Wakuu bado sijapata mchongo kama kuna mchongo wowote au ajira me bado natafuta ni kijana wa miaka 22 nishafanya kazi sehem tofaut tofaut pia nnaufanis wa quality na marketing pia kwa sasa natafuta ajira yoyote kama kuna mchongo bandarin au sehem yoyote ya mauzo au kazi yoyote ila me niko tayar
Nawasalimu sana wote wakubwa kwa wadogo, wazee kwa vijana, waheshimiwa kwa wasio waheshimiwa, ni matumaini yangu mpo salama na kama hali ni kinyume chake Mungu awape nguvu muwe salama.
Naanza kwa kusema kuwa ni huzuzni kubwa sana kwa CV kama hii kukaa haina mchongo wa kueleweka katika...
Habari wana-JF.
Mimi ni binti Kwa sasa makazi yangu yapo Dar es Salaam
Natafuta Kazi au ajira katika taasisi au Kampuni zinazojihusisha na maswala ya umeme.
Nimesomea Fani ya umeme hadi Level three. (111).
Ninauwezo mkubwa wa kufanya shughuli hii Kwa ufanisi mkubwa na ninafundishika pia ...
Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali.
Elimu yangu kidato cha nne.
Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu
Napatikana DSM wilaya ya TEMEKE
Mawasiliano +255696993834
Naitwa Ezra
Umri 23
Elimu kidato cha sita.
Nimepita JKT
Natafuta Kazi zifuatazo
Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha.
(security group of Africa) kazi hii niliacha Kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kwenda...
Wa kutumia pesa zako ukitoa mama, ni mke wako. Msininukuu vibaya, namaanisha mke uliyemtoa usichana ukaiona damu yake. Mwisho wa nukuu.
Naungana na ndugu zangu Natafuta Ajira pamoja na R Heriel. Mke ambaye hukumkuta bikra, si wako na hatokuwa wako.
Faida nimeona nyingi sana, ingawa hasara zipo...
Habar wakuu nina umri wa miaka 29 natafuta kazi yeyote ya halali kwa taaluma ninachet cha hotel kama housekeeper na waiter ambayo nitalipwa mshahara kuanzia 300,000 kwa mwezi.
Pia najua kuendesha gari, sijasomea.
Nipo DODOMA ila kokote naweza fanya kazi.
Kwa manual work nahitaji ambayo naweza...
Habari zenu watanzania wenzangu.
Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma na uandishi na utangazaji wa habari.. hivyo natafuta kazi ,, ujuzi ninao wa.miaka miwili
Pia , nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Mtusaidie jamani maana...
Jina: Rich Mashauri
Mahali: Dar es salaam
Elimu: Muhitimu Bachelor of accounting with information technology (BAIT) chuo cha IFM
Miaka: 23
Gender: Male
Ujuzi: IT skills, accounting ethics na ujuzi katika maswala ya biashara na tax principals
Majukumu kwa sasa: Najiendeleza na masomo ya CPA...
Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara...
1. Unenepeshaji wa ng'ombe
Kipindi cha kiangazi (ukame) ng'ombe huwa zimedhoofika na kusababisha ng'ombe kuuzwa kwa bei ya hasara. Kwa mfano, ukiwa na ng'ombe 5 ambao umewapata kwa 200,000
Jumla ya pesa iliotumika
200,000×5=1,000,000
Makadirio ya matunzo kwa miezi 3 ni 150,000 kwa ng' ombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.