bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Bia wajenge Soberhouses kila Wilaya,Wauzaji/Watengenezaji Pombe kali wajenge na kufacilitate Dialysis na Huduma za wagonjwa wa Figo/Ini

    Wakuu Serikali inapata wapi shida kuweka sharti la lazima kwa wachangiaji kodi wake ambao shughuli zao zimekua na athari mbaya kwa jamii...mathalani Wazalishaji/Wauzaji wa pombe Hivi TBL hawana capacity ya kujenga soberhouse nzuri kila wilaya?Kwanini wauzaji wa pombe kali wasipewe sharti la...
  2. BLACK_

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mraibu wa bia @min-me nipe location

    Nimekuwa mraibu wa bia na kwa kweli nahisi kufurahia hii hali Kwa muda sasa nimejikuta nikinywa bia mara kwa mara mpaka nikaanza kuhisi kwamba nimekuwa mraibu Cha kushangaza ni kwamba sioni kama inanitesa badala yake nahisi naifurahia hii hali Bia imekuwa sehemu ya starehe yangu muda wangu...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tanzania kukoje? Sasa kilichopandisha bei ya bia ni kitu gani?

    Kenya mkate ukipanda bei, wanaingia barabarani, Tanzania saruji imepanda tuko kimnya hata makalio kuna wakati yanapiga kelele kwa kujamba. Sasa bia zimepanda bei bado tuko, kimnya tu hivi tunaelekea wapi?!
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Drink bia lipa Kodi.....

    TMDA Yapiga Marufuku Matangazo ya Dawa za Kuacha Pombe Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imepiga marufuku matangazo yote yanayohamasisha matumizi ya dawa za kupunguza au kuacha unywaji wa pombe. Dawa zilizotajwa kupigwa marufuku kutangazwa ni Naltrexone, Acamprosate na Disulfiram. Kwa...
  5. Dr Count Capone

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

    Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada. Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu vingi, vingine hatuwezi hata waambia watu maana ni chafu sana ila nyingine tunaziishi. Nimeanzisha uzi...
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Katika kitu kimebakia kama nchi tunachojivunia ni hichi tuu

    Safarilager Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa CCM ni dude kubwa kwa kilugha

    Ni wazi sasa CCM ni dude kubwa kwa kilugha "POSEIDON" Deogratius Ndenjembi kaula aisee nabubujikwa na machozi ya furaha huyu jamaa nilisoma naye
  8. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi wauza bia huwa mnawauliza Wanamiaka mingapi kabla ya kuwauzia maana haiuzwi chini ya 18

    Huwa najaribu kuwaza kunamatangazo. Haya ya pombe mwisho huwa wanasema haiuzwi kwa waliochini ya miaka 18. Je ni kweli wahudumu huwa mnawauliza wateja wenu umri wao kabla ya kuwauzia bia??????
  9. Red black

    JamiiForums Tanzania What does psychopathy feel like?

  10. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Ninapokuwa na Mawazo, chupa ya maji inageuka bia

    Kama ilivyo kwa binadamu wenzangu wengine Kuna wakati napitia msongo mkali wa kimawazo nakuwa na hamu sana ya kunywa bia kwa lengo la kujisahaulisha na shida. Ila nikifiria madhara yake hasa magonjwa ya Figo, kufilisika matatizo, kugombana na ndugu, wazazi, mke n.k naamua kutafuta tu hobbies...
  11. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Hunywi bia na hutumii kilevi chochote lakini bado maisha yako ni magumu shida ni nini mkuu?

    Kuna wale jamaa huwa wanapenda kutusema sana sisi wana wa kamtungilei, lakini maisha yao kila kukicha ya jana yanakuwa na afadhali kuliko ya leo....kuna jamaa yangu mwingine huwa anapenda kunisema kuhusu mambo ya mtungilei alijichanganya akaenda kuchukua mkopo wa laki nne kwenye taasisi za...
  12. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Ukileta nenda ukalale. Tafadhari sana

    Nipo maeneo fulani hivi nimepumzika room baada ya safari ndefu. Sasa hii sehemu nje kidogo kuna ka-pub. Kuna wazee wa makamo walikua wamepaki ndinga wanakula gambe na kuwanunulia wengine. Kabla mechi ya Simba haijaanza yaan wameanza kula gambe tangu saa 6 inaenda saa 7 ni chupa vizibo vizibo...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifanya chai iwe bia

    tengeneza chai kwa kuchemsha maji na majani ya chai ( zidisha majani ya chai kuliko kawaida ) kisha baada ya chai kuchemka vizuri acha ipoe ikishapoa chuja na kuwekea sukari nyingi nyingi, kama una scoby unaweza ukaweka kama hauna hakunashida pia, iache chai yako ndani kwa siku kadhaa hadi...
  14. Red black

    JamiiForums Tanzania Old Milwaukwee Beer hii bia ni balaa nimeinywa juzi ila bado nimelewa siku ya tatu hii

    kama ni kichwa panzi utalewa week Moja Old Milwaukee beer ni tamu sana ikipita kwenye koo😂
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Hili ndio toleo la kwanza la bia ya Serengeti

    Ilikuwa bia tamu yenye ujazo wa uhakika na kilevi cha kueleweka Niliinywa kwa mara ya kwanza mwaka 1994 kwenye promotion iliyokuwa inaendeshwa na Prime time promotion pale Mwananyamala Siku ya pili nilipitia hapo bar nipate mtori niwahi job nikaagiza moja ya kushushia.. By the time namaliza...
  16. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Unaweza kufikiri unakunywa bia kumbe unakunywa pombe

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya bia na pombe. Pombe zote zinazoitwa bia zinatengenezwa na kiwanda cha serengeti sio bia ni pombe. Pombe nyingi za TBL sio bia. Ni pombe. Isipokuwa Castle lite tu. Windhok ni bia Heinken ni bia Castle lite ni bia Hizo nyingine hazijatengenezwa kwa pure shahiri...
  17. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Krismasi yananoga, watu wanakula bia

    Kula bia kula bia kula bia kula bia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻 Kula bia kula bia kula bia kula bia...bia tamu 😂😂😂😂😂😂😂 we hapa lounge bar tunaondoka tarehe 2 mwakani ni kula bia kula bia kula bia ..😂😂😂😂
  18. McLaren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyemnywesha tembo bia mbugani achunguzwa na mamlaka za Kenya

    Mamlaka za wanyamapori nchini Kenya zimeanzisha uchunguzi baada ya video za mtalii wa Kihispania kusambaa mtandaoni zikimuonyesha akimimina bia kwenye mwembe wa ndovu. Tukio hilo lililofanyika katika hifadhi binafsi ya Ol Jogi Conservancy, Kaunti ya Laikipia, limezua hasira kubwa kwenye mitandao...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Unaagiza bia ya baridi sana alafu unakanayo nuusu saa haijaisha si bora ungeagiza ya moto

    niko maeneo ya makirikiri kibaha kwa Mathias Sehemu ya kubadili finra na mawazo Kaja kijanannanwenzie wanaagiza kwa masharti tupe za baridii sana Mpaka sasa nusu saa wanazo hizo bia si bora wa wangeagiza za moto tu Kama na wewe una tabia ya kukaa na bia moja bar agiza ya moto N matumizi...
  20. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bia za moshi na Arusha ni tamu kuliko bia za mikoa mingine?

    Niko na safari larger zangu hapa ,ni tamu kuliko za mikoa mingine nilizowahi kunywa. Kuna siri gani bia za huku kuwa tamu?
Back
Top Bottom