Hivi karibuni nimesajili vyeti vya kuzaliwa online na baada siku 14 unapata tangu siku uliyosajili na kulipia.
Nina siku 24 tangu nmelipia system inaonyesha status ya cheti kwamba APPROVED IMna ilitakiwa iwe CERTIFICATE ISSUED
SWALI LANGU: je system inasumbua au kuna tatizo?? Je nikienda rita...
NAOMBA KUJUA FAIDA NA HASARA ZA KUWA NA MASHINE HIZO KWENYE BIASHARA HII YA PRINTING. Vilevile naomba kujua ili nipate faida natakiwa niwe na raw material gani?
Nataka kujua fani ya digital printing kwa ukubwa zaidi nataka niprinti mifuko mabango na vingine vingi. Je ni wapi wanafundisha kozi hii na ni sh ngapi?
Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya kuendesha foko.
Kama mdogo wako alisoma HGL,HGK,HGE,HKL.
Kama O-level ana principle passes za Physics, Bios na Chemistry mwambie asiende degree kama uwezo wa kulipia diploma ya afya upo.
Kama haupo basi afuate tu mkopo chuoni ila hakuna faida ya degree ya izo comb kama hauna direct connection.
Ndugu zangu habari zenu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 ninajishughulisha na biashara ya stationery maeneo ya buza uswahilini sasa naona changamoto imeanza wiki hii mambo ni magumu: mauzo yapo hafifu sana
Nipeni mbinu basi nini NIFANYE AU NITUMIE NJIA ZIPI MAANA NIMEPANGA KWENYE FREMU
Nina rafiki yangu kwasasa ametimiza miaka 25 lakini wadogo zake wameolewa ambao ni watoto wa mjomba ake sasa yeye kwa sasa anafanya kazi hizi za kujitolea katika shirika X kwahiyo kuna muda anakua anatamani kuwa na mume au mchumba ambaye ana nia ya kumuoa sasa the bad thing ni kwamba hana...
Kutokana na kuwa na wimbi la kila organisation kuweka system zao ONLINE. Je kwa uhitaji huu wa mambo ya online mfano kuhakiki vyeti,passport,vyeti,leseni,police fine, na mambo mengi tu. Unanishairi nifanye kitu gani na miki niingize mia miambili?
Nifanye biashara gani? Itakayo nilipa? Niko mbagala
Jamani ndugu zangu naomba mtu anieleweshe MANIFESTION INAHUSISHA NINI? Na je inaweza kunisaidia kupata ninachotaka maishani mwangu? Mfano nataka kazi au pesa au maisha mazuri nawezaje kupata kwa njia ya kumanifest?
Naomba kuelekezwa njia za kumanifest : unafumba macho au unafanyaje? Kuna mdada...
Kama binadaamu kuna wakati mtu unapitia magumu mpaka hujui nani wa kukusaidia hata kimawazo.
Leo nimeanzisha thread hii ili tushare mambo au changamoto mbalimbali ambazo tunapitia sisi viumbe wa Mungu.
Orodhesha changamoto na jinsi ulivofanikiwa kutatua ili umsaidie mtu mwingine huko aliko...
Hi utaratibu moat wa kupata leseni ya Biashara online sio Kama ile ya karatasi halmashauri unapata sasa hivi ONLINE.
Sasa kuna baadhi ya stationery hawajui kwahiyo nataka nikomae mwenyewe JE INAWEZEKANA AU KAMA UNAJUA NAMNA YA KUPATA PLEASE ELEZEA!!.
Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee? Maana biashara ni mpya na sitaki kuifunga
Degree ambazo zimesambaa mtaani na wengine WANAFUNGUA MADUKA NA KUJIAJIRI KWA PAMOJA TUNAITA KUPAMBANA:
DEGREE ZENYEWE NI HIZI:
Ualimu,
Human Resource
Economics
Law
Procurement and supply,
Secretary
Banking and Finance,
Community Development,
Public Relation,
Business Administration,
Record...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.