ajira

  1. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Hawa ndugu zetu waliotoka South Africa, ni aina Gani za ajira walizokuwa wanasema wamezichukua mpaka kufukuzwa?

    Je , ni aina Gani ya ajira ambazo wasouth Africa au wapopo wamekuwa wakiwalalamikia wageni kuwa wamezichukua? Je ni ajira zipi. Najaribu kuangalia hili swala
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kifanyike kupunguza tatizo la ajira kwa vijana mkoani MBEYA ?

    Miezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana Mandhari ya jiji la Mbeya imesambaa kwenye wilaya tatu ambazo ni, Mbeya CBD, UYOLE na MBALIZI. Kuna vijiwe vya vijana asubuhi utawakuta, mchana utawakuta, jioni utawakuta Mbeya kuna...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kozi ya 'Community Development for Water Supply and Sanitation' kwanini fursa zake za ajira haziwekwi wazi?

    Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu kozi ya Community Development for Water Supply and Sanitation (CDWSS) inayotolewa na Chuo cha Maji (Water Institute) chini wa Wizara ya Maji. Kozi hii ni specific kwenye sekta ya Maji na usafi wa mazingira lakini cha kusikitisha, hakuna utaratibu wa wazi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa TAMISEMI shughulikia tatizo la ajira mpya katika Halmashauri mbalimbali kutolipwa fedha za kujikimu

    Tunakuomba Waziri wa TAMISEMI kushughulikia matatizo ya watumishi, hasa waajiriwa wapya katika kada ya elimu nchini. Tumekuwa tukinyanyasika kwa kutopata stahiki zetu za kiutumishi, hususan fedha za kujikimu. Wengi wetu tuliajiriwa ndani ya siku 100 za Mama Samia mwezi Januari. Hata hivyo...
  5. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Udereva ndio fani inayoongoza kwa ajira, ajira portal vijana tupambane tuwe madereva.

    Kila mwezi kuna matangazo ya udereva ajira portal kupitia halmashauri. Hata kama una degree na bado hujaupload Jitahidi sana utumie udereva itakuwa rahisi sana kwako kuingia kwenye system na kupata check Number
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mshirikishe Mungu katika kutafuta ajira

    Miaka 15 iliyopita mara baada ya kumaliza chuo jijini Dar es Saalama, kiu yangu ilikuwa ni kufanya kazi mjini kama ilivyo ndoto ya vijana wengi. Nakumbuka wakati namaliza chuo nilimwomba Mungu sana kupata kazi mara baada ya kumaliza chuo, nakumbuka siku moja tukiwa ibadani chuoni aliyekuwa...
  7. Fifteen

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujaza profession qualification ajira porta

    Habari wakuu, Ajira portal Kuna sehemu ya kujaza professional qualification lakini Kwa upande wa engineering graduate anapewa namba tu wakatu ajira portal inataka certificate hapa natakiwa kufanyaje?
  8. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watu vs Fursa za ajira

  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali...

    Nahitaji msaada seriously niliweza kua na biashara mahali na ilikua kiasi cha kuweza kuitegemea na kua na ndoto. kwa bahati mbaya wakati wa maandamano mwaka jana niliibiwa kila kitu. Hio hali ilinipelekea kwenye frustration mbaya. Namshukuru Mungu baada ya kukaa sawa kisaikolojia na kukubali...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira: Ninaomba Connection za Kazi

    Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wakuu ajira za polisi zinatoka lini?

    Mbona muda unazidi kwenda? Watu wa system tuambizane jamani tujiandae na chochote kitu mana mkono mtupu haulambwi
  12. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpishi

    Habari Nahitaji mpishi wa bites na Chakula cha Kiswahili cha mgahawa.Tupo Tunduma kwa mawasiliano piga 0718044976 au 0754604976
  13. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwenye ajira ni haki kikatiba, mwanasheria mkuu wa serikali acha siasa.

    Kitendo cha kumfukuza kazi mfanyakazi anayejiuzulu kwenye ajira ni uswahili. Mhe. Nchimbi apewe haki yake kwenye ajira ya serikali badala ya kuendeshwa na kanuni za CCM.
  14. Abdulziad

    JamiiForums Tanzania KERO Lini Muheza DC itathibitisha Watumishi wa ajira mpya ya Mei 2025 na kulipa fedha za kujikimu?

    Watumishi tulioajiriwa mwaka 2025 katika idara mbalimbali bado hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, pamoja na fedha zetu za kujikimu. Serikali, tunaomba mtusaidie.
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Naona Bunge wameamua kumpa ajira Gen Z kuwa Admin wa page yao

    Wabunge walipokuwa wakiwasili Bungeni jijini Dodoma, Agosti 27, 2026 kuhudhuria Kikao cha Pili cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
  16. A

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mhitimu wa digrii au diploma ya kodi na bado hujapata ajira wala fursa ya kupata uzoefu wa vitendo, taarifa hii ni kwa ajili yako.

    HALA TAXPRO LAUNCHPAD Programme imeandaliwa mahsusi kwa ajili yako. Ni programu ya kukuongezea ujuzi na uzoefu wa vitendo katika taaluma ya kodi, na haitakugharimu ada yoyote ya mafunzo. Awamu ya kwanza ya programu itahusisha wahitimu 15 pekee, kulingana na idadi ya vitendea kazi vilivyopo...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kuna Haja gani ya Kuwa na Viwanda Vingi kama Afrika Kusini Lakini Wananchi Wake Wanaongoza Kwa kukosa Ajira Kwa 33% ? Viwanda Vina Msaada kweli?

    Nchi ya Afrika Kusini ni kati ya Nchi zinaongoza Kwa viwanda Africa lakini pamoja na kuwa na Viwanda vingi ila ndio Nchi inaongoza Kwa unemployment kubwa Kanda ya SADC Kwa zaidi ya asilimia 33% kiasi kwamba Xenophobia inachangiwa zaidi na Vijana kukosa Ajira. Kiwango cha ukosefu wa ajira nchini...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal kuna changamoto ya kubadili Sifa za Elimu

    Hongera team ya JamiiForums kwa kazi kubwa mnafanya kuhabarisha umma na jamii zote ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ninayokero ambayo inahusiana na Sekretiati ya Ajira kwa maana ya Ajira Portal . Tunapendezwa na huduma zinatolewa na Ajira Portal lakini kuna sehemu ndogo ambayo tunaomba...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Munisi: Bwawa La Nyerere ni Injini ya Ajira kwa Taifa Zima

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Munisi, amesema kukamilika kwa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni fursa kubwa ya kiuchumi itakayogusa maisha ya Watanzania wote, wakiwemo wakazi wa mijini na vijijini. Dkt. Munisi...
  20. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Kupata mtoto ni rahisi kuliko kupata ajira

    ANAANDIKA BICHWA KOMWE 👌 Katika hii jamhuri yetu, na hata kwingine kokote nje ya Tanganyika, ni ukweli ulio wazi kwamba, kupata mtoto ni rahisi sana kuliko kupata ajira ya Tamisemi. Watu wengi hudhani kwamba kupata mtoto inahitaji mikito mingi au kujitutumua na pampu nyingi, LA HASHA...
Back
Top Bottom