Hivi mwezi huu biashara ya stationery huwa inaenda slow?

Ndugu zangu habari zenu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 ninajishughulisha na biashara ya stationery maeneo ya buza uswahilini sasa naona changamoto imeanza wiki hii mambo ni magumu: mauzo yapo hafifu sana
Nipeni mbinu basi nini NIFANYE AU NITUMIE NJIA ZIPI MAANA NIMEPANGA KWENYE FREMU
Hali ya biashara mzee, huwez pata kila siku, na huwezi kosa kila siku
 
Ndugu zangu habari zenu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 ninajishughulisha na biashara ya stationery maeneo ya buza uswahilini sasa naona changamoto imeanza wiki hii mambo ni magumu: mauzo yapo hafifu sana
Nipeni mbinu basi nini NIFANYE AU NITUMIE NJIA ZIPI MAANA NIMEPANGA KWENYE FREMU
Stationary uswahilini? Huko weka kibanda cha kuonesha movie na kuingiza video na muziki kwenye simu au flash.
 
Ndugu zangu habari zenu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 ninajishughulisha na biashara ya stationery maeneo ya buza uswahilini sasa naona changamoto imeanza wiki hii mambo ni magumu: mauzo yapo hafifu sana
Nipeni mbinu basi nini NIFANYE AU NITUMIE NJIA ZIPI MAANA NIMEPANGA KWENYE FREMU
BIASHARA YA STATIONARY KWASASA HAIWEZI KUFANYA VIZURI, KWASABABU KUANZIA MWISHONI MWA MWEZI WA7 NA MWANZONI MWA MWEZI WA 8 VYUO VIMEFUNGWA NA NI LIKIZO NDEFU WASTANI WA MIEZI 2 HADI 3 HIVYO KUA NA SUBIRA MPAKA VYUO VITAKAPOFUNGULIWA. WENZIO MAENEO MENGINE MIEZI HII HUWA WANAWAOMBA WENYE FREMU WAWAFANYIE WEPESI KIDOGO MAANA WATEJA HAKUNA MPAKA MWEZI WA 10.
KWASASA TAFUTA TU KASHUGHULI KENGINE TU KAKUJISHIKA KWA MUDA MAANA HATA HARUSI NA SEND OFF NI HIVYO HIVYO ZAIDI NI MWISHO WA MWAKA NDIO UTAPATA DILI LA CARD.
 
Ndugu zangu habari zenu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 ninajishughulisha na biashara ya stationery maeneo ya buza uswahilini sasa naona changamoto imeanza wiki hii mambo ni magumu: mauzo yapo hafifu sana
Nipeni mbinu basi nini NIFANYE AU NITUMIE NJIA ZIPI MAANA NIMEPANGA KWENYE FREMU
Naomba nitafutie kijana wa stationery
 
Back
Top Bottom