• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

toyota

 1. Manjagata

  Naomba kujuzwa ubora wa Probox na Toyota Wish

  Wakuu naomba mtaalam wa magari anipe ufafanuzi wa ubora wa hizi gari nilizotaja hapo juu! Dadavua kadri unavyofahamu!
 2. koplo

  Nahitaji Engine ya Toyota CAMI 2000 HC-EJ

 3. hp4510

  Nahitaji Gari Toyota Ra4 ( kilitime)

  Nahitaji Gari tajwa hapo juu Bajeti yangu ni shilingi Milion 7 Cash Mwenye nalo anidm Gari liwe zima, linatembea, halijapata Ajali
 4. J

  Car4Sale 1998 Toyota Corolla

  1998 Toyota corolla for sale.. Cc 1490, MANUAL Transmission.. 180,0000kms..Color white..Very good Condition.. Price Tzs 4.5 million Contact 0717900640 Dar es Salaam
 5. alphonce.NET

  Car4Sale Toyota mark ii charser sx80

  Nauza Toyota Charser SX80 Automatic transmission, 4-Cylinders engine Iko katika hali nzuri inatembea, Iko Kahama, Shinyanga Bei: Tsh 3,000,000 Tel: 0767659145, 0787659145, 0620246040.
 6. Mr Evans

  Nauza Toyota vitz new model 2008

  SOLD BY THE OWNER TOYOTA VITZ NEW MODEL-2008 Asking Price: TZS 8,500,000 Location: Dar es salaam, Tabata Low Mileage: 64,000KMs Number: T*** DNY Imported: Dec 2017 with 59,000 KMs, New Tires installed November 2019 No accident history, elegant and minty. All documents available. Economy...
 7. Silima MK

  Car4Sale Toyota Alphard 2003

  Bei 16,500,000/= Tazama picha kwa details. Contact 0715863805 kwa maelezo zaidi.
 8. N

  Gari aina ya Toyota Porte

  Ninahitaji gari aina ya porte kuanzia namba D Iwe nzuri , bajet yangu ni milion 5 cash , Mwenye nayo anione inbox tumalize biashara Asante
 9. RugambwaYT

  Toyota Raum Review: Karibu tupeane uzoefu kuhusu gari hili

  Toyota Raum ni gari dogo lililotengenezwa na kampuni ya Toyota na kuuzwa kwenye soko la ndani la Japan (JDM) kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2011 ambapo uzalishaji wake ulisitishwa rasmi. Gari hili liko kwenye kundi la magari madogo kwa ajili ya matumizi mbali mbali yajulikanayo kitaalamu kama...
 10. Jamii Opportunities

  16 jobs positions at Toyota Tanzania Limited which is opening a new branch in Mbeya

  Toyota Tanzania Limited is opening a new branch in Mbeya and is now seeking well qualified, result oriented, dynamic and enthusiastic professionals to fill in the following positions below: 1. Auto Cleaner Good car washing skills, at least two years’ experience in a reputable carwash or...
 11. J

  CCM Lumumba zimejaa Toyota Landcruiser mkonga nje za Wenyeviti wa mikoa. Ni vema CHADEMA wakajifunza matumizi mazuri ya ruzuku

  Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi. Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa...
 12. Kendrick Rama

  Msaada kwa anayefahamu bei ya Toyota Alphard

  anayejua bei ya hii gari Toyota Alphard naomba anisaidie please! naimani humu JF ni sehemu ya kupata jibu sahihi kuliko huko mtaani
 13. Feliciansanyenge

  Toyota Isis Vs Wish 1800 CC

  Nimejichangachanga nataka moja kati ya hizo, kwa anayezifahamu, ni ipi nzuri kuanzia muonekano, uimara mpaka perfomance.
 14. kalagwena

  Nataka kuagiza Toyota Crown. Nitenge bajeti kiasi gani?

  KIMOMWEMOTORS Mkuu nataka kuagiza toyota crown royal saloon ya mwaka 2008, cc 2500 na mileage kama km 115000. Mpaka unanikabidhi nitenge Tshs ngapi?
 15. Feliciansanyenge

  Toyota Isis/Wish/Caldina 1800cc

  Nahitaji gari moja kati ya hizo , iwe imesajiliwa hivi karibuni ofa yangu ni m9 Nicheki watsapp 0767525764
 16. Feliciansanyenge

  Toyota Caldina or Fielder inahitajika

  Toyota Caldina au Fielder 1800 cc imetumika nchini muda mchache inahitajika. Budget mil 9! Ni contact via Whatsapp 0767525764
 17. B

  Ulaji wa mafuta Toyota Vitz

  Nina gari aina ya Toyota Vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 ulaji wake wa mafuta ni km 9 kwa litre 1. Wakati kwa wengine inakula 12km kwa litre. Kwangu tatizo litakuwa ni nini wadau.
 18. M

  Anayeifahamu vizuri Toyota Starlet anisaidie

  Mwenye uelewa zaidi wa Starlet (Carat model 1999, 4E-FE engine) naomba anijuze uimara na upatikanaji wa spares nisije kupoteza pesa zangu.
 19. JOH CARLOS

  INAUZWA Toyota Rav-4 short chasis inauzwa (ANW)

  Lipo katika hali nzuri (karibu ukague gari) Lipo Mabibo Lina milango mitano 1990 cc Bei ni Tshs 3.4M (negotiable) Call or text: 0692141994
 20. N

  Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

  Kupitia uzi huu tutakupa taarifa za magari mbalimbali yanayopatikana kwenye stock yetu kwa ajili ya kuuza Fuatana nasi kwenye comments hapo chini Ikiwa una gari unahitaji kuuza kwa haraka au kununua. Tufikie kwa namba 0719972458 Karibu sana Instagram @magari_aina_zote +++++++++++++++++++++...
Top