DOKEZO TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

The Next MP

Member
Nov 15, 2023
37
43
Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi.

Kwanza awali wananchi walitakiwa kulipa milioni moja na laki sita (1,600,000TZS) ili warasimishiwe makazi yao kwa kupimiwa. Baada ya kuona wanagoma wakashusha mpaka laki sita (600,000TZS) kwa kila mwananchi mwenye eneo la 20x20, ukiwa na 20x20 mbili na gharama ni mara mbili na kuendelea.

Wizi unakuja hapa, mwananchi akishafika kuhakiki eneo lake anapewa fomu inayomwelekeza kuweka Shilingi laki nne na elfu hamsini kwenye account maalum, akimaliza malipo hayo ndipo atapatiwa Control namba kulipia Laki moja na elfu hamsini (150,000TZS) ambayo ndio kiwango cha Serikali. Sasa wananchi wanahoji hiyo pesa nyingine inakwenda wapi?

Mbaya zaidi waliohoji sana walikamatwa na kuwekwa ndani. Niishie hapa, naendelea na uchunguzi zaidi, next time nitaleta account namba na anayehold hiyo account pia nitaleta majina ya viongozi wote wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha wanaohusika na hujuma hizi.

==
Soma Majibu ya Halmashauri ya Kibaha kuhusu tuhuma za Rushwa katika urasimishaji viwanja
 
Mkuu ungemaliza Kila kitu leoleo ili hatua stahiki zichukuliwe haraka.
 
Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi.

Kwanza awali wananchi walitakiwa kulipa milioni moja na laki sita (1,600,000TZS) ili warasimishiwe makazi yao kwa kupimiwa. Baada ya kuona wanagoma wakashusha mpaka laki sita (600,000TZS) kwa kila mwananchi mwenye eneo la 20x20, ukiwa na 20x20 mbili na gharama ni mara mbili na kuendelea.

Wizi unakuja hapa, mwananchi akishafika kuhakiki eneo lake anapewa fomu inayomwelekeza kuweka Shilingi laki nne na elfu hamsini kwenye account maalum, akimaliza malipo hayo ndipo atapatiwa Control namba kulipia Laki moja na elfu hamsini (150,000TZS) ambayo ndio kiwango cha Serikali. Sasa wananchi wanahoji hiyo pesa nyingine inakwenda wapi?

Mbaya zaidi waliohoji sana walikamatwa na kuwekwa ndani. Niishie hapa, naendelea na uchunguzi zaidi, next time nitaleta account namba na anayehold hiyo account pia nitaleta majina ya viongozi wote wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha wanaohusika na hujuma hizi.
Nimeshawahi kushiriki uchunguzi wa sakata fulani la ardhi hapo ambapo all roads led to RC Office na shughuli ikakwamia hapo
 
Shida ni hiyo...hakuna mkubwa kuliko nchi. Hiz za kumwacha mtu kisa ana title flani ndo maana tunakwama.
 
Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi.

Kwanza awali wananchi walitakiwa kulipa milioni moja na laki sita (1,600,000TZS) ili warasimishiwe makazi yao kwa kupimiwa. Baada ya kuona wanagoma wakashusha mpaka laki sita (600,000TZS) kwa kila mwananchi mwenye eneo la 20x20, ukiwa na 20x20 mbili na gharama ni mara mbili na kuendelea.

Wizi unakuja hapa, mwananchi akishafika kuhakiki eneo lake anapewa fomu inayomwelekeza kuweka Shilingi laki nne na elfu hamsini kwenye account maalum, akimaliza malipo hayo ndipo atapatiwa Control namba kulipia Laki moja na elfu hamsini (150,000TZS) ambayo ndio kiwango cha Serikali. Sasa wananchi wanahoji hiyo pesa nyingine inakwenda wapi?

Mbaya zaidi waliohoji sana walikamatwa na kuwekwa ndani. Niishie hapa, naendelea na uchunguzi zaidi, next time nitaleta account namba na anayehold hiyo account pia nitaleta majina ya viongozi wote wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha wanaohusika na hujuma hizi.
Poleni. Usikubali kulipa pesa yoyote ya serikali bila Control number. Ingekuwa vizuri ungeweka hiyo account maalumu hapa kwa hatua stahiki
 
Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi.

Kwanza awali wananchi walitakiwa kulipa milioni moja na laki sita (1,600,000TZS) ili warasimishiwe makazi yao kwa kupimiwa. Baada ya kuona wanagoma wakashusha mpaka laki sita (600,000TZS) kwa kila mwananchi mwenye eneo la 20x20, ukiwa na 20x20 mbili na gharama ni mara mbili na kuendelea.

Wizi unakuja hapa, mwananchi akishafika kuhakiki eneo lake anapewa fomu inayomwelekeza kuweka Shilingi laki nne na elfu hamsini kwenye account maalum, akimaliza malipo hayo ndipo atapatiwa Control namba kulipia Laki moja na elfu hamsini (150,000TZS) ambayo ndio kiwango cha Serikali. Sasa wananchi wanahoji hiyo pesa nyingine inakwenda wapi?

Mbaya zaidi waliohoji sana walikamatwa na kuwekwa ndani. Niishie hapa, naendelea na uchunguzi zaidi, next time nitaleta account namba na anayehold hiyo account pia nitaleta majina ya viongozi wote wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha wanaohusika na hujuma hizi.

They have bills to pay back home,acha roho mbaya kwanza sa100 karuhusu wale ila wasivimbiwe.
 
TUME YA UCHUNGUZI HILI NALO SI SAWA
Naomba kutoa la moyoni na linahusu wengi sana
1.Kwanini OC (office consumable proper) ikishuka kwenda halimashauri inarudishwa ndani ya masaa 12 mpaka 24 ili hali taarifa hazijapakiwa kwenye mfumo ?
-Hili limejitokeza kwa miezi 2 (mwezi wa 10 na 11) mfululizo ndani ya Halmashauri ya Butiama HQ.

2.Je nini tamko rasmi kuhusu pesa ya kujikimu kwa ajira mpya ,Maana mpaka leo Butiama DC hatujalipwa ajira mpya ?
- Saidieni wananchi kuna mahali panavuja.
 
Aisee Halmashauri ya Kibaha ijitafakari, wacha niyaanike majina ya baadhi ya wababaishaji, wasanii, na wahujumu uchumi kwa kurudisha nyuma juhudi za Mama.
1. Idara ya Mipango mji inayoongozwa na Jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la (Shushu)
2. Mkuu wa Idara mwenye ukabila na mbabaifu sanaa (Dennis)
3. Mkurugenzi naye amelewa madaraka.

Nawasilisha bila uwoga. Mwenye nyongeza naye aongezee

Sent from my SM-G9960 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom