoto watatu wa familia moja wamekutwa wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wanaishi kuungua moto Watoto hao Membe Ndama (7), Mwaru Ndama (2)na Sayi Ndama (1)walikuwa wakiishi na wazazi wao katika Kijiji cha Nambilanje, Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi...
  7. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Mume watoto watatu nje mke mmoja

    Kuna rafiki yangu ameniomba ushauri nimekosa cha kumshauri Yeye ana mtoto mmoja ni single maza.kapata mwanaume ana watoto 3 .boys Anataka wafunge ndoa kabisa. Sasa anawaza Bora apambane na mwanae mmoja au Bora aolewe akapambane na WA nne? Uchumi WA jamaa ni WA Kati na yeye mwanae analea...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye Watoto Watatu halafu Wote ni Wezi na hawana mbele wala Nyuma na Mwanaume asiye na Mtoto kabisa Kwako Wewe nani hapa mwenye Afadhali?

    Na katika huu Uzi najikita tu zaidi Kusoma Maoni / Majibu yenu kwa huu Ubishani nimeukuta mahala na ninauleta Kwenu.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  10. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia watoto watatu wa Cristiano Ronaldo

    Mwanasoka bora duniani ambaye bado anawaacha Mapaparazi vinywa wazi juu ya ukweli wa watoto wake Mapacha (Eva na Mateo) na hata Cristiano Jr, wako wapi Mama za hawa watoto . Issue ya Mapacha hawa wawili kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Marekani, walizaliwa kwa 'surrogacy' yani mbegu za...
  12. Mjukuu wa Magika

    JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

    Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri. Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

    Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi...... Jamaa anakula maisha tu, kayapatia... ====================== Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an...
  14. The only

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuzaa nae watoto watatu bila ndoa

    Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti . Vigezo Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary Umri kuanzia 20 hadi 34 Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers watapewa first priority Awe mrefu asiye muathilika . Asiwe muhaya .muha.mgogo .mbulu.au mtu wa...
  15. Mwasapile

    JamiiForums Tanzania Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

    Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuwa je, kiwango cha mshahara ninachokipata kulingana na majukumu niliyonayo kama kinanitosha, ni baba wa mke mmoja na watoto watatu ambao kati yao wawili wameshaanza shule. Sasa kila nikipokea mshahara let say tar 01 ikifika tar 03 huwa sina kitu mfukoni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Watoto watatu wafariki dunia Simiyu

    Watoto watatu wa Shule ya Msingi Itubukilo B, Kijiji cha Pugu, Kata ya Itubukilo Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, wamefariki dunia Aprili 25, 2023 baada ya mkokoteni waliokuwa wakisafiria kusombwa maji ukiwa unavutwa na ng’ombe. Waliofariki ni Maleki Legi (16), Isaka Njile (14) na Wille Njile...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Polisi chunguzeni ukweli kuhusu tukio la watoto watatu wa familia moja kufa kwa kuungua moto Rombo, Kilimanjaro

    Ni taarifa nimeisoma kwa majonzi sana juu watoto watatu wa familia moja, Erick (9), Joshua (7) na Gidion Theodory (2) kufa kwa kuungua moto ndani ya nyumba na mama yao kudai kwamba waliungua kwa moto uliosababishwa na wao kuchezea kibatari wakati yeye akiongea na simu na mume wake nje ya nyumba...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watoto watatu wateketea kwa moto Rombo

    Watoto watatu wa familia moja katika kijiji cha Lessoroma wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro wameteketea kwa moto baada ya nyumba yao wanakolala kushika moto. Akizungumzia tukio hilo leo Januari 21, Mtendaji wa kijiji hicho, Emma Mosha amesema tukio hilo limetokea usiku wa saa mbili Januari 20...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watoto wanne wa familia moja wafariki kwa ajali ya moto

    Watoto wanne wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea majira ya saa 6:30 usiku wa kuamkia leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika makazi ya watu yaliyopo ndani ya eneo la mgodi wa Mwadui, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...
Back
Top Bottom