Ndugu yangu ameomba mkopo bank moja hapa nchi, kwakuwa ni mfanyakazi mshahara unapita bank hiyo na ni kwa muda wa miezi 72. Mkopo anaopewa ni mil 35 na atakatwa zaidi ya laki 7 na nusu kwa mwezi, ukipiga hesabu kwa haraka haraka hadi amalize mkopo atakuwa amelipa zaidi ya milion 54. Je, hii...
Kwamba ushahidi na utetezi inaonesha si kosa moja kwa moja Iła viashiria vya kosa hilo,
Hivyo waamuzi wanasema muda jela au lipa kiasi fulan
Hii umaanisha nini?
Britanicca
Salamu wakuu
Nina ishu serious inanisumbua akili mpaka sielewi nifanyeje kama kuna mtu imewah kumtokea naomba anisaidie mbinu alizotumia
Mkasa mzima uko hivi, Nina demu wangu hivi nampenda lakini yeye pia ananipenda kwa ninavyomuona
Changamoto inakuja demu nikiingia nae ngoma inagoma
Na...
Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser Hardtop) yatakayorahisisha utekelezaji wa majukumu ya Chama hicho.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo...
maamuzi mengine kumpa mtu magumu....
Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign
2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu...
maamuzi mengine kumpa mtu magumu....
Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign
2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu...
Mjukuu wangu ananijuza, babu kuliko kuweka fedha bank na kununua hisa, Kwanini watu wasinunue Dhahabu na ardhi tu?
Nikafikiria nikataka kumjibu nikanyamaza. Kwa hiyo na mimi nawaulizeni ninyi
mananke mie si mtaalamu wa inflation....
Jana mtaani kwetu kulikuwa na mechi ya timu ya mtaani kwetu vs timu kutoka Mbande. Sasa Upande nilio kuwa nimekaa kulikuwa na wazee wa kiislamu kadhaa wakawa wanapiga story kuhusu wanawake.. Mada ikawa kuhusu uchawi wa mapenzi..
Kati Yao kuna mmoja ana kama miaka 60 akawa anasema anawashangaa...
Unaenda Brela unafungua kampuni kwa kupeleka documents zote, unafika TRA kuchukua TIN Cert wanataka tena Documents ulizopeleka Brela.
Wakati huo tayari mfumo wa Brela umewataarifu kuwa kuna Kampuni mpya imesajiliwa na TRA wanakupa TIN namba automatic.
Sasa najiuliza TRA hawana imani na Brela...
Nafanya kazi na wachina
Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina.
Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full
Habari wakuu
Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia.
Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda...
Kuna mambo mengine ya kipumbavu sana.
Nimekua nasoma habari za mmoja wa wanaharakati wa Tanzania kunusurika kutekwa huko nchini Nairobi, na mmoja wa watekaji amekimbia na wengine wamekamatwa.
Nimekua najiuliza hii kidiplomasia imekaaje? Je sio ni kama kitendo Cha uvamizi kwenye nchi husika...
Habarini,
Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye...
Salaam!
Maskini, mnyonge anayedaiwa huwa mnyonge .
Sasa maskini jeuri badala ya kulipa trillion 108 unazodaiwa, unatoka kuanza kumkoromea anayekudai kwamba " we nae kati ya wenye pesa nawe umo"?
Uliona wapi hii?
Pia soma > PostGE2025 - Samia to Western Countries: Who are You? They think they...
Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili?
Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa?
Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu.
Inawezekanaje Wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
Nipo Arusha Leo kwa kweli inasikitisha
Ñaona ndege za jeshi zimabandikwa stika za mama zinazunguka hapa zaidi ya saa na nusu hazijatua ziko hewani tu gari zinasomba watu kupeleka stadium kwenye kampeni
Hali kwa sasa ni mbaya wananchi wengi wamekerekwa na Namna helcopter zinazunguka TU hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.