ajira za polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Ajira JWTZ, Polisi na Magereza

    Habari Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye kujua, Ajira za jeshi, polisi na magereza hutolewa tofauti tofauti ? Au zinatangazwa Ajira za polisi then baada ya mafunzo mnagawanyishwa ? Na je huwa zinatangazwa mwezi wa ngapi??
  2. iddy mweka

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  3. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ajira za polisi mwaka huu una shida gan?

    Shalom Nafas za ajira zimetoka mfumo waliouweka ni kama pata potea namba yangu mwenyewe ya form four necta inagomewa. Hapo nimetoka kuhangaika nao sana kufungua akaunt mana password nimeiweka mm mwenyewe mchana kweupe na akili zangu zote kichwani na iligoma. Mpaka muda huu niko kwa mganga simu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo hapa

    Habari Kwa wanaopata changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo tukusaidie kukamilisha maombi Yako 0779448549
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za ajira jeshi la polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha Sita na Kidato cha Nne wenye sifa zifuatazo: 1. Sifa za Muombaji a) Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa. b) Wazazi wake wawe raia wa Tanzania kwa...
  6. Holota

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za polisi zitafanyika sehemu gani Singida?

    wadau interview ya ajira za jeshi la polisi mkoa wa singida zitafanyika sehema gani? Hadi sasa hakuna taarifa rasmi kwa anayefahamu atusaidie
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu usaili wa ajira za polisi

    Wakuu habari za majukumu, Naombeni msaada juu ya usaili wa haya majina ya ajira za polisi yaliyotoka Leo. Je inawezekana kufanya interview sehem ambayo ni tofauti na uliyojaza hapo awali? Mfano awali niliomba Iringa lakini muda huu nipo Kagera na siwezi kurudi Tena Iringa kwa Sasa. Inawezekana...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko Asantni🙏
  9. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maslahi kwenye ajira za polisi yakoje kwa sasa?

    Jamani kwa mwenye anajua maslai ya polisi kwa sasa embu atuambie maake nasikia kwamba ajira walizotoa mwaka huu maslai wataboresha zaidi, ukizingatia kwa sasa ni vijana watupu wamepewa kipaumbele but kwa upande wangu i think this all its done because of the general election on 2025.
Back
Top Bottom