ajira za kudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwanini baada ya kupata ajira za mkataba UTUMISHI, inakuwa ngumu kupata ajira za kudumu hata baada ya kufanya usahili na kufaulu mara nyingi?

    Kwanini baada ya kupata ajira za mkataba kupitia utumishi wa umma, inakuwa ngumu sana kupata ajira za kudumu hata baada ya kufaulu katika usaili mara nyingi? Je, kuna sababu za kipekee au mifumo inayozuia mchakato huu wa kuajiriwa kwa njia ya kudumu?
  2. Elli

    Ni kweli Askari Polisi wengi hawana ajira za kudumu? Ni kama vibarua?

    Hii ni Post ya kuomba UELEWA. Kuna Mahali nilikua nimekaa na Wadau zikaanza story hapa na pale, Kuna jamaa akasema Polisi hasa wa rank ndogo na hawa akina kajamba nani HAWANA ajira za kudumu Hadi ufikie Rank Fulani? Akaendelea kufafanua kuwa hawa ni Wafanyakazi wa "Idara" na sio watumishi wa...
  3. D

    Tunaomba Serikali ipige marufuku kujitolea vijana tupate ajira za kudumu kupitia Utumishi

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection. Pia tunaomba ajira zote za kudumu kwenye mamlaka ya serikali ndogo (local government) wizara...
  4. HIMARS

    Ajira za kudumu, chanzo cha ubadhirifu

    Tumesikia kuhusu ubadhirifu kupitia taarifa ya CAG, PCCB Hasara ya Bilioni 450 zilizolipwa kwa wakandarasi kutokana na kucheleshwa malipo. Hapa ilitakiwa wahusika wote wafilisiwe, wafukuzwe kazi, wafungwe. ATCL kuwa na hasara ya Bilioni 71 ndani ya miaka 2, hii imetokana na waajiriwa wa ATCL...
Back
Top Bottom