Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya Printing?

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
258
566
Naombeni msaada wa mawazo.
Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya PRINTING? Katika maeneo niliotaja
BANANA
KITUNDA
AIRPOT
GONGOLAMBOTO GOMZ
 
Print unaprint nini Mashati,mifuko,picha mbao au vitu gani?.. Kitunda Mwanangati biashara ni ngumu mnoo hasa iyo ya printing utamprintia nanii kitunda labda print mifuko, huko Nafaka,Boda,Bajaji wanapiga sana pesa japo road ni mbaya mnoo
 
labda duka la nafaka, spea za pikipiki ukiwa fundi mzuri, chakula cha mifugo ingawa sio sana kwa sasa wafugaji wamepungua.
 
Print unaprint nini Mashati,mifuko,picha mbao au vitu gani?.. Kitunda Mwanangati biashara ni ngumu mnoo hasa iyo ya printing utamprintia nanii kitunda labda print mifuko, huko Nafaka,Boda,Bajaji wanapiga sana pesa japo road ni mbaya mnoo
Stationery kwa ujumla
 
Back
Top Bottom